Lissu uko wapi bei za mafuta zinapanda kiholela mbona huongelei chochote ujue taifa linakutegemea

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Bro Lissu naandika huu uzi ukufikie hapo alipo sasa.
Najua unaendelea vizuri hapo ulaya.

Bro Tanzania imekua na matatizo mengi kwasasa, bora haki ingechukuliwa lakini bei za bidhaa zipunguzwe gharama za maisha zipungue.

Maisha yamekua ni magumu Bro, huko Singida bei ya lita ya mafuta ya kupikia bro haishikiki. Lakini ukumbuke Singida tunalima malizeti kule. Taifa limekosa mwelekeo wa bei za bidhaa bro.

Lakini yote haya yanasababishwa na bei za petroli na dizeli. Bro najua sheria uko vizuri sana, lakini hata haya mambo ya kiuchumi najua hayawezi kukushinda. Bei ya petroli imepanda kufikia asilimia 92 ya bei za awali za 2021.

Tunajua viongozi wakiamua bei zinaweza kupungua.

Sema neno, pengine unaweza kusikika bro.
 
Wapinzani ni wanufaika wakuu wa serikali iliyopo madarakani, muhimu hasa kwao ni nani ashikaye usukani mkuu wa nchi ili wawe wanang'ata na kupuliza, lakini ikiwa hawanufaiki na mfumo husika kama enzi za Hayati JPM, basi ndipo kila kukicha huponda hiyo serikali.
 
Bro Lissu naandika huu uzi ukufikie hapo alipo sasa.
Najua unaendelea vizuri hapo ulaya.

Bro Tanzania imekua na matatizo mengi kwasasa, bora haki ingechukuliwa lakini bei za bidhaa zipunguzwe gharama za maisha zipungue.

Maisha yamekua ni magumu Bro, huko Singida bei ya lita ya mafuta ya kupikia bro haishikiki. Lakini ukumbuke Singida tunalima malizeti kule. Taifa limekosa mwelekeo wa bei za bidhaa bro.

Lakini yote haya yanasababishwa na bei za petroli na dizeli. Bro najua sheria uko vizuri sana, lakini hata haya mambo ya kiuchumi najua hayawezi kukushinda. Bei ya petroli imepanda kufikia asilimia 92 ya bei za awali za 2021.

Tunajua viongozi wakiamua bei zinaweza kupungua.

Sema neno, pengine unaweza kusikika bro.
Hili ndio tatizo la watanzania.

Hao wote waliozungumza hawatoshi mpaka tundu lissu nae aseme,huu ni upuuzi.

Yaani wapinzani wetu hawana moyo wa kwqmba fulani kazungumza basi inatosha,katuwakilisha badala yake kila mpinzani atoe kauli.

Ndio maana ni ngumu kumuachia nafasi ya uraisi mpinzani mmoja kwa sababu kila mmoja ana njaa ya kutaka asikike yeye.

Suala la mfumuko wa bei limeshazungumzwa sana sio na CCM sio upinzani,lakini mtu anataka mpaka asimame mtu fulani,ndio mwana hatuendelei.

Baadhi yetu Watanzania tuacheni huu upuuzi.
 
Yupo ukrain anapgnia waukrain
 
Keshagawiwa fungu lake hela ya Dowans huwezi msikia, Tundu Lisu ni most corrupt man ever lived hapa Bongo, utakuja kumsikia siku akina Makamba wakimsinya tena!
 
Bro Lissu naandika huu uzi ukufikie hapo alipo sasa.
Najua unaendelea vizuri hapo ulaya.

Bro Tanzania imekua na matatizo mengi kwasasa, bora haki ingechukuliwa lakini bei za bidhaa zipunguzwe gharama za maisha zipungue.

Maisha yamekua ni magumu Bro, huko Singida bei ya lita ya mafuta ya kupikia bro haishikiki. Lakini ukumbuke Singida tunalima malizeti kule. Taifa limekosa mwelekeo wa bei za bidhaa bro.

Lakini yote haya yanasababishwa na bei za petroli na dizeli. Bro najua sheria uko vizuri sana, lakini hata haya mambo ya kiuchumi najua hayawezi kukushinda. Bei ya petroli imepanda kufikia asilimia 92 ya bei za awali za 2021.

Tunajua viongozi wakiamua bei zinaweza kupungua.

Sema neno, pengine unaweza kusikika bro.

Tanzania zaidi ya 70% ni nchi ya wakulima. Mbolea, Pembejeo zimepanda bei. Kwanini watu wanaowatetea wananchi wengi huwasikia wakiwatetea wakulima never mind watu wa mjini wa kawaida? Sababu ni washamba?
 
Keshagawiwa fungu lake hela ya Dowans huwezi msikia, Tundu Lisu ni most corrupt man ever lived hapa Bongo, utakuja kumsikia siku akina Makamba wakimsinya tena!
Mkuu most corrupt kwa vigezo/ushahidi gani?
Watanzania tumezoea kuongea sana km kasuku bila kujua undani wa jambo.
Mtu kama wewe usikute ni hohehahe unaeishi kwa hisani ya buku 7 ya lumumba.
 
Unashindwa kumwambia waziri husika atoe neno unamuambia mkimbizi alieko ng'ambo.

Ama kweli hii nchi maisha yametuchapa Hadi tumevurugwa [emoji1]
 
Shida yote hii ni kushindwa kuwekeza kwenye gesi......tatizo IQ ya viongozi wa bongolala zipo chini sana hata kushindwa kuona potentiality ya gesi ambayo tayari ilishagunduliwa kwenye uchumi wa nchi na hata kwenye uchumi wa ukanda mzima wa EA........mitazamo yao inaishia usawa wa pua.
 
Bro Lissu naandika huu uzi ukufikie hapo alipo sasa.
Najua unaendelea vizuri hapo ulaya.

Bro Tanzania imekua na matatizo mengi kwasasa, bora haki ingechukuliwa lakini bei za bidhaa zipunguzwe gharama za maisha zipungue.

Maisha yamekua ni magumu Bro, huko Singida bei ya lita ya mafuta ya kupikia bro haishikiki. Lakini ukumbuke Singida tunalima malizeti kule. Taifa limekosa mwelekeo wa bei za bidhaa bro.

Lakini yote haya yanasababishwa na bei za petroli na dizeli. Bro najua sheria uko vizuri sana, lakini hata haya mambo ya kiuchumi najua hayawezi kukushinda. Bei ya petroli imepanda kufikia asilimia 92 ya bei za awali za 2021.

Tunajua viongozi wakiamua bei zinaweza kupungua.

Sema neno, pengine unaweza kusikika bro.
Wakati mnaimba kuwa mnataka Tanzania ya kijani hamkuyajua haya? Vumilieni maana tanzania sasa ni ya kijani toka mjumbe wa mtaa mpaka Rais, msitake kuwabebesha wapinzani mizigo mliyotengeneza wenyewe
 
Shida ya yote aya sio lissu, shida ya yote aya ni chama cha kijani, polisisiyemu.

Muache kijana wa watu avune pesa za wazungu bure pasipo kutoka jasho au kufanya kazi
 
siasa ni sanaa ya hovyo inawezekana kupita zote.
 
Alishapatana, kwa hiyo yupo ndani ya makubaliano na system...
 
Bro Lissu naandika huu uzi ukufikie hapo alipo sasa.
Najua unaendelea vizuri hapo ulaya.

Bro Tanzania imekua na matatizo mengi kwasasa, bora haki ingechukuliwa lakini bei za bidhaa zipunguzwe gharama za maisha zipungue.

Maisha yamekua ni magumu Bro, huko Singida bei ya lita ya mafuta ya kupikia bro haishikiki. Lakini ukumbuke Singida tunalima malizeti kule. Taifa limekosa mwelekeo wa bei za bidhaa bro.

Lakini yote haya yanasababishwa na bei za petroli na dizeli. Bro najua sheria uko vizuri sana, lakini hata haya mambo ya kiuchumi najua hayawezi kukushinda. Bei ya petroli imepanda kufikia asilimia 92 ya bei za awali za 2021.

Tunajua viongozi wakiamua bei zinaweza kupungua.

Sema neno, pengine unaweza kusikika bro.

Unamtaka Lissu kusema kwani wewe na mimi tumesema wapi?

Au siye ni mang'ombe tu bwana/bibi meneja?
 
Back
Top Bottom