Uchaguzi 2020 Lissu vs Nyalandu ni sawa na CHADEMA vs CCM masikioni mwangu

Uchaguzi 2020 Lissu vs Nyalandu ni sawa na CHADEMA vs CCM masikioni mwangu

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
HUwa naamini, kipimo cha mtu kutoka CCM kuja Upinzani na kuaminiwa kuwa ameachana na CCM lazima afanye mambo mawili.
1: Akae upinzani angalau kwa awamu mbili bila kuonyesha uswahiba wowote na CCM.

2: Angalau atuambie madudu ya CCM ambayo sisi huwa tunahisi tu ila yeye kwa sababu ni insider anaweza kutusaidia wapiga kura kujua kumbe zite tuhuma za wiziwizi huwa ni kweli au la. Lowasa, Membe, Shibuda, Nyarandu etc hawajawahi kufanya hii namb a mbili maana ni mtihani mgumu zaidi.

Ukosefu wa kimoja wapo hapo juu kinafanya huwa na imani hafifu kwa muhusika.

CHADEMA mtuletee mpinzani angalau wafuatiliaji wa mtanange tupate radha naamini 100% hataweza kutikisa Jabali ila atawaandaa wapinzani kwa 2025 na anaweza kuongeza idadi ya wabunge.

Mimi ni hayo tu.
 
Kati ya wana CCM walioamia Chadema aliyeamia kwa sababu ya msingi nadhani ni Nyarandu tu na Ndo mana hata Chadema wamemuamini kumpa uwenyekiti kanda ya kati.

Ila kwenye suala la uraisi Mtu pekee wa kupambana na Magufuli ni Tundu Lissu Pekee na hili ni kwa sababu zifuatazo

1. Lissu ana uthubutu na ujasiri wa hoja kuliko nyarandu. Nyarandu is too soft na Magufuli doesn’t need a soft competitor. He needs a tough one na hapo Lissu anafaa

2. Lissu amekulia kwenye mapambano so ana picha kubwa ya mapambano ya watanzania. Anajua nini kinakosekana kwa watanzania tofauti na nyarandu

3. Magufuli mwaka huu lazima atataka kutangazwa wakati amepigwa kweli kwenye kura. Kwenye hilo Chadema hawaitaji mtu soft ambae atakubali Matokeo na uonevu they need Lissu ambae atakataa matokeo na kuhamasisha nguvu ya umma.

ili Magufuli atoke madarakani mwaka huu lazima apambane na Lissu. Ni Lissu tu!!
 
Pia Mh Rais JPM anautisho katika jamii. Hata akisimama jukwaani ataonekana kama ni rais tu na ashahili kukosolewa na kupingwa, Sasa Lissu ndiye anayeweza kuchallenge mind za watanzania kidogo kuona kumbe anaweza akawepo mtu jasiri aliyenusurika kifo lakini bado anampinga waziwazi mtu wanayemuona yuko sahihi na kazi ambazo zinaonekana hazijawahi kufanywa tangu ukoloni.

Ila Lissu hata akipita atafutiwe HOJA maana huwa namuona mihemko n dio mingi k uliko tangible hoja. Yaani anataka tanznia gani ambayo itushawishi kuwa hii tulioletwa na anayempinga haifa.
 
Lissu ana hoja nzito sana ndugu. Subiri tu uone Magufuli atakavyotoka nduki kwenye kampeni. Lissu sio kiumbe wa kawaida ndugu. You will see
 
Subiri October 2020 wewe Mataga wa Chato!

Mtakimbilia kwa mabeberu mkabebwe huko kama baby huko, huku mkilialia,
Muulizeni Tundu kama amekabidhi chumba huko uberigiji,
Maana uchaguzi ukiisha atasema tena anaogopa watu wasiojulikana ma kukimbia nchi.
 
Endeleeni na propaganda uchwara. Sie huu si wakati wa propaganda ni wakati wa vitendo. Jiandaeni kukabidhi nchi hapo October 2020
 
Mtakimbilia kwa mabeberu mkabebwe huko kama baby huko, huku mkilialia,
Muulizeni Tundu kama amekabidhi chumba huko uberigiji,
Maana uchaguzi ukiisha atasema tena anaogopa watu wasiojulikana ma kukimbia nchi.
October Lissu atakua President Elect
 
Back
Top Bottom