Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Bro Lissu naandika huu uzi ukufikie hapo alipo sasa.
Najua unaendelea vizuri hapo ulaya.
Bro Tanzania imekua na matatizo mengi kwasasa, bora haki ingechukuliwa lakini bei za bidhaa zipunguzwe gharama za maisha zipungue.
Maisha yamekua ni magumu Bro, huko Singida bei ya lita ya mafuta ya kupikia bro haishikiki. Lakini ukumbuke Singida tunalima malizeti kule. Taifa limekosa mwelekeo wa bei za bidhaa bro.
Lakini yote haya yanasababishwa na bei za petroli na dizeli. Bro najua sheria uko vizuri sana, lakini hata haya mambo ya kiuchumi najua hayawezi kukushinda. Bei ya petroli imepanda kufikia asilimia 92 ya bei za awali za 2021.
Tunajua viongozi wakiamua bei zinaweza kupungua.
Sema neno, pengine unaweza kusikika bro.