Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
... hamkujua all along kwamba jk nyota yake imetokana na lowassa 1995 na pia hamkujua kwamba lowassa ndio kamfikisha jk kwenye urais wake wa leo as mtu aliyem introduce to the scene ya urais 1995 na pia as mtu aliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya kumuandaa jk? ......
What a ----.... kama Lowasa ndio alimu-introduce kikwete na kusaidia kikwete kushinda....then what? kwani kumsaidia Kikwete kushinda ni sababu ya kumfanya lowasa awe safi?
Lowasa inabidi alipe kodi zote alizokwepa miaka ya tisini kwa sasa ndio aanze propaganda.... otherwise unapoteza muda bure!
angalau mimi napoteza muda, but for you muda unaenda na soon, if not mwandosya lowassa will be the next president of tanzania na wewe utabaki mdomo wazi na pengine kufungua blog on that.
I would like to believe we have more capable people in Tanzania apart from Mwandosya and Lowassa.
.....im continuously reminding kila mtu kwamba kwa market forces za sasa, hao ndio watatuongoza after jk. my discussion is solely based on that fact.
unatumia solely... that fact.... umoja...
wakati unadai kuwa raisi lazima awe mkristo na atoke kabila dogo (more than one "fact").......uwingi....
Hii game imeshakushinda.... kajipange upya kwa sababu umeanza kujichanganya....
rais ajae lazima atakuwa mkristo ........
Eh babu umeanza kutumia neno lazima.... kwani mmepanga kufanya nini isipokuwa hivyo.... je wananchi wakimchagua Lipumba au Zito ambao wooote ni waislam mtafanya nini na hizo lazima zenu..
Unaanza kuniogopesha saasa
Eh babu umeanza kutumia neno lazima.... kwani mmepanga kufanya nini isipokuwa hivyo.... je wananchi wakimchagua Lipumba au Zito ambao wooote ni waislam mtafanya nini na hizo lazima zenu..
Unaanza kuniogopesha saasa
ni peke yako unayeuliza sana hili swali. wewe ndio wa kuogopwa, mbona wengine hawaulizi humu JF? ni kwasababu wanaelewa ninachokisema. hivi unajua mimi ni dina gani? nikikuambia ni muslamu utasemaje?
issue ya zitto na lipumba ni issue nyingine. mimi naongelea ccm.
Good observation Mwafrika....
I, too, thought that we were a democracy...
Nani kakuuliza kuhusu dini yako...... dini yako ninaijua tayari kama vile ninavyojua kazi uliyotumwa kufanya hapa.....
Haya ya kusema kuwa raisi ajaye lazima awe mkristo yanatisha!
.... kwa mtu kama wewe uliyelowea huko majuu na kufundishwa kwamba demokrasia sahihi ni ya west na pia kwamba uongozi kwa kupokezana udini sio sahihi, pole sana.
...... sioni haja ya kuzungumzia hili suala la udini...... na pia jazba huko majuu kwa rais kikwete.
Labda Mchambuzi ungesema, CCM watamsimamisha Lowassa au Mwandosya kushindana na wengine watakaojitokeza kutoka vyama vingine, lakini hili la lazima linatia wasi wasi kwamba kuna mpango kabambe unaandaliwa kuhakikisha kwamba Rais lazima atoke CCM. Na huu unaweza kuwa Umafia mwingine maana ni kama mtake msitake Rais lazima awe CCM. Je hii nayo sio Udaku ule ule uliosema mwanzo kwa akina Slaa? kwa hiyo CCM hushinda kwa Lazima hata kama watu hawakuichagua? naanza kupata wasiwasi na hizo 80% za JK kama zilikuwa za halali.
Mchambuzi, I was liking your points........but that presidential issue for 2015, ni kama umetumwa mkuu. Basically you are saying the opposition and Tanzanians are still stupid enough not to be able to decide their destiny. I would like to believe, you will be proven wrong.