Lissu Vs Zitto: Nani mkali wa kujenga hoja za kisiasa?

Lissu Vs Zitto: Nani mkali wa kujenga hoja za kisiasa?

Wewe nimbwa flani hivi, hayo ☝yanatoka wapi? Siumeuliza? Unajijibu?

Hoja yako ni hii👇
Lissu v/s Zitto: Nani Mkali wa Kujenga Hoja za Kisiasa?
Tuliza basi hasira kaka. Matusi ya nini tena? Wewe mwenyewe si umeshuhudia mgombea wako anavyoharibu?
Mimi nashauri mtengeneze ili angalau hata mpate 15% ya kura ili muwe na uwakilishi kwa faida ya Watanzania wote.
 
zito mwana aminifu wa ccm na msaliti wa harakati za cdm anawezaje kulinganishwa na lisu? ni dhambi kubwa nani asiyejua alivyolipwa na ccm kuiangusha akashindwa akaishia kuanzisha chama chake ?
Kuwa msaliti hakukufanyi ushindwe kujenga hoja
 
Baada ya Mwl Nyerere anafuatia ni Tundu Lissu......

Hakika kila nchi ungependa kua na Tundu Lissu wake
Kwa kigezo kipi? Mwalimu Nyerere (God rest his soul in eternal peace) alikuwa haendeshwi na emotion kwenye kuongea. Yule alikuwa fundi kwelikweli
 
Zitto, Msigwa na Mbowe wanajuwa sana kujenga hoja na kujieleza, Lissu ana uwezo wa ukufunzi wa sheria au kutoa ushauri wa masuala ya sheria kwa Serikali yaani kama Spika Makinda alivyo kuwa anamtumia Bungeni.
 
Nayamani sana mara baada ya Kampeni Kama wanasiasa wote wangekuja pamoja na kuhakikisha wanaungana kuwapambania Watanzania halafu ikifika kwenye kampeni ndio waanze kila mtu kusema kwanini hawa waachwe na wale wachaguliwe.

Upinzani usiwe uadui bali mawazo mbadala. The common interest ni kuwahudumia Watanzania na kuwavusha.
 
Tatizo watu wanapandikiziwa chuki kwa misingi ya uvyama. Mimi CCM wewe CHADEMA lakini mwisho wa siku sisi wote ni Watanzania.

Vijana tuamke tuachane na siasa uchwara.

Unakuta Wala watu hawajiandikisha, hawatapiga kura halafu wanataka walete vurugu eti kuibiwa.
 
Upinzani usiwe uadui bali mawazo mbadala. The common interest ni kuwahudumia Watanzania na kuwavusha.
Hayo ndiyo matamanio ya kila mtanzania; bahati mbaya sana common interest kwa wanasiasa wetu ni matumbo yao. Katika hilo hutamjua wa CCM wala wa upande mwingine.

Lissu aliwahi kuulizwa, kipindi akiwa mbunge, uhalali wa hizi posho lukuki wanazojilipa wabunge. Alijibu kuwa posho zilikuwa halali kwani hata kabla ya ubunge alikuwa anapata pesa nyingi kuliko anazopata bungeni.
 
Back
Top Bottom