Umejichanganya kwenye paragraph yako ya mwisho. Umepoteza mantiki.Jaji Tiganga alisikiliza ushahidi wa Jamhuri na kupima kwa weledi kuwa Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu. Hii ilionyesha kuwa kulikuwa na harufu ya hati. Mbowe na wenzake walitakiwa athibitishe kama siyo kweli.
Lakini ghafla DPP akawafutia mashitaka na Mbowe usiku usiku akaonekana Ikulu. Hii ni wazi hakuna Independence of Judiciary hapa Tanzania.
Leo hii Lissu anasema kuwa ndiyo maana Mabeberu wanakimbilia LCCSID kuliko kupitia mahakama zetu akisahau sakata la Mbowe na wenzake.
Jaji Tiganga alisikiliza ushahidi wa Jamhuri na kupima kwa weledi kuwa Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu. Hii ilionyesha kuwa kulikuwa na harufu ya hati. Mbowe na wenzake walitakiwa athibitishe kama siyo kweli.
Lakini ghafla DPP akawafutia mashitaka na Mbowe usiku usiku akaonekana Ikulu. Hii ni wazi hakuna Independence of Judiciary hapa Tanzania.
Leo hii Lissu anasema kuwa ndiyo maana Mabeberu wanakimbilia LCCSID kuliko kupitia mahakama zetu akisahau sakata la Mbowe na wenzake.
Nchi hii imefikia mahali kujionyesha ujinga wako hadharani inaonekana ni jambo la fahari.Jaji Tiganga alisikiliza ushahidi wa Jamhuri na kupima kwa weledi kuwa Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu. Hii ilionyesha kuwa kulikuwa na harufu ya hati. Mbowe na wenzake walitakiwa athibitishe kama siyo kweli.
Lakini ghafla DPP akawafutia mashitaka na Mbowe usiku usiku akaonekana Ikulu. Hii ni wazi hakuna Independence of Judiciary hapa Tanzania.
Leo hii Lissu anasema kuwa ndiyo maana Mabeberu wanakimbilia LCCSID kuliko kupitia mahakama zetu akisahau sakata la Mbowe na wenzake.
Hivi huwezi kukaa kimya tu?Nchi hii imefikia mahali kujionyesha ujinga wako hadharani inaonekana ni jambo la fahari.
Ulichoandika umedhihirisha matumizi mabaya ya akili kama utakuwa nayo.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mahakama iliona ana kesi ya kujibu. Mashahidi walieleza walichoonaKwa taarifa yako mahakama zetu zingekuwa huru, mashahidi wote wa upande wa serikali kwenye kesi ya Mbowe leo hii wangepaswa kuwa jela. Kama kuna wakati nilizidi kuzidharau mahakama zetu ni kwenye kesi ya kubambikiwa ya Mbowe.
Mahakama iliona ana kesi ya kujibu. Mashahidi walieleza walichoona
Wewe ndiye ukae kimya huu ujinga wako washirikishe wazazi wako kwani ndiyo walifanya kosa kubwa kuleta kiumbe kama wewe duniani. Mbowe alishitakiwa kwa tuhuma za kizushi na DPP baada ya kuona Serikali kwa mara nyingine inakwenda kuvuliwa nguo akaamua kuiondoa kesi Mahakamani. Kama mshitaki ameondoa kesi Mahakamani ulitaka Mahakama itoe maamuzi kwa kesi ambayo haipo Mahakamani?Hivi huwezi kukaa kimya tu?
Wa kupimwa wewe kuanzia akili hadi ngwengweJaji Tiganga alisikiliza ushahidi wa Jamhuri na kupima kwa weledi kuwa Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu. Hii ilionyesha kuwa kulikuwa na harufu ya hati. Mbowe na wenzake walitakiwa athibitishe kama siyo kweli.
Lakini ghafla DPP akawafutia mashitaka na Mbowe usiku usiku akaonekana Ikulu. Hii ni wazi hakuna Independence of Judiciary hapa Tanzania.
Leo hii Lissu anasema kuwa ndiyo maana Mabeberu wanakimbilia LCCSID kuliko kupitia mahakama zetu akisahau sakata la Mbowe na wenzake.
Uwe unatumia akili kujibu hoja.Ukijidai umekasirishwa unazidi kujionesha ulivyo mtupu.Jaji Tiganga alisikiliza ushahidi wa Jamhuri na kupima kwa weledi kuwa Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu. Hii ilionyesha kuwa kulikuwa na harufu ya hati. Mbowe na wenzake walitakiwa athibitishe kama siyo kweli.
Lakini ghafla DPP akawafutia mashitaka na Mbowe usiku usiku akaonekana Ikulu. Hii ni wazi hakuna Independence of Judiciary hapa Tanzania.
Leo hii Lissu anasema kuwa ndiyo maana Mabeberu wanakimbilia LCCSID kuliko kupitia mahakama zetu akisahau sakata la Mbowe na wenzake.
Upuuzi mtupu.Jaji Tiganga alisikiliza ushahidi wa Jamhuri na kupima kwa weledi kuwa Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu. Hii ilionyesha kuwa kulikuwa na harufu ya hati. Mbowe na wenzake walitakiwa athibitishe kama siyo kweli.
Lakini ghafla DPP akawafutia mashitaka na Mbowe usiku usiku akaonekana Ikulu. Hii ni wazi hakuna Independence of Judiciary hapa Tanzania.
Leo hii Lissu anasema kuwa ndiyo maana Mabeberu wanakimbilia LCCSID kuliko kupitia mahakama zetu akisahau sakata la Mbowe na wenzake.
Ndio hapo sasa kuna umuhimu wa katiba mpya, itakayo mpunguzia rais madaraka.Jaji Tiganga alisikiliza ushahidi wa Jamhuri na kupima kwa weledi kuwa Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu. Hii ilionyesha kuwa kulikuwa na harufu ya hati. Mbowe na wenzake walitakiwa athibitishe kama siyo kweli.
Lakini ghafla DPP akawafutia mashitaka na Mbowe usiku usiku akaonekana Ikulu. Hii ni wazi hakuna Independence of Judiciary hapa Tanzania.
Leo hii Lissu anasema kuwa ndiyo maana Mabeberu wanakimbilia LCCSID kuliko kupitia mahakama zetu akisahau sakata la Mbowe na wenzake.
Hakuna mahakama hapa Tanzania, bali kuna majengo ya mahakama yanaendeshwa na Makada wa CCM.Mahakama iliona ana kesi ya kujibu. Mashahidi walieleza walichoona
stiff necked foolJaji Tiganga alisikiliza ushahidi wa Jamhuri na kupima kwa weledi kuwa Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu. Hii ilionyesha kuwa kulikuwa na harufu ya hati. Mbowe na wenzake walitakiwa athibitishe kama siyo kweli.