Baadae lazima afukuzwe uanachama, ametukana sana watu na kudhalilishaKwanini apoteze nguvu kuanzisha chama, apambane hapo hapo CHADEMA maana pia amechangia kukijenga chama. Kukimbia ni mentality za kushindwa, yeye ndo watu wanatakiwa kumkimbia na sio yeye kukimbia
Hapo simshauri, inachukua mida sana chama kukua. Lissu kaipigania sana chadema. Hasitoke kabisa, apambane humo humo. Na atawachapa hasa hata kama wasipo mchagua.Wakuu habari..
Naelewa safari ya Lisu hapo CHADEMA Siyo nyepesi kwa kuwa inagusa maslahi ya wengi.
Naelewa tiyari ana mawazo mbadala Baada ya hatua hii, Mimi nimtie moyo kuwa anayo nafasi ya kuanzisha Chama cha Siasa na Watanzania wazalendo Tusiopenda Rushwa, Uonevu, Uporaji wa rasilimali za umma na ufisadi tupo tiyari kukichangia Chama kwa Hali na Mali.
Mbowe aachwe abakie na Chama chake
CDM wao Wabakie na Mbowe , Lisu anachohitaji ni platform pekee isyokuwa na makandokando, na Hilo linawezekana, wala asifikirie kwenda ACT maana wao nao Wana Ndoa Yao na CCM kule Visiwani ZanzibarChadema wanamtaka mbowe, hawataki mabadiliko π
Mkuu mbona una haraka hivyo wakati bado hayajaisha masaa 48 aliyoomba Mbowe tumpe na atatoa msimamo wakeWakuu habari..
Naelewa safari ya Lisu hapo CHADEMA Siyo nyepesi kwa kuwa inagusa maslahi ya wengi.
Naelewa tiyari ana mawazo mbadala Baada ya hatua hii, Mimi nimtie moyo kuwa anayo nafasi ya kuanzisha Chama cha Siasa na Watanzania wazalendo Tusiopenda Rushwa, Uonevu, Uporaji wa rasilimali za umma na ufisadi tupo tiyari kukichangia Chama kwa Hali na Mali.
Mbowe aachwe abakie na Chama chake
Mkuu wakati mwingine unapaswa kukubali hasara Ili uweze kuanza upya na mentality mpyaKwanini apoteze nguvu kuanzisha chama, apambane hapo hapo CHADEMA maana pia amechangia kukijenga chama. Kukimbia ni mentality za kushindwa, yeye ndo watu wanatakiwa kumkimbia na sio yeye kukimbia
Nyie mnadhani kuanzisha chama ni kama makalio kila mtu anayoWakuu habari..