Lissu umeutumikia upinzani na kumwaga damu yako kwa gharama kubwa, upinzani uliokoa maisha yako, kulikoni?

Labda anatofautiana kimtazamo na wenzie kwenye chama ni haki yake
Lissu ni muumini kindakindaki wa Demokrasia kutofautiana na mwenyekiti wake kwa mawazo ni misimamo ndiyo demokrasia yenyewe, alete hoja.Mwenyekiti hawezi kujibu hoja za Msigwa kwa level yake. Je Katibu Mkuu na Mkurugenzi wa Nje ana kazi gani? Hoja zinazoelelkezwa kwa chairman ni za Chama chenu mujibu,unless mseme pesa au faranga iko kaxini.
 
Kwani upinzani wa kweli ni chadema Tu. Vyama vingine haviwezi kubadilika na kuwa Vyama Bora, kama ilivyo Chama kizuri kuwa na matendo yasio faa. Tujisahihishe yalikuwa ni maneno ya Mwalimu.
 
Zile nusu kaput hukaa sana kwenye ubongo
Lissu ana tatizo mahali. He is not normal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…