Lissu usiogope kuanzisha Chama cha Siasa, Watanzania tunaopenda mabadiliko tupo tayari kuchangia uendeshaji

Lissu usiogope kuanzisha Chama cha Siasa, Watanzania tunaopenda mabadiliko tupo tayari kuchangia uendeshaji

Mimi namsifu Mama Samia na timu yake.
Kupika Fitna ya namna hii inahitaji akili ya namna yake.
Wamejaa kwenye Hela,lissu Akianzisha Chama,wanagawana kura na CDM huku CCM inapita landslide!
Politics!
 
Wakuu habari..

Naelewa safari ya Lisu hapo CHADEMA Siyo nyepesi kwa kuwa inagusa maslahi ya wengi.

Naelewa tiyari ana mawazo mbadala Baada ya hatua hii, Mimi nimtie moyo kuwa anayo nafasi ya kuanzisha Chama cha Siasa na Watanzania wazalendo Tusiopenda Rushwa, Uonevu, Uporaji wa rasilimali za umma na ufisadi tupo tiyari kukichangia Chama kwa Hali na Mali.

Mbowe aachwe abakie na Chama chake
Mbona tamaa inakatwa mapema namna hii??
 
Muda ni mdogo kuelekea uchaguzi mkuu, supu hunywewa ya moto.
 
Naunga Mkona hoja..aende CHAUMA chap,mapambano yaendelee..CDM wabaki na hela za Mama Abdul
 
Wakuu habari..

Naelewa safari ya Lisu hapo CHADEMA Siyo nyepesi kwa kuwa inagusa maslahi ya wengi.

Naelewa tiyari ana mawazo mbadala Baada ya hatua hii, Mimi nimtie moyo kuwa anayo nafasi ya kuanzisha Chama cha Siasa na Watanzania wazalendo Tusiopenda Rushwa, Uonevu, Uporaji wa rasilimali za umma na ufisadi tupo tiyari kukichangia Chama kwa Hali na Mali.

Mbowe aachwe abakie na Chama chake
Mtanzania gani kakutuma useme hivyo. Jisemee mwenyewe
 
Mkuu mbona una haraka hivyo wakati bado hayajaisha masaa 48 aliyoomba Mbowe tumpe na atatoa msimamo wake
Kwani Mbowe Nyie hamjamjua bado? Mbowe ilieleweka toka awali kuwa hayupo tiyari kuachia Uenyekiti
 
Wakuu habari..

Naelewa safari ya Lisu hapo CHADEMA Siyo nyepesi kwa kuwa inagusa maslahi ya wengi.

Naelewa tiyari ana mawazo mbadala Baada ya hatua hii, Mimi nimtie moyo kuwa anayo nafasi ya kuanzisha Chama cha Siasa na Watanzania wazalendo Tusiopenda Rushwa, Uonevu, Uporaji wa rasilimali za umma na ufisadi tupo tiyari kukichangia Chama kwa Hali na Mali.

Mbowe aachwe abakie na Chama chake
Unategemea hicho Chama cha Lissu kusajiliwa na nani? 🙄
 
Hapo simshauri, inachukua mida sana chama kukua. Lissu kaipigania sana chadema. Hasitoke kabisa, apambane humo humo. Na atawachapa hasa hata kama wasipo mchagua.
Mwishowe watamfukuza,lengo la Chama cha Siasa ni kuleta mabadiliko CHADEMA kimeanza kupoteza muelekeo kimeanza kuwa Chama cha kulamba makalio ya Watawala huku Vijana kwa Wazee wakiuwawa na kupotezwa na Maiti zao kulishwa Fisi wa Mbugani.

Sasa kuna ombwe la Siasa za Mapambano Siasa za Jino kwa Jino Siasa ambazo Watawala watazielewa.
 
Back
Top Bottom