Kweli kabisa , magu lazima achukue fomu.Magu akichukua fomu ya kugombea tena nashauri Lisu awe mgombea mwenza...nitawachagua, najua Magu hawezi kumuumiza tena enka kwa kuwa watakua timu moja, mmoja full back wa kati mwingine center forward.
We kweli ni sweet CandyChadema wote nawachukia wako tu kama waleeee mie nawapenda sana act wazalendo hicho chama hakina tamaa wala hakina mabadiliko mabadiliko
Hizo ni wishful thinkings, ww na wenzio wengine si mlitabiri hato shinda?MTakuja kuliaga na mtasaga meno hapo mpo na shetani na shetani hazoeleki
Mie simjui licha yakuhakikisha kwamba ni mtu mmbaya basi simfuatiliagiHizo ni wishful thinkings, ww na wenzio wengine si mlitabiri hato shinda?
So based on record zenu nothing bad will happen
Marazote Kiburi hutangulia kabla ya anguko. Dola ya kirumi(Roman empire) ilitawala sehemu kubwa ya ulaya, Asia na Afrika ya kaskazini lakini ilikuja kuanguka!Hivi unajua kirefu ya CCM ... Sasa nenda kwenye kamusi angalia neno MapinduZi..unaweza ukashinda kwenye box ila nje ya box tukakushinda na usifanye lolote...