Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
- Thread starter
-
- #21
Tuliza basi hasira kaka. Matusi ya nini tena? Wewe mwenyewe si umeshuhudia mgombea wako anavyoharibu?Wewe nimbwa flani hivi, hayo ☝yanatoka wapi? Siumeuliza? Unajijibu?
Hoja yako ni hii👇
Lissu v/s Zitto: Nani Mkali wa Kujenga Hoja za Kisiasa?
Kuwa msaliti hakukufanyi ushindwe kujenga hojazito mwana aminifu wa ccm na msaliti wa harakati za cdm anawezaje kulinganishwa na lisu? ni dhambi kubwa nani asiyejua alivyolipwa na ccm kuiangusha akashindwa akaishia kuanzisha chama chake ?
Cheamani ni mkomavu wa kisiasa
Kwa kigezo kipi? Mwalimu Nyerere (God rest his soul in eternal peace) alikuwa haendeshwi na emotion kwenye kuongea. Yule alikuwa fundi kwelikweliBaada ya Mwl Nyerere anafuatia ni Tundu Lissu......
Hakika kila nchi ungependa kua na Tundu Lissu wake
Sasa ilikuwaje nae akahadaika na kumuacha candidate mzuri, Lazaro Nyalandu na kuangukia upande huu mwingine? Au itakuwa ana majuto?Halafu hana papara. Yule mtu ni wa aina yake
Nasisitizia hapo alipo sema "huna akili"Adolay kusema Zitto anauwezo zaidi ya Lissu ndio kukosa akili?
Huwezi kutaka nchi inyimwe misaada hata Kama hukubaliani na baadhi ya mambo. Mnakaa ndani na kurekebishaElezea sehemu hata moja waliyotumia uwezo wao kuiangamiza nchi kwa kila mmoja wao
DebatableHao wote ni vichwa ndio maana nyinyi maccm mmeshindwa kuwanunua.
Tunawahitaji Sana kwenye mapambano ya maendeleoThis was your objective kuwananga
Wajinga utawapata.
Misaada kutoka kwa wazungu ambao magufuli wenu anawaita mabeberu au misaada kutoka wapi ?Huwezi kutaka nchi inyimwe misaada hata Kama hukubaliani na baadhi ya mambo. Mnakaa ndani na kurekebisha
Umri nao unasaidia. Yule bwana ana mwili tuu mzuri ila Ni mtu mzima anakaribia miaka 60 sasaHalafu hana papara. Yule mtu ni wa aina yake
Mbona chadema walimfukuza Zitto kwa madai kanunuliwa na CCM!Hao wote ni vichwa ndio maana nyinyi maccm mmeshindwa kuwanunua.
Basi sawa
Vyovyote vile lakini ni kosa kuisaliti nchi yakoMisaada kutoka kwa wazungu ambao magufuli wenu anawaita mabeberu au misaada kutoka wapi ?
Hayo ndiyo matamanio ya kila mtanzania; bahati mbaya sana common interest kwa wanasiasa wetu ni matumbo yao. Katika hilo hutamjua wa CCM wala wa upande mwingine.Upinzani usiwe uadui bali mawazo mbadala. The common interest ni kuwahudumia Watanzania na kuwavusha.