Lissu umeshinda, ioshe mioyo ya timu Magufuli tukukabidhi nchi

Hatimae imetimia, wananchi waliowengi wamebubujikwa na furaha baada ya mkataa rushwa, mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA.

Watanzania tuliompenda Magufuli tunataka kwenda na wewe, ioshe mioyo yetu, tuombe radhi kwa matusi na kejeli ulizowahi kushawishiwa na mtangulizi wako dhidi yake, tunajua chuki yenu ilitengenezwa. Ni muda sahihi kutuomba radhi tukupatie nchi.

Tunakutakia kazi njema.
Kwa tume hii ya uchaguzi, sahau baba
 
Hajatikisa ilitarajiwa hivyo
Au sio
 
Au sio
Sasa hii mada ni ya Sharifa ,hoja Yako nini hapa?
 
Hatimae imetimia, wananchi waliowengi wamebubujikwa na furaha baada ya mkataa rushwa, mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA.

Watanzania tuliompenda Magufuli tunataka kwenda na wewe, ioshe mioyo yetu, tuombe radhi kwa matusi na kejeli ulizowahi kushawishiwa na mtangulizi wako dhidi yake, tunajua chuki yenu ilitengenezwa. Ni muda sahihi kutuomba radhi tukupatie nchi.

Tunakutakia kazi njema.
Lissu sio mtu wa kuficha ukweli na uovu ili afaidike yeye. Magufuli alikuwa muuaji, kichaa mpenda sifa za kijinga. Lissu na wengine wenye akili timamu tulimjua hivyo
 
Back
Top Bottom