Lissu tutamwachia August asijefikiri anaogopwa. Na tutamshinda uchaguzi mkuu

uhatufokea wakati hujatoa mchango wako wa tone tone
Mchango up? Hujasikia kwamba viruses vya EBOLA na MPOX vilishaingizwa hapo Lumumba??
Makala hajawambia? Unauliza tontine leo? Muulize makala atakwambia
 
We na kiswahili chako cha kuvunia sijui Mwani ,utashangaa sana, a 31 or 35 yrs in office huwezi kuwa wahijua nchi hii vizuri ,Mda mwalim,tunasubiri uchaguzi wenu na mbarikiwe katika haki kama kweli iyo haki ipo, hujui Dunia
Jifunze kuandika bhana
 
Mchango up? Hujasikia kwamba viruses vya EBOLA na MPOX vilishaingizwa hapo Lumumba??
Makala hajawambia? Unauliza tontine leo? Muulize makala atakwambia
chadema mna taarifa za ndan ya ccm kuliko wana ccm wenyewe, we ruka kaa ila hakuna atakaechukua nafasi ya mama
 
Hatuna maneno mengi. Kwetu KAZI zinajieleza zenyewe. Lisu hana ubavu wa kuchuana na Mama mwenye uwezo wake. Lisu mwenyewe juzi amekiri hilo. Unakumbuka siku Lisu alipokuwa Mahakamani amevaa tisheti imeandikwa One Heart one love. Kamuulizeni sababu.

Ila mkae mkijua Lisu mwenyewe Kasanda. Hiyo kusema NRNE ni kukimbia aibu ya kushindwa na mwanamke kwenye boksi la kura. Na bado

Tatizo lenu hamjamjua Lissu . Lissu unaye muona nje na spirit ya Lissu ni vitu tofauti. Yaani kwa ujinga ujinga wenu bado mnafikiri Lissu kapona risasi 16 kwa bahati! . Ujinga huo ndiyo utamuondoa huyu Mama kwa manyanyaso yake wala hata sio uchaguzi. Mama anaenda kukalia bomu kama Magufuli na lita mlipukia maana hayasikiliza watu wa Mungu kama Magufuli tu. Kama unabisha subiri tu uone mwenyewe

Mlipizi wa manyanyaso ya Lissu ni Mungu mwenyewe na utaona hili. Jiandae kuwa chawa wa ajae baada ya Mama naye asipojielewa ataondolewa tena baada ya muda mfupi sana
 
Mwacheni, acheni woga wa uchaguzi enyi CCM mtandao.
 
Hatuna maneno mengi. Kwetu KAZI zinajieleza zenyewe. Lisu hana ubavu wa kuchuana na Mama mwenye uwezo wake. Lisu mwenyewe juzi amekiri hilo. Unakumbuka siku Lisu alipokuwa Mahakamani amevaa tisheti imeandikwa One Heart one love. Kamuulizeni sababu.

Ila mkae mkijua Lisu mwenyewe Kasanda. Hiyo kusema NRNE ni kukimbia aibu ya kushindwa na mwanamke kwenye boksi la kura. Na bado
yuko jela kwa tuhuma za jinai sawa na mahabusu wengine wakawaida atafungwa atanyongwa au kuachiwa na mahakama na ieleweke kesi jinai yake haina uhusiano wowote na uchaguzi, chadema wakiona anafaa kugombea wamchukulie form ampelekee ajaze,
 
Muda wa miezi mitano aliyokaa selo angekuwa amezunguka mikoa mingapi broo,,

Sio mbinu ya kumnyima muda wa kuzunguka Nchi ?????
 
yuko jela kwa tuhuma za jinai sawa na mahabusu wengine wakawaida atafungwa atanyongwa au kuachiwa na mahakama na ieleweke kesi jinai yake haina uhusiano wowote na uchaguzi, chadema wakiona anafaa kugombea wamchukulie form ampelekee ajaze,
Ukiwa kwenye lishe ya bure,, pay roll ya bure ya Kodi zetu,, kuropoka raha kweli kweli. Ngoja wakutoe kama Pole Pole unakuwa mpole kama umeugua mafua ya ndege.
 
Hatuna maneno mengi. Kwetu KAZI zinajieleza zenyewe. Lisu hana ubavu wa kuchuana na Mama mwenye uwezo wake. Lisu mwenyewe juzi amekiri hilo. Unakumbuka siku Lisu alipokuwa Mahakamani amevaa tisheti imeandikwa One Heart one love. Kamuulizeni sababu.

Ila mkae mkijua Lisu mwenyewe Kasanda. Hiyo kusema NRNE ni kukimbia aibu ya kushindwa na mwanamke kwenye boksi la kura. Na bado

Kwa sasa TAL anawashinda asubuhi sana
 
Kuwadi la.mfumo linajiona litanzania daraja la kwanza!
Utakuja kustuka na kujuta sana baadaye!
 
Ukiwa kwenye lishe ya bure,, pay roll ya bure ya Kodi zetu,, kuropoka raha kweli kweli. Ngoja wakutoe kama Pole Pole unakuwa mpole kama umeugua mafua ya ndege.
mie nimlipa kodi sili wala sijawahi kula kodi, hata nikienda hospital nalipia mkuu, kodi naitumia napohojiwa na trafik au kutumia barabara ya lami
 
Sawa "Kiongozi" ujuwe kulipwa ili ukejeli na kukebehi wengine wanoumia ni raha kweli kweli. Jitahidi broo
 
Back
Top Bottom