matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #21
hahahaha unaimani kali kama mfuasi wa nabii KIbweteleOctober Lissu atakua President Elect
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha unaimani kali kama mfuasi wa nabii KIbweteleOctober Lissu atakua President Elect
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lissu ana hoja nzito sana ndugu. Subiri tu uone Magufuli atakavyotoka nduki kwenye kampeni. Lissu sio kiumbe wa kawaida ndugu. You will see
Ukweli ni huohahahaha unaimani kali kama mfuasi wa nabii KIbwetele
You have made my day napata faraja kwamba kumbe Tanzania bado kuna watu wanaofikiri sawasawa kama weweHUwa naamini, kipimo cha mtu kutoka CCM kuja Upinzani na kuaminiwa kuwa ameachana na CCM lazima afanye mambo mawili.
1: Akae upinzani angalau kwa awamu mbili bila kuonyesha uswahiba wowote na CCM.
2: Angalau atuambie madudu ya CCM ambayo sisi huwa tunahisi tu ila yeye kwa sababu ni insider anaweza kutusaidia wapiga kura kujua kumbe zite tuhuma za wiziwizi huwa ni kweli au la. Lowasa, Membe, Shibuda, Nyarandu etc hawajawahi kufanya hii namb a mbili maana ni mtihani mgumu zaidi.
Ukosefu wa kimoja wapo hapo juu kinafanya huwa na imani hafifu kwa muhusika.
CHADEMA mtuletee mpinzani angalau wafuatiliaji wa mtanange tupate radha naamini 100% hataweza kutikisa Jabali ila atawaandaa wapinzani kwa 2025 na anaweza kuongeza idadi ya wabunge.
Mimi ni hayo tu.
ngoja tuone, watatikisa akiwa LISSU ila hawaangushi wala kusababisha dhara lolote lile mkuu
Wote hao except shibuda hawawezi kuvunja viapo vyao..its complicated.HUwa naamini, kipimo cha mtu kutoka CCM kuja Upinzani na kuaminiwa kuwa ameachana na CCM lazima afanye mambo mawili.
1: Akae upinzani angalau kwa awamu mbili bila kuonyesha uswahiba wowote na CCM.
2: Angalau atuambie madudu ya CCM ambayo sisi huwa tunahisi tu ila yeye kwa sababu ni insider anaweza kutusaidia wapiga kura kujua kumbe zite tuhuma za wiziwizi huwa ni kweli au la. Lowasa, Membe, Shibuda, Nyarandu etc hawajawahi kufanya hii namb a mbili maana ni mtihani mgumu zaidi.
Ukosefu wa kimoja wapo hapo juu kinafanya huwa na imani hafifu kwa muhusika.
CHADEMA mtuletee mpinzani angalau wafuatiliaji wa mtanange tupate radha naamini 100% hataweza kutikisa Jabali ila atawaandaa wapinzani kwa 2025 na anaweza kuongeza idadi ya wabunge.
Mimi ni hayo tu.
hivyo viapo ni vya CCM au vya kitaifa. Tunazungumzia siri za CCM kama ambavyo jamaa wanaohama chadema na kukidhalilisha chama walichokuwa wanakiamini.Wote hao except shibuda hawawezi kuvunja viapo vyao..its complicated.
Maybe president ErectOctober Lissu atakua President Elect
Mkuu CCM ndio chama chenye Dola..na kinatumia Dola vizuri Sana kulinda maslahi yake... nadhani umenielewa.hivyo viapo ni vya CCM au vya kitaifa. Tunazungumzia siri za CCM kama ambavyo jamaa wanaohama chadema na kukidhalilisha chama walichokuwa wanakiamini.
nimejilazimisha kuelewa tu mkuu. Huu uchama dola huu noma sana aiseeMkuu CCM ndio chama chenye Dola..na kinatumia Dola vizuri Sana kulinda maslahi yake... nadhani umenielewa.
Lissu amezoea vya kuchinja akipigwa chini si dili kubwa lakini bwana yule amezoea vya kunyonga na fomu ilichapishwa moja tu.
huwa sioni kama anatyme na watu, kwanza hawamjui.Nyarandu wkt wa mahojiano anamuita magufuli baba, huyu ataweza kweli mikiki mikiki ya kampeni za 2020?
Unaandika vyema sana sana Chief, Magufuli anahitaji kitu kigumu badala ya jiwe...Pia Mh Rais JPM anautisho katika jamii. Hata akisimama jukwaani ataonekana kama ni rais tu na ashahili kukosolewa na kupingwa, Sasa Lissu ndiye anayeweza kuchallenge mind za watanzania kidogo kuona kumbe anaweza akawepo mtu jasiri aliyenusurika kifo lakini bado anampinga waziwazi mtu wanayemuona yuko sahihi na kazi ambazo zinaonekana hazijawahi kufanywa tangu ukoloni.
Ila Lissu hata akipita atafutiwe HOJA maana huwa namuona mihemko n dio mingi k uliko tangible hoja. Yaani anataka tanznia gani ambayo itushawishi kuwa hii tulioletwa na anayempinga haifa.
Lamba like za kutoshaKati ya wana CCM walioamia Chadema aliyeamia kwa sababu ya msingi nadhani ni Nyarandu tu na Ndo mana hata Chadema wamemuamini kumpa uwenyekiti kanda ya kati.
Ila kwenye suala la uraisi Mtu pekee wa kupambana na Magufuli ni Tundu Lissu Pekee na hili ni kwa sababu zifuatazo
1. Lissu ana uthubutu na ujasiri wa hoja kuliko nyarandu. Nyarandu is too soft na Magufuli doesn’t need a soft competitor. He needs a tough one na hapo Lissu anafaa
2. Lissu amekulia kwenye mapambano so ana picha kubwa ya mapambano ya watanzania. Anajua nini kinakosekana kwa watanzania tofauti na nyarandu
3. Magufuli mwaka huu lazima atataka kutangazwa wakati amepigwa kweli kwenye kura. Kwenye hilo Chadema hawaitaji mtu soft ambae atakubali Matokeo na uonevu they need Lissu ambae atakataa matokeo na kuhamasisha nguvu ya umma.
ili Magufuli atoke madarakani mwaka huu lazima apambane na Lissu. Ni Lissu tu!!
mkuu wote kabila moja huoni kama watakuwa kivutio cha kupakaziwa ukabila?Nyalandu anafaa kuwa mgombea mwenza wa Lissu
Labda nikupe mfano rahisi Sana, hizi V8 zenye usajili wa STs , SU, PT ata JW mara zote unapoziona mtaani au highways..unadhani muda wote zinakua kwenye official business?..jibu ni hapana, kile ni chombo cha serikali au umma na aliyekabidhiwa kukutumia ndio anaweza akakitumia vizuri na Kwa maslahi ya umma au akatumia Kwa maslahi/matumizi binafsi.nimejilazimisha kuelewa tu mkuu. Huu uchama dola huu noma sana aisee