Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
kutekwa kwa Mo na kudakwa kwa Akram Aziz ukiunganisha dots unapata maana iliyo kamili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliandika hivi 2009 leo 2018 kuna kesi ya JAMIIFORUMS yenye hichi ulichoandikaNjia rahisi na yenye maslahi kwa nchi na kizalendo ni mahakamani kama una ushahidi zaidi ya hapo umeingia mkenge labda uanze kutafutwa wewe kwa kupotosha ummah
unajua kwamba mtu anaweza kuushitaki mtandao wa jamii mahakama ikaamuru mawasiliano yako na taarifa zako zingine zitolewe kwa maslahi ya nchi ?? Unajua kwamba hilo linawezekana ?
Ndio utajua kwanini hizi chat huwa zina printiwa na kupelekwa kwa wenyewe wazisome
Sawa Mzee, Hakuna sheria inayomkataza Rostam Kumiliki kampuni kwa kutumia majina ya watu, tunajua ni mchafu na ndio maana anatumia blind company, Ila bahati mbaya ni kwamba pamoja na kwamba yeye ni Blind owner kila anapokwenda kufuatilia mchongo kwa ajili ya kampuni zake alikuwa hatumii hizo blind names kujificha alikuwa anakwenda mwenyewe ushahidi wa kutosha upo na tutamshangaza nao very soon.
Ukitaka kujua jamaa ni mchafu hiyo Rift Valley aliwadaganya wakenya kwamaba ana USD 40 Million on front which was nguvu yake ya kuingia kwenye hiyo consortium jamaa wakagundua alikuwa hana hiyo pesa wakataka mtosa baada ya yeye kugwaya kusaign ile draft ya share iliyokuwa inamtaka atoe mapene on front which took him two years ku sort out nazani hutumbii tu kwamba alikuwa anasubiri prsa za richmond sio?
katika swala la madini mbona hujagusia zile blood diamond anazo nunua congo na kuja kuzisafisha dar au nalo hatujui?
Kukuhakikishia ni kwamba sio tu tutamnyang'anya bali tutauwa network yake yote ya ujambani ya east and central africa,
Ktk mtandao. Kama huu. Niku silenceHii ni orodha ya makampuni yanayomilikiwa na RA pamoja na mdogo wake anaiyetwa AKRAM AZIZ pamoja na Mohamed Enterprises.
Katita hii orodha kuna kampuni kama Tanzania Packages Manufacturing Co ambayo anaimiliki yeye na Mohamed Enterprises. Swali? Je kuna kampuni ngapi za Mohamed Enterprises Tanzania Limited Ambazo RA ana share? Tunaendelea kuunganisha dots ..... kujua ukubwa wa hii network ya wizi Kabla hatuja ibomoa.
- Africa Tanneries Ltd- Mwanza
- Tanzania Leather Industry Ltd- MOROGORO
- African Trade Development Group (Tz),
- Tanzania Packages Manufacturing Co owning with Mohamed Enterprises
- Caspian construction
- New Habari corporation
- Wembere Hunting Safari company with Akram Aziz
Asante sana. Unajua kuna watu wengi walikuwa wanafuata mkumbo wa kupiga kelele bila hata kujua wanachopigia kelele ni nini. Hawa jamaa ni wachafu sana na baada ya kukamua mali zetu wanataka kutuwekea hata viongozi.kutekwa kwa Mo na kudakwa kwa Akram Aziz ukiunganisha dots unapata maana iliyo kamili
Mkuu Huyo Yona F Maro Uliyereply Comment yake Alishafariki Kaka.[emoji41][emoji41]
Kuna watu wengi ambao wamejificha nyuma ya Huyu mheshimiwa... Na ndio nao tunataka tuwafahamu..........tutasafisha this year mpaka tuhakikishe everything clean .....
Una muuliza marehemu au?Uliand
Uliandika hivi 2009 leo 2018 kuna kesi ya JAMIIFORUMS yenye hichi ulichoandika
😀😀😀Kwahiyo Mo na Akram ni washiriki kibiashara
Majuzi Mo katekwa leo Akram kakamatwa aiseee bandiko la 2009 shikamoo jf
Una muuliza marehemu au?