matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
HUwa naamini, kipimo cha mtu kutoka CCM kuja Upinzani na kuaminiwa kuwa ameachana na CCM lazima afanye mambo mawili.
1: Akae upinzani angalau kwa awamu mbili bila kuonyesha uswahiba wowote na CCM.
2: Angalau atuambie madudu ya CCM ambayo sisi huwa tunahisi tu ila yeye kwa sababu ni insider anaweza kutusaidia wapiga kura kujua kumbe zite tuhuma za wiziwizi huwa ni kweli au la. Lowasa, Membe, Shibuda, Nyarandu etc hawajawahi kufanya hii namb a mbili maana ni mtihani mgumu zaidi.
Ukosefu wa kimoja wapo hapo juu kinafanya huwa na imani hafifu kwa muhusika.
CHADEMA mtuletee mpinzani angalau wafuatiliaji wa mtanange tupate radha naamini 100% hataweza kutikisa Jabali ila atawaandaa wapinzani kwa 2025 na anaweza kuongeza idadi ya wabunge.
Mimi ni hayo tu.