Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abanane hapohapo....!!Kwanini apoteze nguvu kuanzisha chama, apambane hapo hapo CHADEMA maana pia amechangia kukijenga chama. Kukimbia ni mentality za kushindwa, yeye ndo watu wanatakiwa kumkimbia na sio yeye kukimbia
Mbona tamaa inakatwa mapema namna hii??Wakuu habari..
Naelewa safari ya Lisu hapo CHADEMA Siyo nyepesi kwa kuwa inagusa maslahi ya wengi.
Naelewa tiyari ana mawazo mbadala Baada ya hatua hii, Mimi nimtie moyo kuwa anayo nafasi ya kuanzisha Chama cha Siasa na Watanzania wazalendo Tusiopenda Rushwa, Uonevu, Uporaji wa rasilimali za umma na ufisadi tupo tiyari kukichangia Chama kwa Hali na Mali.
Mbowe aachwe abakie na Chama chake
Mtanzania gani kakutuma useme hivyo. Jisemee mwenyeweWakuu habari..
Naelewa safari ya Lisu hapo CHADEMA Siyo nyepesi kwa kuwa inagusa maslahi ya wengi.
Naelewa tiyari ana mawazo mbadala Baada ya hatua hii, Mimi nimtie moyo kuwa anayo nafasi ya kuanzisha Chama cha Siasa na Watanzania wazalendo Tusiopenda Rushwa, Uonevu, Uporaji wa rasilimali za umma na ufisadi tupo tiyari kukichangia Chama kwa Hali na Mali.
Mbowe aachwe abakie na Chama chake
Kapigeni kura acheni mihemkoHapana Mbowe akae pembeni imetosha sasa aingie mwingine TL
Alisema atatoa Leo msimamoKwani Mbowe Nyie hamjamjua bado? Mbowe ilieleweka toka awali kuwa hayupo tiyari kuachia Uenyekiti
Unategemea hicho Chama cha Lissu kusajiliwa na nani? 🙄Wakuu habari..
Naelewa safari ya Lisu hapo CHADEMA Siyo nyepesi kwa kuwa inagusa maslahi ya wengi.
Naelewa tiyari ana mawazo mbadala Baada ya hatua hii, Mimi nimtie moyo kuwa anayo nafasi ya kuanzisha Chama cha Siasa na Watanzania wazalendo Tusiopenda Rushwa, Uonevu, Uporaji wa rasilimali za umma na ufisadi tupo tiyari kukichangia Chama kwa Hali na Mali.
Mbowe aachwe abakie na Chama chake
Mwishowe watamfukuza,lengo la Chama cha Siasa ni kuleta mabadiliko CHADEMA kimeanza kupoteza muelekeo kimeanza kuwa Chama cha kulamba makalio ya Watawala huku Vijana kwa Wazee wakiuwawa na kupotezwa na Maiti zao kulishwa Fisi wa Mbugani.Hapo simshauri, inachukua mida sana chama kukua. Lissu kaipigania sana chadema. Hasitoke kabisa, apambane humo humo. Na atawachapa hasa hata kama wasipo mchagua.