Lissu tutamwachia August asijefikiri anaogopwa. Na tutamshinda uchaguzi mkuu

Hivi ujue huyo MAMA BUDULI (in Sukuma tone) hata mimi nikipambanishwa naye namgaragaza mapema sana? 🤔
 
Mama ako yupo kijijin huko anatesekaa we unakuja kutoa harufu ya nyaa hapa jukwaan
 
Rubbish 🚮
 
ila bongo kila mtu anajifanya afisa usalama,nabii,afisa wa serikali,sasa iyo tshirt one love,one heart haujui kama LISSU ni mwanaharakati kama alivyokuwa BOB MARLEY na iyo tshirt ni inspiritional kutoka ngoma ya BOB one love ,LISSU ata alivyokuwa kwenye campaign zake kabla ya mkutano kuanza uwa lazima ngoma ya reggae ipigwe ,acha ukanjanja
 

Mwezi August utajua kanjanja ni wewe au Lisu unayemtetea
 
Mkuu, mwezi Oktoba kuna msiba kabla ya uchaguzi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…