MtazamoWangu
JF-Expert Member
- Apr 25, 2009
- 313
- 7
Dowans,Vodacom(mirambo), Richmond...CCM..hehe
hii hoja nazani mtoaji amesahau kuweka sababu za kuileta..maana hata mimi na umasikini wangu nazani namzidi rostam kwa idadi ya makampuni...
suala ni;
1.je kampuni hizo zinafanya biashara gani sasa??
2. zimeajiri watanzania wangapi??
3. zinalipa kiasi gani cha kodi kwa serikali?
4. zimefunguliwa kisheria??
5. zinachangiaje maendeleo??
6. zinapata wapi pesa, zina madeni benki? kama zilikopa zilipataje mkopo??
7.je ziko wapi sasa??
8.....
kama alivyotoa vielelezo kuhusu kampuni za mengi basi atokee mtu nae aeleze maendeleo ya kampuni hizo...
Mimi ninaona mafanikio katika vita dhidi ya rushwa ni kuhakikisha ninapambana na ku-shutdown mfumo mzima unaofanya rushwa iwepo na kuendelea kuwepo. Nina hakika mfumo wa rushwa utakapoweza kudhibitiwa ni wazi kabisa na wale wote wanaohusika na vitendo hivyo watakuwa wamezimwa. To me kupambana na mtu mmoja ambaye hata ukakika kwa maana evidence ni ngumu na hujui amezungukwa na nguvu gani katika mfumo ni sawasawa na kupeleka haya mapambano katika direction ambayo haitazaa matunda yatakayokuwa na manufaa au kumaliza mfumo wa rushwa.
Ninazidi kutoa changamoto kuwa haya mapambano kama ni ya RA vs nyie, that good for you, lakini kama ni ya rushwa basi I beg to differ with you guys, you are in wrong way, hamuoneshi kupambana na rushwa rather than RA.
Kwa maana nyingine mtoa hoja ndiye FISADI au?
Niko kwenye jahazi lako mkuu
Respect.
Kasheshe
Dowans,Vodacom(mirambo), Richmond...CCM..hehe
hii hoja nazani mtoaji amesahau kuweka sababu za kuileta..maana hata mimi na umasikini wangu nazani namzidi rostam kwa idadi ya makampuni...
suala ni;
1.je kampuni hizo zinafanya biashara gani sasa??
2. zimeajiri watanzania wangapi??
3. zinalipa kiasi gani cha kodi kwa serikali?
4. zimefunguliwa kisheria??
5. zinachangiaje maendeleo??
6. zinapata wapi pesa, zina madeni benki? kama zilikopa zilipataje mkopo??
7.je ziko wapi sasa??
8.....
kama alivyotoa vielelezo kuhusu kampuni za mengi basi atokee mtu nae aeleze maendeleo ya kampuni hizo...
Hitimisho lako ni zuri , lakini ninasikitika kukuambia tunaendelea kupata List ya wafanyabiashara wote wanaoshirikiana na RA kuiba na kuficha mali za masikini, sasa hivi tunafahamu kwamba Mohamed Enterprises nayo inahusika kumficha huyu bwana kama wanabisha waje hapa jamvini na wakatae kwamba RA hana shares kubwa katika kampuni zao.
Kwa nini usingesubiri ufanye kila kitu utuletee kitu chenye maana... kuliko kutuletea upupu hapa... do you think watu wana muda wa kusoma list za makampuni si wangeenda BRELA???Hiyo itakuwa ripoti ya Mwisho mzee , Tutaiona tu, na tutaisoma kwa utulivu na itajibu maswali yako yote
Hakuna lolote, shauri yako, unaweza kuja kumpandisha chat.
I'm sure 5 years down the line, utagundua ulikuwa unaandika u2mbo.
In short you are wasting your time, umaskini wako/wetu unasababishwa na uvivu wetu na siasa zetu za ujamaa na kufanya kila kitu siasa hata vile ambavyo havistahili kuwa siasa... sio watu watano ati ndio sababu ya umaskini Tanzania!
Kuna nchi iliyokuwa na ufisadi kama Kenya mbona wako mbali zaidi yetu? Siri kubwa wanafanya kazi... full stop.
Binafsi mimi sio masikini , Watanzania sio wavivu hauwatendei haki men and woman who wake up evryday in the morning and go and try to feed their family wakati watu wanagawana hazina ya Taifa.Hii isingekuwa siasa kama pesa za umma/masikini/walipa kodi zingekuwa haziibiwi au hazihusushwi katika utekelezaji.
Ni kweli wewe binafsi sio maskini,,, si unajua mkuu una-at least access to mtandao wa computer duniani.
On another hands, Now I understands kwa nini unabwatuka ovyo!!!
Okay wish you all the best!!! Ila mkumbuke muumba wako... kudhania watu uwongo ni dhabi kubwa.
One day, unajibu haya... kuamka asubuhi na kwenda kuuza pipi... is hardworking si ndio mkuu...
Yeah... wewe kiboko mkuu.
Kipi ni uwongo? Ni Uongo kwamba RA ni fisadi? Ni uongo kwamba kuna walimu hawajalipwa malimbikizo ya mishahara yao while people stealing public funds? Ni uwongo Tenaseco imeshindwa kusambaza umeme nchini because ya kunyonywa na makampuni kama dowans? Please be sensible a bit....I will honor mtu yule anayeamka asubuhi kwenda kuuza pipi kihalali than anyone who steal for poor.
Ushaidi kwamba umaskini wenu unaletwa na uvivu huu hapa bofya hapa
Hehehehe kweli mzee umeishiwa na hekima!
TANESCO iliundwa mwaka gani na DOWANS iliingia mkataba na TANESCO lini? Kwa taarifa yako DOWANS as legal entity haina issue yoyote ya kunyonya na TANESCO fuatilia mambo kwa makini, alafu performance mbovu ya TANESCO haikuanza wakati wa Mkataba na DOWANS... kama ulivyosema... kuwa makini unavyoandika mkuu... Tofautisha DOWANS na RICHMOND... Matatizo ya TANESCO kwa mtu makini anafahamu yalianza wapi... watu wa kupandia mambo ndio hawaelewi pole...
Issue ya Rostam kuwa fisadi umesema utatupatia report mpaka hapo tutakapopata mpaka sasa Rostam tunamjua kama Mtanzania Tajiri, Mfanyabiashara na Mbunge wa Igunda.
Hiyo la ufisadi unatakuwa ku-prove kwa watu wazima mkuu.... sawa!!!!
Ushaidi kwamba umaskini wenu unaletwa na uvivu huu hapa bofya hapa
Huo ni mfano kwenye mifano milions ya mambo yanavyoenda kwenye taifa letu, hayo nayo ni Rostam ... acha upupu mkuu
eeeehhh bwana eee, una mikwala .... HahahahahaSiku kibarua chako kitakapoisha ndio utagundua kuwa sisi sio wavivu unatuita wavivu kwasbabu umeweza kuiba mali ya Umma huku tukikuchekea but those days are coming to the end
Mimi mbongo mkulima mkuu tena barabara ya kuelekea kwetu ndio inakaribia kumalizika tangu uhuru Mkuu, Mozambiq kulikuwa karibu kuliko bandari salama.- Mkuu Kasheshe vipi wewe ni foreigner au? Mimi nilifikiri na wewe ni mbongo kama sisi kumbe au?
FMES!
Binafsi mimi sio masikini , Watanzania sio wavivu hauwatendei haki men and woman who wake up evryday in the morning and go and try to feed their family wakati watu wanagawana hazina ya Taifa.Hii isingekuwa siasa kama pesa za umma/masikini/walipa kodi zingekuwa haziibiwi au hazihusushwi katika utekelezaji.
Hakuna lolote, shauri yako, unaweza kuja kumpandisha chat.
I'm sure 5 years down the line, utagundua ulikuwa unaandika u2mbo.
In short you are wasting your time, umaskini wako/wetu unasababishwa na uvivu wetu na siasa zetu za ujamaa na kufanya kila kitu siasa hata vile ambavyo havistahili kuwa siasa... sio watu watano ati ndio sababu ya umaskini Tanzania!
Kuna nchi iliyokuwa na ufisadi kama Kenya mbona wako mbali zaidi yetu? Siri kubwa wanafanya kazi... full stop.
Ninakuunga mkono Kashehe, tusemezame na ukweli hasa udhaifu wetu kama watanzania. Kila siku tunajivunia kuwa watanzania wana umoja na amani, mbona hili la uvivu hatulisemi au sote tumeshakuwa wanasiasa?