4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Wakuu JF Bwaana awe nanyi popote mlipo.
Hili andiko fupi sana wakuu.
Katika mikukutano kama sio moja amesikika makamu mwenyekiti akilalamika uwezekano wa rushwa ndani ya chama na wengi walibeza kumbe mh lissu alimanisha kama ambavyo amekua akitoa hoja na watu zichukulia poa.
Kuna uchaguzi wa moto sana kanda ya Nyasa, ila pia zipo chaguzi za Wilaya n.k. zinaendelea.
Upo uchaguzi uliofanyika wilaya ya DODOMA JIJI, NA makao makuu ya nchi ulijaa uchafu wa kutupwa ikiwemo rushwa.
Napendekeza kwa nia njema kwa chama pendwa Chadema kufutilia mbali uchaguzi huu na kuitisha mwingine upya na alie husika kumfutilia mbali uanachama.
Naomba chama makao makuu futilia hili kwa karibu sana, vinginevyo Chadema itakua kama CCM. Period.