Lissu umeshinda, ioshe mioyo ya timu Magufuli tukukabidhi nchi

Hatimae imetimia, wananchi waliowengi wamebubujikwa na furaha baada ya mkataa rushwa, mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA.

Watanzania tuliompenda Magufuli tunataka kwenda na wewe, ioshe mioyo yetu, tuombe radhi kwa matusi na kejeli ulizowahi kushawishiwa na mtangulizi wako dhidi yake, tunajua chuki yenu ilitengenezwa. Ni muda sahihi kutuomba radhi tukupatie nchi.

Tunakutakia kazi njema.
Shetani aombwe msamahaa!!!! Ni kumkufuru Mungu.
 
Hatimae imetimia, wananchi waliowengi wamebubujikwa na furaha baada ya mkataa rushwa, mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA.

Watanzania tuliompenda Magufuli tunataka kwenda na wewe, ioshe mioyo yetu, tuombe radhi kwa matusi na kejeli ulizowahi kushawishiwa na mtangulizi wako dhidi yake, tunajua chuki yenu ilitengenezwa. Ni muda sahihi kutuomba radhi tukupatie nchi.

Tunakutakia kazi njema.
Umenena haswa. Yaani Lissu akifuata huu ushauri wako walao atamke tu kwamba nimemsamehe magufuli na yote niliyonena kwake ilikuwa siasa. Hakika tunamchagua 2025 kwa kishindo
 
Mimi ni kati ya watu niliokuwa namkubali Lissu na Magufuli japo kura yangu nilimpa Lissu.

Hawa watu wawili wanafanana kwa vingi sana ila ndio hivyo tena hawakuwai kupatana na ugomvi wao hakuna hata mmoja wao anayeujua
Hawafanani ndugu acha propaganda , Lissu Hana ya Ibilisi.
 
Hatimae imetimia, wananchi waliowengi wamebubujikwa na furaha baada ya mkataa rushwa, mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA.

Watanzania tuliompenda Magufuli tunataka kwenda na wewe, ioshe mioyo yetu, tuombe radhi kwa matusi na kejeli ulizowahi kushawishiwa na mtangulizi wako dhidi yake, tunajua chuki yenu ilitengenezwa. Ni muda sahihi kutuomba radhi tukupatie nchi.

Tunakutakia kazi njema.
Risasi mlizompiga bado ziko mwilini, jiosheni wenyewe
 
Yaani mtu mliyetaka kumuua kama mnyama pori ndio aje kuomba radhi?

Hii logic ya namna gani?
 
Mtu mliyetaka kumua kwa Risasi leo awaoshe mioyo...?!
Ama kweli kua uyaone.
Kwanza huujui ukweli na hata kama ingekua kweli hiyo ndo inaitwa MATURITY, ndio gharama ya kura zaidi ya milioni kumi za wafuasi wa JPM, uamuzi ni wake, azichukue ama azipige teke!!
Muda utazungumza.
 
Hatimae imetimia, wananchi waliowengi wamebubujikwa na furaha baada ya mkataa rushwa, mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA.

Watanzania tuliompenda Magufuli tunataka kwenda na wewe, ioshe mioyo yetu, tuombe radhi kwa matusi na kejeli ulizowahi kushawishiwa na mtangulizi wako dhidi yake, tunajua chuki yenu ilitengenezwa. Ni muda sahihi kutuomba radhi tukupatie nchi.

Tunakutakia kazi njema.
Unataka tuanze kuabudu na kukukumbuka mtu aliyekwisha kufa (Magufuli) na kuoza na kugeuka udongo..?

Kuna shirika gani kati ya walio hai na wafu..?

By all means, there's absolutely NO SIMILARITIES kati ya watu hawa wawili Tundu Lissu na Magufuli...!

Hawa ni watu wawili tofauti kiakili, uwezo, kiufahamu, kitabia na kimwenendo, kimaadili na kimtizamo...?

Tundu Lissu ni very special human being....

Huyu (TL), alikufa kwa risasi 16 za huyohuyo Magufuli wako kisha Mungu aliyembebesha kusudi maalumu kwa ajili ya nchi na taifa hili akamfufua kutoka kwa wafu. LAKINI John Pombe Magufuli, alikufa kwa mafua ya CORONA tu, yuko shimoni kaburini...

Unataka kupozwa ki - Magufuli, mfuate kaburini aliko ufurahi naye...!!
 
Hatimae imetimia, wananchi waliowengi wamebubujikwa na furaha baada ya mkataa rushwa, mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA.

Watanzania tuliompenda Magufuli tunataka kwenda na wewe, ioshe mioyo yetu, tuombe radhi kwa matusi na kejeli ulizowahi kushawishiwa na mtangulizi wako dhidi yake, tunajua chuki yenu ilitengenezwa. Ni muda sahihi kutuomba radhi tukupatie nchi.

Tunakutakia kazi njema.
Karibuni sana CDM wote mlioachwa njiani na Magufuli.
 
Back
Top Bottom