Lissu umeshinda, ioshe mioyo ya timu Magufuli tukukabidhi nchi

Joined
Dec 15, 2022
Posts
18
Reaction score
128
Hatimae imetimia, wananchi waliowengi wamebubujikwa na furaha baada ya mkataa rushwa, mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA.

Watanzania tuliompenda Magufuli tunataka kwenda na wewe, ioshe mioyo yetu, tuombe radhi kwa matusi na kejeli ulizowahi kushawishiwa na mtangulizi wako dhidi yake, tunajua chuki yenu ilitengenezwa. Ni muda sahihi kutuomba radhi tukupatie nchi.

Tunakutakia kazi njema.
 
Mtu mliyetaka kumua kwa Risasi leo awaoshe mioyo...?!
Ama kweli kua uyaone.
 
Kwahiyo team jpm ndio yenye mamlaka ya kumpa Lisu I jmt!!?

Hebu fafanua vizuri mkuu!!
 
Lisu agombee urais wa JMT, nakuhakikishia kura za Mkoa wa Kigoma anabeba, Kanda ya Ziwa Yote anabeba, Iringa na Mbeya DSM pia anabeba pamoja na Singida, sisiemu watabaki na kura za Mkoa wa Pwani, sehemu ndogo ya Tanga na Dodoma. 2025 anammwaga mama yenu
 
Lisu agombee urais wa JMT, nakuhakikishia kura za Mkoa wa Kigoma anabeba, Kanda ya Ziwa Yote anabeba, DSM pia anabeba pamoja na Singida, sisiemu watabaki na kura za Mkoa wa Pwani, sehemu ndogo ya Tanga na Dodoma. 2025 anammwaga mama yenu
Mama atuhakikishie tu Makonda anapata uwaziri mkuu kura zote kabeba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…