Lissu tutamwachia August asijefikiri anaogopwa. Na tutamshinda uchaguzi mkuu

Hv yule mke wake yuko wapi vile? Hao nyumbu hawawezi kushiriki tena uchaguzi ni mpk 2030.

Mkewe ndiye anayemshinikiza akimbie aibu ya kushindwa na Samia. Lisu ameshindwa kutanguliza maslahi ya chama chake. Kamtanguliza mkewe
 

Wala! Tutamtoa na kumpa fedha akikataa tutawapa wasaidizi wake, hawawezi kukataa. Ili asijeleta visingizio sijui tone tone hawakuchanga. Ni kipigo tuu
 
Rubbish
 
Matako kabisa ww
 
Wewe ni chizi au mzima? Cdm haishiriki uchaguzi sasa hayo ambayo unaota yatatokeaje? Mtamgaragazi vip wakati hawashiriki huo ujinga?
 
Wewe ni chizi au mzima? Cdm haishiriki uchaguzi sasa hayo ambayo unaota yatatokeaje? Mtamgaragazi vip wakati hawashiriki huo ujinga?

Wewe ndio unasema, Lisu anatoka August na CDM wanashiriki.
 
Ifanyike reforms...

Halafu vyombo vya habari kama radio na TVs viruhusiwe kwa usawa kurusha kampeni za Lissu na Samia... kiukweli Samia hatomuweza Lissu... tuzungumze ukweli tu...
 
Ifanyike reforms...

Halafu vyombo vya habari kama radio na TVs viruhusiwe kwa usawa kurusha kampeni za Lissu na Samia... kiukweli Samia hatomuweza Lissu... tuzungumze ukweli tu...

Lisu yupi? Huyu aliyeko magereza hivi SASA ambaye juzi amekiri mwenyewe, tena akavaa tisheti iliyoandikwa one heart one love? Au lisu wa Sombetini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…