Lissu yupo sahihi sana kuhusu rushwa, huenda inatembea ndani ya chama

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
8,406
Reaction score
9,619
Wakuu JF Bwaana awe nanyi popote mlipo.

Hili andiko fupi sana wakuu.

Katika mikukutano kama sio moja amesikika makamu mwenyekiti akilalamika uwezekano wa rushwa ndani ya chama na wengi walibeza kumbe mh lissu alimanisha kama ambavyo amekua akitoa hoja na watu zichukulia poa.

Kuna uchaguzi wa moto sana kanda ya Nyasa, ila pia zipo chaguzi za Wilaya n.k. zinaendelea.

Upo uchaguzi uliofanyika wilaya ya DODOMA JIJI, NA makao makuu ya nchi ulijaa uchafu wa kutupwa ikiwemo rushwa.

Napendekeza kwa nia njema kwa chama pendwa Chadema kufutilia mbali uchaguzi huu na kuitisha mwingine upya na alie husika kumfutilia mbali uanachama.

Naomba chama makao makuu futilia hili kwa karibu sana, vinginevyo Chadema itakua kama CCM. Period.
 
RUSHWA haitakiwi hata kusikika tu,

Viongozi wakemee zaidi na kusafisha chama ikiwemo kuwafuta uanachama wahusika.
 
Uchaguzi ambao wewe utahakikisha hauna rushwa
 
Napendekeza kwa nia njema kwa chama pendwa Chadema kufutilia mbali uchaguzi huu na kuitisha mwingine upya na alie husika kumfutilia mbali uanachama
Rushwa na Chadema damu damu.....Lisu
 
Chadema taifa futeni uchaguzi ndani ya Dodoma jiji na mkiitisha uwe chini kamati mahalum toka uongonzi wa chama juu

Chadema ni tunu ya watz
 
Huku Kanda ya Ziwa Wenje ameshinda kwa rushwa nje nje hadi Pambalu akajitoa huku analia mchozi! Eti, "Sawa tu. Na mimi ntapataga hela tu"!
 
Lkn wajisahihishe kama alivyosema Upendo Peneza
Huyo Upendo pendeza nitakaka ,unashauri ukiwa ndani ya chama ,chama kama ccm au chadema inaongzwa na watu na watu sio malaika.

Lazima kemea inapo bidi sie sio machawa

Upendo pendeza amekataa kaa na sauti ya wengi na kumkibilia shetani , mda mwalim atakufa mdomo wazi siku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…