October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Mnamwachia nyie kama nani? Mahakama au Serikali?Hatuna maneno mengi. Kwetu KAZI zinajieleza zenyewe. Lisu hana ubavu wa kuchuana na Mama mwenye uwezo wake. Lisu mwenyewe juzi amekiri hilo. Unakumbuka siku Lisu alipokuwa Mahakamani amevaa tisheti imeandikwa One Heart one love. Kamuulizeni sababu.
Ila mkae mkijua Lisu mwenyewe Kasanda. Hiyo kusema NRNE ni kukimbia aibu ya kushindwa na mwanamke kwenye boksi la kura. Na bado
Mnamwachia nyie kama nani? Mahakama au Serikali?
So mnamwachia kwa sababu zipi, si mlisema ni mhaini?Mahakama ni chombo cha serikali kutenda Haki. Mengine jaza mwenyewe
So mnamwachia kwa sababu zipi, si mlisema ni mhaini?
Mnakubali kuwa mnatemea wafadhili kuendesha nchi si ndio?
Kwani no reform no election imeishia wapo🤣🤣🤣🤣
October tunatiki
Mkuu salute. Kwakweli unapambana sana 👏Hatuna maneno mengi. Kwetu KAZI zinajieleza zenyewe. Lisu hana ubavu wa kuchuana na Mama mwenye uwezo wake. Lisu mwenyewe juzi amekiri hilo. Unakumbuka siku Lisu alipokuwa Mahakamani amevaa tisheti imeandikwa One Heart one love. Kamuulizeni sababu.
Ila mkae mkijua Lisu mwenyewe Kasanda. Hiyo kusema NRNE ni kukimbia aibu ya kushindwa na mwanamke kwenye boksi la kura. Na bado
mtangaraza wapii akatii mtajitangazaaaa wenyewee ,na pili hawashirikii sasa ,mtajitekenya alafu mchekeee wenyeweHatuna maneno mengi. Kwetu KAZI zinajieleza zenyewe. Lisu hana ubavu wa kuchuana na Mama mwenye uwezo wake. Lisu mwenyewe juzi amekiri hilo. Unakumbuka siku Lisu alipokuwa Mahakamani amevaa tisheti imeandikwa One Heart one love. Kamuulizeni sababu.
Ila mkae mkijua Lisu mwenyewe Kasanda. Hiyo kusema NRNE ni kukimbia aibu ya kushindwa na mwanamke kwenye boksi la kura. Na bado
Mkuu salute. Kwakweli unapambana sana 👏
Kumbe ni chombo cha serikali sio muhimili wa nchi unaojitegemea??Mahakama ni chombo cha serikali kutenda Haki. Mengine jaza mwenyewe
Samia hana ubavu wa kushindana na Lisu kwenye fair ground.Tulimshutumu kwa kuona viashiria vya uhaini. Mahakani tulienda kutaka uthinitisho
Hv yule mke wake yuko wapi vile? Hao nyumbu hawawezi kushiriki tena uchaguzi ni mpk 2030.Hatuna maneno mengi. Kwetu KAZI zinajieleza zenyewe. Lisu hana ubavu wa kuchuana na Mama mwenye uwezo wake. Lisu mwenyewe juzi amekiri hilo. Unakumbuka siku Lisu alipokuwa Mahakamani amevaa tisheti imeandikwa One Heart one love. Kamuulizeni sababu.
Ila mkae mkijua Lisu mwenyewe Kasanda. Hiyo kusema NRNE ni kukimbia aibu ya kushindwa na mwanamke kwenye boksi la kura. Na bado
Nasubiri kwa hamu!
KAZI na utu tunasonga mbele!
Mitano tena kwa CCM!
Samia hana ubavu wa kushindana na Lisu kwenye fair ground.
Vinashiriki vyama 18mtangaraza wapii akatii mtajitangazaaaa wenyewee ,na pili hawashirikii sasa ,mtajitekenya alafu mchekeee wenyewe