Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amri za Mungu zisingekataza kuua, wewe ulistahili kuuliwa. Maana kichwa chako badala ya kuwa msaada kwako kimegeuka kuwa mzigo kwako.Tundu Lissu asitufanye wajinga kiasi hicho. China wanajua kiingereza?????? Ujinga mtupu wala hatupotezi muda na mjiinga huyo, ajenda yetu kwa sasa ni kukiweka kiswahili lugha ya Kwanza Afrika halafu yeye anatuletea upupu.We want to make Tanzania great nation,kiswahili ni ajenda kuu
Tundu Lissu atakufanyaje mjinga wakati tayari ulishakuwa mjinga?Tundu Lissu asitufanye wajinga kiasi hicho. China wanajua kiingereza?????? Ujinga mtupu wala hatupotezi muda na mjiinga huyo, ajenda yetu kwa sasa ni kukiweka kiswahili lugha ya Kwanza Afrika halafu yeye anatuletea upupu.We want to make Tanzania great nation,kiswahili ni ajenda kuu
Tundu Lissu asitufanye wajinga kiasi hicho. China wanajua kiingereza?????? Ujinga mtupu wala hatupotezi muda na mjiinga huyo, ajenda yetu kwa sasa ni kukiweka kiswahili lugha ya Kwanza Afrika halafu yeye anatuletea upupu.We want to make Tanzania great nation,kiswahili ni ajenda kuu
Nyie wa Lumumba uelewa wenu mdogo sana .... jitahidini walau kurudia kusoma kama hamjaelewa kitu!! Ndiyo maana Membe ameenda ACT anadai amekuta vijana kule walivyo na akili kuliko pakaaliowaacha Lumumba....!!Kwahiyo hayo maendeleo ambayo anasema atawaletea watu kumbe ilikuwa anamaanisha kuongea kingereza vizuri??
Daah Chadema mmetuletea mtu wa aina gani??
Ulikuja na mawazo hasi dhidi ya Lissu ukitegemea mashambulizi dhidi yake, lakini wajuzi wamekuumbua hapo juu."Ukiniuliza mimi, honest opinion Nchi yetu haiwezi kuzungumza Kiingereza, hivyo tunahitaji kuwa na mjadala juu ya sera ya lugha, tusipokuwa na mjadala huu, hatufiki popote kwani language of instruction is everything" - Tundu Lissu akizungumza na Wanahabari nyumbani kwake DSM
"Mimi ni Wakili, Majaji wengi hawajui kiingereza, ukienda Nchi za wenzetu huko Mtanzania akiongea unatamani kuingia uvunguni mwa meza, Kiingereza chetu ni kibaya, sio kwasababu hatuna akili ila ni kwasababu tumekosa Sera ya Lugha" - LISSU
"Tangu tumepata Uhuru tumekua na ndimi mbili kuhusiana na lugha na ndimi mbili ni hatari, ulimi mmoja tumesema Kiswahili ni lugha ya Taifa na tumeiendeleza kwelikweli, ulimi wa pili tumesema Kiswahili si lugha ya kufundishia" - LISSU
"Fikiria tu muda Mtu anaotumia kujifunza Kiingereza ajifunze na aelewe miaka 4 tu ya Sekondari anakuwa hajaelewa Kiingereza sawa sawa na anakwenda tena form 5 na 6 bado anakuwa vilevile, kwa kifupi Watu wetu hawajui Kiingereza" - LISSU
Tundu Lissu asitufanye wajinga kiasi hicho. China wanajua kiingereza? Ujinga mtupu wala hatupotezi muda na mjiinga huyo, ajenda yetu kwa sasa ni kukiweka kiswahili lugha ya Kwanza Afrika halafu yeye anatuletea upupu.We want to make Tanzania great nation,kiswahili ni ajenda kuu
Dah!Wakulaumiwa ni Nyerere na kiherehere chake Kiswahili ni kitamu ila kimetunyima ubarikio wetu tuliopewa na bwana kukamilika kwa 100%!
tulipaswa kuwa namba 1 Afrika kwenye kila kitu.
1. Umalaya tunauweza.
2. Umbea na majungu hakuna anayetuweza.
3. Roho mbaya ndio sisi.
4. Roho nzuri sisi.
5. Mdomo tunao, tunaongea ni hakuna mfano.
6. Ujinga ni namba moja.
7. Ujuaji hakuna kitu hatujui.
Tatizo ni ka lugha tu WAJAMENI, malaya wa sea cliff pale wanapata taaaabu sana