Lissu umeshinda, ioshe mioyo ya timu Magufuli tukukabidhi nchi

Lissu umeshinda, ioshe mioyo ya timu Magufuli tukukabidhi nchi

Magu akichukua fomu ya kugombea tena nashauri Lisu awe mgombea mwenza...nitawachagua, najua Magu hawezi kumuumiza tena enka kwa kuwa watakua timu moja, mmoja full back wa kati mwingine center forward.
Kweli kabisa , magu lazima achukue fomu.
 
Ukikutana na mtu kavaa nguo zenye rangi ya mboga mboga na matunda mpige kibao cha kisogoni alafu mwambie sisi sio milima tutakutana.
 
Hivi unajua kirefu ya CCM ... Sasa nenda kwenye kamusi angalia neno MapinduZi..unaweza ukashinda kwenye box ila nje ya box tukakushinda na usifanye lolote...
Marazote Kiburi hutangulia kabla ya anguko. Dola ya kirumi(Roman empire) ilitawala sehemu kubwa ya ulaya, Asia na Afrika ya kaskazini lakini ilikuja kuanguka!
 
Back
Top Bottom