Lissu usiogope kuanzisha Chama cha Siasa, Watanzania tunaopenda mabadiliko tupo tayari kuchangia uendeshaji

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
20,834
Reaction score
26,217
Wakuu habari..

Naelewa safari ya Lisu hapo CHADEMA Siyo nyepesi kwa kuwa inagusa maslahi ya wengi.

Naelewa tiyari ana mawazo mbadala Baada ya hatua hii, Mimi nimtie moyo kuwa anayo nafasi ya kuanzisha Chama cha Siasa na Watanzania wazalendo Tusiopenda Rushwa, Uonevu, Uporaji wa rasilimali za umma na ufisadi tupo tiyari kukichangia Chama kwa Hali na Mali.

Mbowe aachwe abakie na Chama chake
 
Kwanini apoteze nguvu kuanzisha chama, apambane hapo hapo CHADEMA maana pia amechangia kukijenga chama. Kukimbia ni mentality za kushindwa, yeye ndo watu wanatakiwa kumkimbia na sio yeye kukimbia
Baadae lazima afukuzwe uanachama, ametukana sana watu na kudhalilisha
 
Wakuu habari..

Naelewa safari ya Lisu hapo CHADEMA Siyo nyepesi kwa kuwa inagusa maslahi ya wengi.

Naelewa tiyari ana mawazo mbadala Baada ya hatua hii, Mimi nimtie moyo kuwa anayo nafasi ya kuanzisha Chama cha Siasa na Watanzania wazalendo Tusiopenda Rushwa, Uonevu, Uporaji wa rasilimali za umma na ufisadi tupo tiyari kukichangia Chama kwa Hali na Mali.

Mbowe aachwe abakie na Chama chake
Hapo simshauri, inachukua mida sana chama kukua. Lissu kaipigania sana chadema. Hasitoke kabisa, apambane humo humo. Na atawachapa hasa hata kama wasipo mchagua.
 
Wakuu habari..

Naelewa safari ya Lisu hapo CHADEMA Siyo nyepesi kwa kuwa inagusa maslahi ya wengi.

Naelewa tiyari ana mawazo mbadala Baada ya hatua hii, Mimi nimtie moyo kuwa anayo nafasi ya kuanzisha Chama cha Siasa na Watanzania wazalendo Tusiopenda Rushwa, Uonevu, Uporaji wa rasilimali za umma na ufisadi tupo tiyari kukichangia Chama kwa Hali na Mali.

Mbowe aachwe abakie na Chama chake
Mkuu mbona una haraka hivyo wakati bado hayajaisha masaa 48 aliyoomba Mbowe tumpe na atatoa msimamo wake
 
Kwanini apoteze nguvu kuanzisha chama, apambane hapo hapo CHADEMA maana pia amechangia kukijenga chama. Kukimbia ni mentality za kushindwa, yeye ndo watu wanatakiwa kumkimbia na sio yeye kukimbia
Mkuu wakati mwingine unapaswa kukubali hasara Ili uweze kuanza upya na mentality mpya
 
Wakuu habari..

Naelewa safari ya Lisu hapo CHADEMA Siyo nyepesi kwa kuwa inagusa maslahi ya wengi.

Naelewa tiyari ana mawazo mbadala Baada ya hatua hii, Mimi nimtie moyo kuwa anayo nafasi ya kuanzisha Chama cha Siasa na Watanzania wazalendo Tusiopenda Rushwa, Uonevu, Uporaji wa rasilimali za umma na ufisadi tupo tiyari kukichangia Chama kwa Hali na Mali.

Mbowe aachwe abakie na Chama chake
Nyie mnadhani kuanzisha chama ni kama makalio kila mtu anayo

Au kwa kua mna bando zenu mna andika andika tu humu 😝

Muulizeni zito,kamuachia mama saiv
 
Tulia bwana mdogo
 
Back
Top Bottom