Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Jaji Tiganga alisikiliza ushahidi wa Jamhuri na kupima kwa weledi kuwa Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu. Hii ilionyesha kuwa kulikuwa na harufu ya hati. Mbowe na wenzake walitakiwa athibitishe kama siyo kweli.
Lakini ghafla DPP akawafutia mashitaka na Mbowe usiku usiku akaonekana Ikulu. Hii ni wazi hakuna Independence of Judiciary hapa Tanzania.
Leo hii Lissu anasema kuwa ndiyo maana Mabeberu wanakimbilia LCCSID kuliko kupitia mahakama zetu akisahau sakata la Mbowe na wenzake.