Mkuu, umeachana na ya Gaza umerudi huku?Wanaukumbi.
Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..
Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya..
Huwezi sema utafanya uasi, kukinukisha na maneno mengine ya namna hiyo katika mazingira tuliyonayo kisiasa na kiusalama halafu vyombo vyetu vya ulinzi vikuchekee tu, ukicheka na nyani unavuna mabua.
Uasi ni nini, civil disobedience ni nini na uanamapinduzi ni nini?Msiklize Lissu. Anavyoelezea uasi.
Umemaliza ya Palestina?Wanaukumbi.
Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..
Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya..
Huwezi sema utafanya uasi, kukinukisha na maneno mengine ya namna hiyo katika mazingira tuliyonayo kisiasa na kiusalama halafu vyombo vyetu vya ulinzi vikuchekee tu, ukicheka na nyani unavuna mabua.
Unajua uasi wewe? Shule yenyewe ulisaidiwa na bwana yule ....ukamtelekeza....kukaa kimya ni busara piaWanaukumbi.
Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..
Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya..
Huwezi sema utafanya uasi, kukinukisha na maneno mengine ya namna hiyo katika mazingira tuliyonayo kisiasa na kiusalama halafu vyombo vyetu vya ulinzi vikuchekee tu, ukicheka na nyani unavuna mabua.
Hawa watu viazi sana, yani mtu afanye njama halafu atangaze mbele ya vyombo vya habari??? Elimu yetu imeharibiwa sana na sisiemu, hamna tena watu wenye common sense acha critical thinking! Tuna vilaza kila kona ya wafanya maamuzi na wamewekeza kwa machawa wa kuflip na kutwist mambo muda wote! Masikitiko makubwaAnadhani waasi wanatangaza, waasi wanachukua hatua.
Vilaza on fleek... aijipii mwenyewe fomfoo sembuse hawa wapiga kwata?Wapi alisema kwenye matamshi yake kuwa ataamsha uasi?
Unajua hii kesi ni rahisi sana sababu nyie wenyewe mnajichanganya. Mwishow mshindwe ku prove mahakamani na dpp afute kesi kama kawaida
Nyie wenye majina hayo akiwaga Rais wa upande ule lazima lazima mje na hoja ambazo haziko na mshiko. Masikio yanu na macho yenu yamefunikwa na satanic versesWanaukumbi.
Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..
Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya..
Huwezi sema utafanya uasi, kukinukisha na maneno mengine ya namna hiyo katika mazingira tuliyonayo kisiasa na kiusalama halafu vyombo vyetu vya ulinzi vikuchekee tu, ukicheka na nyani unavuna mabua.
Waulize akina Kabudi wanaujua uwezo wa Lissu, wala hawabishani naye.Mpigania uhuru husimamia kile anachokisema
Lisu tapeli na wanaomsikiliza akili hawana
Fikiria anasema ataamuasha uasi akihutubia akifika mahakamani akiulizwa anasema sikusema mimi.Anakana.
Hivi kuna mwanasiasa hapo?
Mwanasiasa wa kweli husimamia alichokisema.Lisu hamna Chadema utasikia huyo ndio Mandela wetu.Mandela alisimamia alichotamka nje na mahakamani akasimama nacho.
Lisu anachosema nje akiwekwa mahakamani anakana Mandela koko huyo
Mpigania uhuru husimamia kile anachokisema
Lisu tapeli na wanaomsikiliza akili hawana
Fikiria anasema ataamuasha uasi akihutubia akifika mahakamani akiulizwa anasema sikusema mimi.Anakana.
Hivi kuna mwanasiasa hapo?
Mwanasiasa wa kweli husimamia alichokisema.Lisu hamna Chadema utasikia huyo ndio Mandela wetu.Mandela alisimamia alichotamka nje na mahakamani akasimama nacho.
Lisu anachosema nje akiwekwa mahakamani anakana Mandela koko huyo
Kabudi kazeekaWaulize akina Kabudi wanaujua uwezo wa Lissu, wala hawabishani naye.
Ila nyie wala mihogo kutwa kucha mnamuongelea Lissu.
Ethical dilemmaUasi ni nini, civil disobedience ni nini na uanamapinduzi ni nini?
Ukiwa na serikali dhalimu unaruhusiwa kuiasi au huruhusiwi?
This is not merely a legal matter, there is an ethical matter here, do you know the difference?
Uasi wa kutokwenda kuiangalia Yanga ikicheza au Uasi wa kutokwenda kuiangalia Simba ikicheza mpira au ule Uasi aliousema Mwalimu kwa vijana au Uasi wa kutokwenda kwenye Nyumba za Ibada au UASI NI KITU GANI HASA ??!Wanaukumbi.
Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..
Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya..
Huwezi sema utafanya uasi, kukinukisha na maneno mengine ya namna hiyo katika mazingira tuliyonayo kisiasa na kiusalama halafu vyombo vyetu vya ulinzi vikuchekee tu, ukicheka na nyani unavuna mabua.
View attachment 3299846
Kumbe kudai haki yako ya msingi mfano uwepo wa tume huru ya uchaguzi, uwepo wa uchaguzi huri na wa haki, nk ni uasi! Aisee ndiyo nafahamu leo.Wanaukumbi.
Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..
Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya..
Huwezi sema utafanya uasi, kukinukisha na maneno mengine ya namna hiyo katika mazingira tuliyonayo kisiasa na kiusalama halafu vyombo vyetu vya ulinzi vikuchekee tu, ukicheka na nyani unavuna mabua.
View attachment 3299846
Gaidi naona umeamka! Vipi Gaza kunaendeleaje?Wanaukumbi.
Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..
Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya..
Huwezi sema utafanya uasi, kukinukisha na maneno mengine ya namna hiyo katika mazingira tuliyonayo kisiasa na kiusalama halafu vyombo vyetu vya ulinzi vikuchekee tu, ukicheka na nyani unavuna mabua.
View attachment 3299846
Wanaukumbi.

ccm wanahatarisha siku zote uslama wa taifa kwa kupindua matokeo ya chaguzi; hivyo vyombo vinafanya nini, vinalinda ulinzi, shenzUkitaka kuijua nguvu ya vyombo vya ulinzi na usalama vya taifa hili basi jaribu kuatarisha kutetelesha amani ya taifa hili