Lissu ni muumini kindakindaki wa Demokrasia kutofautiana na mwenyekiti wake kwa mawazo ni misimamo ndiyo demokrasia yenyewe, alete hoja.Mwenyekiti hawezi kujibu hoja za Msigwa kwa level yake. Je Katibu Mkuu na Mkurugenzi wa Nje ana kazi gani? Hoja zinazoelelkezwa kwa chairman ni za Chama chenu mujibu,unless mseme pesa au faranga iko kaxini.Labda anatofautiana kimtazamo na wenzie kwenye chama ni haki yake