HY JAMAA NI AKILI 0 KM WALIVYO WALA UROJO WENGIMwezi August utajua kanjanja ni wewe au Lisu unayemtetea
HY JAMAA NI AKILI 0 KM WALIVYO WALA UROJO WENGIMwezi August utajua kanjanja ni wewe au Lisu unayemtetea
Akili za mbuni kazini!Tulitaka kumwachia ila tumeghairi
mkuu, ujue wengine tushaumizwa na kejeli za huyu bwana, wakati analeta shutuma za watu kuuliwa mgodini kuna ffu walihojiwa na wengine kupoteza vyeo, kuna maofisa mgodini walifutwa kazi, wazungu hawakusubiri ushahidi.Sawa "Kiongozi" ujuwe kulipwa ili ukejeli na kukebehi wengine wanoumia ni raha kweli kweli. Jitahidi broo
Are these allegations true about Lissu???mkuu, ujue wengine tushaumizwa na kejeli za huyu bwana, wakati analeta shutuma za watu kuuliwa mgodini kuna ffu walihojiwa na wengine kupoteza vyeo, kuna maofisa mgodini walifutwa kazi, wazungu hawakusubiri ushahidi.
alivyosema askofu niwemgizi kahongwa aliondolewa dar na kuhamishiwa rulenge na matumaini ya kuwa cardinal yaliishia hapo.
alivyoratibu kesi ya northmara goldmine kule canada kuna maofisa wa kigeni na kibongo walifutwa kazi na nyota zao za kuwa watu wakubwa ziliishia hapo.
wakati tukipambana na akina Bladdy Gordon na Peter Geleta si yeye alikuwa anapiga simu akiwaelekeza namna ya kufungua kesi MIGA.
wala hakuwa kibaraka, alikuwa mganga njaa akitafuta fursa kiujanjaujanja, yes lika mtu aliathirika na mambo yake ya hovyo, wale wanakijiji kesi hawakushinda na pesa wakapoteza. wale wazungu ndo waliomchoma japo alitaka kuwageuzia kibao naona kanywea kimyakimya alitaka kupeleka tena kesi ya kima kwa nyani.Are these allegations true about Lissu???
Kumbe hata wazungu kama waliathirika na uanaharakati wake, ukibaraka wake kwa wazungu hao hao upo wapi ? Kumbe ni mzalendo anayepigania rasilimali zenu eti.
Nani anayesaini mikataba mibovu inayolinyonya Taifa letu Pendwa ??
Naomba ufafanuzi mkuu. Mbunge anasaini mikataba ya kuchimba madini,, Kuuza gas ama kuuza makaa ya mawe ?Are you sure.wala hakuwa kibaraka, alikuwa mganga njaa akitafuta fursa kiujanjaujanja, yes lika mtu aliathirika na mambo yake ya hovyo, wale wanakijiji kesi hawakushinda na pesa wakapoteza. wale wazungu ndo waliomchoma japo alitaka kuwageuzia kibao naona kanywea kimyakimya alitaka kupeleka tena kesi ya kima kwa nyani.
mikataba ya hovyo imesainiwa nayeye akiwemo bungeni na hakuwahi kupinga.
kikatiba, wabunge ndio wawakilishi wa wananchi na ndio wenye wajibu wa kuisimamia serikali kwa niaba ya wananchi, kama mambo ya hovyo yanafanyika na wao aidha waliona wakakaa kimya au hawakuona kabisa wipaswa kuwajibika, lakini katika kulinda posho zao mishahara yao walikaa kimya bungeni au walipisha kuruhusu mambo ya hovyo yapiteNaomba ufafanuzi mkuu. Mbunge anasaini mikataba ya kuchimba madini,, Kuuza gas ama kuuza makaa ya mawe ?Are you sure.
Tangu kuishi kwako niambie mkataba japo mmoja tu ambao uliletwa Bungeni ukasainiwa na wabunge na Lissu akiwepo au hata baada yake na kabla yake.
Mgogoro wa bulyankulu wachimbaji kufukiwa migodini tuliusikia kabla Lissu hajawa Mbunge, alisaini vipi mikataba ya kuwapa wazungu kwa niaba ya serikali akiwa raia ?
Mgodi wa North mara Nyamongo ambao mercury ilitiririka kwenye maji na kuua mifugo pamoja na kubabua ngozi za watumishi maji hayo, hadi kesi ikasimamiwa naye hakuwa Mbunge, alisaini vipi mikataba akiwa mwanaharakati na raia wa kawaida ???
Kumbe siku hizi wanaosaini mikataba ya uwekezaji ni yeyote kwa niaba ya serikali hata mimi raia ??.?
Mmevipata viashiria?Tulimshutumu kwa kuona viashiria vya uhaini. Mahakamani tulienda kutaka uthibitisho
Ninakuelewa sana mkuu. Ila sijawahi kusikia mkataba hata mmoja tangu bunge la vyama vingi 1995 umejadiliwa umekataliwa Bungeni.kikatiba, wabunge ndio wawakilishi wa wananchi na ndio wenye wajibu wa kuisimamia serikali kwa niaba ya wananchi, kama mambo ya hovyo yanafanyika na wao aidha waliona wakakaa kimya au hawakuona kabisa wipaswa kuwajibika, lakini katika kulinda posho zao mishahara yao walikaa kimya bungeni au walipisha kuruhusu mambo ya hovyo yapite
Kumbe tatizo ni umama na uke? mambo ya ajabu sana haya!Hatuna maneno mengi. Kwetu KAZI zinajieleza zenyewe. Lisu hana ubavu wa kuchuana na Mama mwenye uwezo wake. Lisu mwenyewe juzi amekiri hilo. Unakumbuka siku Lisu alipokuwa Mahakamani amevaa tisheti imeandikwa One Heart one love. Kamuulizeni sababu.
Ila mkae mkijua Lisu mwenyewe Kasanda. Hiyo kusema NRNE ni kukimbia aibu ya kushindwa na mwanamke kwenye boksi la kura. Na bado
nasijawahi sikia mbunge kajiudhuru kisa kuzuiliwa kutimiza majukumu yake, na hiyo mikataba sio siri kama unavyodhani unaweza enda masijala ya bunge ukapewa ukasoma, tatizo wabunge wetu hawa waupinzani wakati wa vikao wao ni kukimbizana na posho tu, wakitoka nje ndo wanaanza pyepyepyeNinakuelewa sana mkuu. Ila sijawahi kusikia mkataba hata mmoja tangu bunge la vyama vingi 1995 umejadiliwa umekataliwa Bungeni.
Utasikia tu malalamiko ya wabunge kunyimwa Fursa ya kupitisha mikataba yenye maslahi mapana kwa taifa letu Tanganyika.
Kuanzia madini, gas, Loliondo, makaa ya mawe nk.
Kama ndivyo, lawama zetu kwamba alisaini mikataba, ni kumtungia uongo wenye makusudi mbaya na nia ovu kwa jambo asilohusika.
Mikataba yote imekuwa ikisainiwa gizani na ministers na wanasheria wetu wa serikali yetu ya CCM ( unalielewa hili vizuri kabisa)
mkuu pumzika kidogo, unayo yaandika ni aibunasij
nasijawahi sikia mbunge kajiudhuru kisa kuzuiliwa kutimiza majukumu yake, na hiyo mikataba sio siri kama unavyodhani unaweza enda masijala ya bunge ukapewa ukasoma, tatizo wabunge wetu hawa waupinzani wakati wa vikao wao ni kukimbizana na posho tu, wakitoka nje ndo wanaanza pyepyepye
Kumbe tatizo ni umama na uke? mambo ya ajabu sana haya!