Lissu umeshinda, ioshe mioyo ya timu Magufuli tukukabidhi nchi

Lissu umeshinda, ioshe mioyo ya timu Magufuli tukukabidhi nchi

Ni kweli ila mie najua atashinda tu so sina haja ya kumpigia na mchukia lissu nilisha sema na humu jf wanapenda chadema wakanipiga ban kisa nimesema chadema . Ila lisu simpendi akipewa nchi tutakuwa na vita matata kama kongo na Tanzania ataizika yeye yule mtu ni sio mtu mzuri hata kidogo lwanza ni free mansons
Pritive kind of thinking.......wa mwaka 47
 
Hatimae imetimia, wananchi waliowengi wamebubujikwa na furaha baada ya mkataa rushwa, mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA.

Watanzania tuliompenda Magufuli tunataka kwenda na wewe, ioshe mioyo yetu, tuombe radhi kwa matusi na kejeli ulizowahi kushawishiwa na mtangulizi wako dhidi yake, tunajua chuki yenu ilitengenezwa. Ni muda sahihi kutuomba radhi tukupatie nchi.

Tunakutakia kazi njema.
Msijaze upepo hawezi kuwa
 
Lissu ichukue timu magufuriiiíiiiiiiii ipo Ina hang out,please fanya hivyo haraka ,hakikisha unatumia vilivyo,itakusaidia sana
 
Hatimae imetimia, wananchi waliowengi wamebubujikwa na furaha baada ya mkataa rushwa, mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA.

Watanzania tuliompenda Magufuli tunataka kwenda na wewe, ioshe mioyo yetu, tuombe radhi kwa matusi na kejeli ulizowahi kushawishiwa na mtangulizi wako dhidi yake, tunajua chuki yenu ilitengenezwa. Ni muda sahihi kutuomba radhi tukupatie nchi.

Tunakutakia kazi njema.
Mnampaka mafuta kwa mgongo wa chupa ili mumpige tena risasi. Hatutegeki. Pumbav
 
Dola haikuona sababu za kuingilia directly ndio maana Kawa so ni calculation za serikali
1000006184.jpg

Choisivarayabo akitoa comment yake
 
Back
Top Bottom