Uchaguzi 2020 Lissu vs Nyalandu ni sawa na CHADEMA vs CCM masikioni mwangu

Lissu ana hoja nzito sana ndugu. Subiri tu uone Magufuli atakavyotoka nduki kwenye kampeni. Lissu sio kiumbe wa kawaida ndugu. You will see
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
You have made my day napata faraja kwamba kumbe Tanzania bado kuna watu wanaofikiri sawasawa kama wewe
 
Wote hao except shibuda hawawezi kuvunja viapo vyao..its complicated.
 
Wote hao except shibuda hawawezi kuvunja viapo vyao..its complicated.
hivyo viapo ni vya CCM au vya kitaifa. Tunazungumzia siri za CCM kama ambavyo jamaa wanaohama chadema na kukidhalilisha chama walichokuwa wanakiamini.
 
Kwa waliowahi kuwa mawaziri au viongozi katika Serikali usitarajie watoe siri yoyote ile. Kumbuka watu hao waliapa kutotoa siri yoyote ile waliyoijua au kuufahamu kupitia cheo chao. Endapo watadisclose siri hiyo, kifungo ni miaka 20 jela kwa mujibu wa sheria. Hata ungekuwa wewe usingetoa siri ulizoapa kuzitunza. So kama mlitarajia Lowasa atoe siri za Serikali basi mlikuwa mambulula maana hata Serikali ilikuwa inamlia timing ili aropoke apelekwe kabatini na aoneshwe kiapo chake kisha afungwe kihalali kabisa
 
Mkuu CCM ndio chama chenye Dola..na kinatumia Dola vizuri Sana kulinda maslahi yake... nadhani umenielewa.
nimejilazimisha kuelewa tu mkuu. Huu uchama dola huu noma sana aisee
 
Unaandika vyema sana sana Chief, Magufuli anahitaji kitu kigumu badala ya jiwe...
 
Lamba like za kutosha
 
nimejilazimisha kuelewa tu mkuu. Huu uchama dola huu noma sana aisee
Labda nikupe mfano rahisi Sana, hizi V8 zenye usajili wa STs , SU, PT ata JW mara zote unapoziona mtaani au highways..unadhani muda wote zinakua kwenye official business?..jibu ni hapana, kile ni chombo cha serikali au umma na aliyekabidhiwa kukutumia ndio anaweza akakitumia vizuri na Kwa maslahi ya umma au akatumia Kwa maslahi/matumizi binafsi.
CCM ndio walishinda uchaguzi uliopita na wakakabidhiwa kuongoza hili lichombo likubwa linaitwa Dola..SASA inategemea na ni Nani Yuko sekta ipi na Kwa malengo yapi but all in all maslahi ya chama yanalindwa bigtime
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…