Lissu umeshinda, ioshe mioyo ya timu Magufuli tukukabidhi nchi

Hatimae imetimia, wanannchi waliowengi Wamebubujikwa na furahaa baada ya mkataa rushwa,mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa chama cha demokrasia namaendeleo Chadema...WaTanzania Tuliompenda Magufuli tunataka kwenda na wewe,ioshe mioyo yetu tuombe radhi kwa kejeli matusi na kejeli ulizowahi kushawishiwa na mtangulizi wako dhidi yake,tunajua chuki yenu ilitengenezwa Ni muda sahihi kutuomba radhi tukupatie nnchi...

Tunakutakia kazi njema
Hijui kama jpm ndo alimkung'uta risasi 32 mwamna Lisu akinuia kumuua?
 
Hatimae imetimia, wanannchi waliowengi Wamebubujikwa na furahaa baada ya mkataa rushwa,mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa chama cha demokrasia namaendeleo Chadema...WaTanzania Tuliompenda Magufuli tunataka kwenda na wewe,ioshe mioyo yetu tuombe radhi kwa kejeli matusi na kejeli ulizowahi kushawishiwa na mtangulizi wako dhidi yake,tunajua chuki yenu ilitengenezwa Ni muda sahihi kutuomba radhi tukupatie nnchi...

Tunakutakia kazi njema
KAZI NJEMA.
 
Si akisema magu ndio alitaka kumuua?
 
kamfuate huyo mfu wako. Wache wafu wapumzike, hangaika na walio hai
 
Hatimae imetimia, wanannchi waliowengi Wamebubujikwa na furahaa baada ya mkataa rushwa,mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa chama cha demokrasia namaendeleo Chadema...WaTanzania Tuliompenda Magufuli tunataka kwenda na wewe,ioshe mioyo yetu tuombe radhi kwa kejeli matusi na kejeli ulizowahi kushawishiwa na mtangulizi wako dhidi yake,tunajua chuki yenu ilitengenezwa Ni muda sahihi kutuomba radhi tukupatie nnchi...

Tunakutakia kazi njema
Mim siku Mh Lissu akisema anamkubali Jiwe basi ndiyo siku hiyo sitokuwa na imani naye tena. Maana anaweza anza kuwa na tabia za Jiwe
 
Hatimae imetimia, wanannchi waliowengi Wamebubujikwa na furahaa baada ya mkataa rushwa,mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa chama cha demokrasia namaendeleo Chadema...WaTanzania Tuliompenda Magufuli tunataka kwenda na wewe,ioshe mioyo yetu tuombe radhi kwa kejeli matusi na kejeli ulizowahi kushawishiwa na mtangulizi wako dhidi yake,tunajua chuki yenu ilitengenezwa Ni muda sahihi kutuomba radhi tukupatie nnchi...

Tunakutakia kazi njema
Lissu aache kumtukana Magufuli na Wasukuma kwa ujumla. Hiyo sera itamkwamisha kuuchukua urais. Hiyo ni sera ya Samia na awamu yake ya sita.

Apambane kupiga vita ufisadi, rushwa, kulinda rasilimali za umma, nidhamu serikalini. Kiufupi achukue sera za Magufuli aongeze na Demokrasia.
 
Wengi wa Timu Lisu ni Timu Magu
Lisu na marehemu, wanakaribiana kwa kuwa wakweli na kutokuwa waoga wa kuunena ukweli wanaouamini.

Tofauti yao ipo katika kufuata sheria, wakati Lisu anapenda sana kufuata shsria, na katiba, marehemu hakupenda kufuata sheria wala katiba wala masuala ya haki za binadami na demokrasia, pale alipoamini analolifanya lina tija.

Wote wawili wanafanana katika kutaka rasilimali za nchi ziwanufaishe Watanzania,kabla ya wageni.
 
Njia nyeupe kwenda ikulu, shida ni hii katiba, wasimamizi ni wale wale wenye PhD katika ngazi ya "goli la mkono ".
 
Back
Top Bottom