Lissu tutamwachia August asijefikiri anaogopwa. Na tutamshinda uchaguzi mkuu

Hv yule mke wake yuko wapi vile? Hao nyumbu hawawezi kushiriki tena uchaguzi ni mpk 2030.

Mkewe ndiye anayemshinikiza akimbie aibu ya kushindwa na Samia. Lisu ameshindwa kutanguliza maslahi ya chama chake. Kamtanguliza mkewe
 
CCM tutawaruhusu mfanye kampeni then Lissu atapelekea form akiwa huko huko Gelezani - Uchaguzi huru na Haki hakuna mtu mdani ya CCM anaweza kupata hata 20% ya kura.

Kifupi CCM imechokwa vibaya saana. endeleeni na mkutano wenu wa mtandaoni eti wa kubadili katiba.

Wala! Tutamtoa na kumpa fedha akikataa tutawapa wasaidizi wake, hawawezi kukataa. Ili asijeleta visingizio sijui tone tone hawakuchanga. Ni kipigo tuu
 
Hatuna maneno mengi. Kwetu KAZI zinajieleza zenyewe. Lisu hana ubavu wa kuchuana na Mama mwenye uwezo wake. Lisu mwenyewe juzi amekiri hilo. Unakumbuka siku Lisu alipokuwa Mahakamani amevaa tisheti imeandikwa One Heart one love. Kamuulizeni sababu.
Ila mkae mkijua Lisu mwenyewe Kasanda. Hiyo kusema NRNE ni kukimbia aibu ya kushindwa na mwanamke kwenye boksi la kura. Na bado
Rubbish
 
Matako kabisa ww
 
Wewe ni chizi au mzima? Cdm haishiriki uchaguzi sasa hayo ambayo unaota yatatokeaje? Mtamgaragazi vip wakati hawashiriki huo ujinga?
 
Wewe ndio unasema, Lisu anatoka August na CDM wanashiriki.
 
Ifanyike reforms...

Halafu vyombo vya habari kama radio na TVs viruhusiwe kwa usawa kurusha kampeni za Lissu na Samia... kiukweli Samia hatomuweza Lissu... tuzungumze ukweli tu...
 
Lisu yupi? Huyu aliyeko magereza hivi SASA ambaye juzi amekiri mwenyewe, tena akavaa tisheti iliyoandikwa one heart one love? Au lisu wa Sombetini?
 
Back
Top Bottom