Lissu umeshinda, ioshe mioyo ya timu Magufuli tukukabidhi nchi

Lissu umeshinda, ioshe mioyo ya timu Magufuli tukukabidhi nchi

Mtu mliyetaka kumua kwa Risasi leo awaoshe mioyo...?! -Ama kweli kua uyaone.
Sikia kijana, ukitaka kula na kipofu usimshike mkono, sasa ingia kanda maalum na lugha yako khs Magu alafu kahesabu kura zako!.

Siasa inachezwa kisiasa hata angalia hata huyo jamaa mnamuita eti mwandishi mkongwe wa habari za uchunguzi, katoa kitabu Magu hayupo, now kila mtu anasifia. You know why?.
 
Unataka tuanze kuabudu na kukukumbuka mtu aliyekwisha kufa (Magufuli) na kuoza na kugeuka udongo..?

Kuna shirika gani kati ya walio hai na wafu..?

By all means, there's absolutely NO SIMILARITIES kati ya watu hawa wawili Tundu Lissu na Magufuli...!

Hawa ni watu wawili tofauti kiakili, uwezo, kiufahamu, kitabia na kimwenendo, kimaadili na kimtizamo...?

Tundu Lissu ni very special human being....

Huyu (TL), alikufa kwa risasi 16 za huyohuyo Magufuli wako kisha Mungu aliyembebesha kusudi maalumu kwa ajili ya nchi na taifa hili akamfufua kutoka kwa wafu. LAKINI John Pombe Magufuli, alikufa kwa mafua ya CORONA tu, yuko shimoni kaburini...

Unataka kupozwa ki - Magufuli, mfuate kaburini aliko ufurahi naye...!!
Nilitaka nikutie tusi zito sana ila nimeona tutakua tumefanana akili nikifanya hivyo!
Pole sana, Mungu akusimamie.
 
Lisu agombee urais wa JMT, nakuhakikishia kura za Mkoa wa Kigoma anabeba, Kanda ya Ziwa Yote anabeba, Iringa na Mbeya DSM pia anabeba pamoja na Singida, sisiemu watabaki na kura za Mkoa wa Pwani, sehemu ndogo ya Tanga na Dodoma. 2025 anammwaga mama yenu
acha uchawi, muda utaongea ni subira ya miezi kadhaa. tunatunza kumbukumbu yako
 
Mtu mliyetaka kumua kwa Risasi leo awaoshe mioyo...?!
Ama kweli kua uyaone.
Wanafanana Kwa tabia ni vile mafahari wawili hawawezi kaa zizi Moja.

Kinachounganisha watu Huwa ni maslahi Kwa mida huo,Kwa Sasa wale Timu Mwendazake wamepigwa knockout ndani ya chama ndio maana wanaona Bora kumwaga ugali
 
Mimi ni kati ya watu niliokuwa namkubali Lissu na Magufuli japo kura yangu nilimpa Lissu.

Hawa watu wawili wanafanana kwa vingi sana ila ndio hivyo tena hawakuwai kupatana na ugomvi wao hakuna hata mmoja wao anayeujua
Uliwahi ona wapi mafahari wawili wakakaa zizi Moja?
 
Chadema wote nawachukia wako tu kama waleeee mie nawapenda sana act wazalendo hicho chama hakina tamaa wala hakina mabadiliko mabadiliko
 
Lisu agombee urais wa JMT, nakuhakikishia kura za Mkoa wa Kigoma anabeba, Kanda ya Ziwa Yote anabeba, Iringa na Mbeya DSM pia anabeba pamoja na Singida, sisiemu watabaki na kura za Mkoa wa Pwani, sehemu ndogo ya Tanga na Dodoma. 2025 anammwaga mama yenu
Mumejaa upepo kama.enzi.za Lowasa.

Kwa taarifa yenu tuu Lisu atakuwa Rais wa mioyoni mwenu.
 
Chadema wote nawachukia wako tu kama waleeee mie nawapenda sana act wazalendo hicho chama hakina tamaa wala hakina mabadiliko mabadiliko
Kwanza kina sera ambazo ukiwasililiza unaona Wana kitu.

Hawa wengine zaidi ya mihemko hawana kitu Cha maana Cha ku offer.
 
Kwanza kina sera ambazo ukiwasililiza unaona Wana kitu.

Hawa wengine zaidi ya mihemko hawana kitu Cha maana Cha ku offer.
Ni kweli kabisaa na hawagombei nafasi za juu wao wanapeana muda ukifika muda wakustaafu unastaafu naunachia ngazi hicho chama wapewe hata miaka 5 tu waone tofauti mambo yatabadilika ila wamweke mwanaume sio yule mama
 
Tutaende kanda ya Ziwa kuwaambia maneno haya yanayosemwa dhidi ya mpendwa wetu.

"Wazuri hawafi" - Makamba Snr.
"Wachawi wote wamekufa" - JK wa msoga.

RIP JPM
Kwa wapigakura ambao hawashikiwi akili na wanachagua matokeo ya kazi ni automatically watamchagua Samia.

Ila Kwa wale mnaoshikiwa akili na kujaa upepo Kwa mihemko mtamchagua Lisu.
 
Hatimae imetimia, wananchi waliowengi wamebubujikwa na furaha baada ya mkataa rushwa, mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA.

Watanzania tuliompenda Magufuli tunataka kwenda na wewe, ioshe mioyo yetu, tuombe radhi kwa matusi na kejeli ulizowahi kushawishiwa na mtangulizi wako dhidi yake, tunajua chuki yenu ilitengenezwa. Ni muda sahihi kutuomba radhi tukupatie nchi.

Tunakutakia kazi njema.
Tuwe kama wamarekana wakampa Trump na kumkataa Hariss
 
Hatimae imetimia, wananchi waliowengi wamebubujikwa na furaha baada ya mkataa rushwa, mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA.

Watanzania tuliompenda Magufuli tunataka kwenda na wewe, ioshe mioyo yetu, tuombe radhi kwa matusi na kejeli ulizowahi kushawishiwa na mtangulizi wako dhidi yake, tunajua chuki yenu ilitengenezwa. Ni muda sahihi kutuomba radhi tukupatie nchi.

Tunakutakia kazi njema.
Anaioshaje? Wasiojulikana anawajua?
 
Nimebubujikwa na machozi mengi ya Furaha
 
Lissu aache kumtukana Magufuli na Wasukuma kwa ujumla. Hiyo sera itamkwamisha kuuchukua urais. Hiyo ni sera ya Samia na awamu yake ya sita.

Apambane kupiga vita ufisadi, rushwa, kulinda rasilimali za umma, nidhamu serikalini. Kiufupi achukue sera za Magufuli aongeze na Demokrasia.
Hayo unayomsingizia Samia amewahi yatamka lini?

Pili Samia ana vitu vya kuonesha huko Kanda ya Ziwa haihitaji huruma ya mtu.

Mwisho Rais anapangwa iwe na Dola au vinginevyo so hata afanyaje kama hayuko kwenye list he will never be.

Unadhani Kwenye madaraka nani anataka kurudi kule?
 
Kwa wapigakura ambao hawashikiwi akili na wanachagua matokeo ya kazi ni automatically watamchagua Samia.

Ila Kwa wale mnaoshikiwa akili na kujaa upepo Kwa mihemko mtamchagua Lisu.
Ni kweli ila mie najua atashinda tu so sina haja ya kumpigia na mchukia lissu nilisha sema na humu jf wanapenda chadema wakanipiga ban kisa nimesema chadema . Ila lisu simpendi akipewa nchi tutakuwa na vita matata kama kongo na Tanzania ataizika yeye yule mtu ni sio mtu mzuri hata kidogo lwanza ni free mansons
 
Hayo unayomsingizia Samia amewahi yatamka lini?

Pili Samia ana vitu vya kuonesha huko Kanda ya Ziwa haihitaji huruma ya mtu.

Mwisho Rais anapangwa iwe na Dola au vinginevyo so hata afanyaje kama hayuko kwenye list he will never be.

Unadhani Kwenye madaraka nani anataka kurudi kule?
Kiroho kimekuchoma sana.
 
Back
Top Bottom