Hawa Rostam na Mohamed mi nafikiri wamekuwa waendelezaji tu wa mali nyingi zilizo vunwa kutokana na uwindaji halali (kidogo) na haramu (sana) kutoka kwa watangulizi wao.
Watanzania wengi wenye asili ya Asia toka enzi za mwalimu kurudi nyuma, biashara yao kuu ilikuwa ni uwindaji (wengi wanamiliki vitalu huko mbugani).
Sasa hapa kwenye uwindaji unakuta mtu anaweza kuwa na kibali halali lakini anaunganisha humohumo na uwindaji haramu. Kile kibali kinakuwa kama ngao au kichaka cha kujificha
Hawa ndiyo leo mabilioneo wa nchi yetu Tanzania