List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

Hapo Mchambuzi umenisaidia sana, pointi yangu ni kwamba kule Gari linakoelekea sasa ambako JK anatupeleka. na Lowassa atafanya hivyo hivyo, Ndiyo maana nikasema, itakuwa kama kuhamisha pesa mfuko wa kulia kwenda wa kushoto. Sikubaliani na hoja yako ya kumpigia debe EL. Tafuta mwingine na awe Msafi hata kama ni ndani ya CCM
 
... hamkujua all along kwamba jk nyota yake imetokana na lowassa 1995 na pia hamkujua kwamba lowassa ndio kamfikisha jk kwenye urais wake wa leo as mtu aliyem introduce to the scene ya urais 1995 na pia as mtu aliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya kumuandaa jk? ......

What a crap.... kama Lowasa ndio alimu-introduce kikwete na kusaidia kikwete kushinda....then what? kwani kumsaidia Kikwete kushinda ni sababu ya kumfanya lowasa awe safi?

Lowasa inabidi alipe kodi zote alizokwepa miaka ya tisini kwa sasa ndio aanze propaganda.... otherwise unapoteza muda bure!
 
What a ----.... kama Lowasa ndio alimu-introduce kikwete na kusaidia kikwete kushinda....then what? kwani kumsaidia Kikwete kushinda ni sababu ya kumfanya lowasa awe safi?

Lowasa inabidi alipe kodi zote alizokwepa miaka ya tisini kwa sasa ndio aanze propaganda.... otherwise unapoteza muda bure!

Angalau mimi napoteza muda, but for you muda unaenda na soon, if not mwandosya lowassa will be the next president of tanzania na wewe utabaki mdomo wazi na pengine kufungua blog on that.
 
angalau mimi napoteza muda, but for you muda unaenda na soon, if not mwandosya lowassa will be the next president of tanzania na wewe utabaki mdomo wazi na pengine kufungua blog on that.

Poteza muda wako mzee.... huna habari na kinachoendelea kwa sababu umefungwa macho na pesa za wizi na rushwa... na udini uliokujaa ....

mimi sijakataa kuwa lowasa au mwandosya hawawezi kuwa rais wa Tz. Afrika anybody anaweza kuwa Rais... Idd Amin alikuwa rais wa Uganda kama vile Abacha alivyokuwa rais wa Nigeria... So kama ni kwa msingi huo..... mabosi wako watakuwa maraisi si kwa vile wanafaa bali kwa vile wametumia mbinu mbovu kwa marais...
 
I would like to believe we have more capable people in Tanzania apart from Mwandosya and Lowassa.
 
I would like to believe we have more capable people in Tanzania apart from Mwandosya and Lowassa.

that is correct but ili wawe wazuri inabidi wawe groomed na wapatiwa nafasi za uongozi. nafasi hizo hao wengine unaowataja hawapatiwi. kwa mtu ambae ananielewa vizuri ataona kwamba mimi sio kwamba nasema au naona mwandosya na lowassa ndio pekee wanaofaa lakini im continuously reminding kila mtu kwamba kwa market forces za sasa, hao ndio watatuongoza after jk. my discussion is solely based on that fact.
 
.....im continuously reminding kila mtu kwamba kwa market forces za sasa, hao ndio watatuongoza after jk. my discussion is solely based on that fact.

unatumia solely... that fact.... umoja...

wakati unadai kuwa raisi lazima awe mkristo na atoke kabila dogo (more than one "fact").......uwingi....

Hii game imeshakushinda.... kajipange upya kwa sababu umeanza kujichanganya....
 
Rais ajae lazima atakuwa mkristo na maelezo yake nimeshayatoa kwamba kuna informal katiba tanzania kuhusu kupokezana. na sioni game yoyote zaidi ya mjadala.
 
rais ajae lazima atakuwa mkristo ........

Eh babu umeanza kutumia neno lazima.... kwani mmepanga kufanya nini isipokuwa hivyo.... je wananchi wakimchagua Lipumba au Zito ambao wooote ni waislam mtafanya nini na hizo lazima zenu..

Unaanza kuniogopesha saasa
 
Good observation Mwafrika....
I, too, thought that we were a democracy...
 
Ni peke yako unayeuliza sana hili swali.Wewe ndio wa kuogopwa, mbona wengine hawaulizi humu JF? Ni kwasababu wanaelewa ninachokisema. Hivi unajua mimi ni dini gani? nikikuambia ni muislamu utasemaje?

Issue ya zitto na lipumba ni issue nyingine. mimi naongelea CCM.
 
ni peke yako unayeuliza sana hili swali. wewe ndio wa kuogopwa, mbona wengine hawaulizi humu JF? ni kwasababu wanaelewa ninachokisema. hivi unajua mimi ni dina gani? nikikuambia ni muslamu utasemaje?

issue ya zitto na lipumba ni issue nyingine. mimi naongelea ccm.

Nani kakuuliza kuhusu dini yako...... dini yako ninaijua tayari kama vile ninavyojua kazi uliyotumwa kufanya hapa.....

Haya ya kusema kuwa raisi ajaye lazima awe mkristo yanatisha!
 
Good observation Mwafrika....
I, too, thought that we were a democracy...

Oh... Nyani....

Thanks....... maana huyu babu anadhani tuko kwenye zama za machifu ........ kuwa kuna watu LAZIMA watakuwa maraisi bila kujali wananchi wanasemaje!
 
Nani kakuuliza kuhusu dini yako...... dini yako ninaijua tayari kama vile ninavyojua kazi uliyotumwa kufanya hapa.....

Haya ya kusema kuwa raisi ajaye lazima awe mkristo yanatisha!

Based on sabau nilizoziweka bayana, ya kusema rais ajae toka ccm lazima awe muislam yanatisha zaidi. upinzani ni issue nyingine kabisa. kule either way ni sawa kwasababu itakuwa ni mtiririko mpya wa uongozi. but soon or later , watafuata sera ya ccm on that hata kama ni informally. Mwafrika wa kike, it should get into your head kwamba tanzania sasa inakaribia 50/50 in terms of population ya wislamu vs wakristo na to african politics, that matters.

Kwa mtu kama wewe uliyelowea huko majuu na kufundishwa kwamba demokrasia sahihi ni ya west na pia kwamba uongozi kwa kupokezana udini sio sahihi, pole sana.

Mpaka hapo tutakapoona nani anasimamishwa na ccm 2015, sioni haja ya kuzungumzia hili suala la udini because it is common sense hata to many humu JF. But again i like your spin politics na pia jazba zako. im waiting kuona bango lako huko majuu kwa rais Kikwete.
 
Labda Mchambuzi ungesema, CCM watamsimamisha Lowassa au Mwandosya kushindana na wengine watakaojitokeza kutoka vyama vingine, lakini hili la lazima linatia wasi wasi kwamba kuna mpango kabambe unaandaliwa kuhakikisha kwamba Rais lazima atoke CCM. Na huu unaweza kuwa Umafia mwingine maana ni kama mtake msitake Rais lazima awe CCM. Je hii nayo sio Udaku ule ule uliosema mwanzo kwa akina Slaa? kwa hiyo CCM hushinda kwa Lazima hata kama watu hawakuichagua? naanza kupata wasiwasi na hizo 80% za JK kama zilikuwa za halali.
 
Saharavoice,
We leo ndio umeanza kuwa na wasiwasi wa ile 80%? Mimi nimekuwa nayo tangu walipotangaza ushindi huo wa tsunami.
 
.... kwa mtu kama wewe uliyelowea huko majuu na kufundishwa kwamba demokrasia sahihi ni ya west na pia kwamba uongozi kwa kupokezana udini sio sahihi, pole sana.

What..... unanipa pole kwa kupinga sera ya kuchagua maraisi kutokana na dini zao..... Kazi unayo na huyo mkristo wako Lowasa ambaye atashindwa na watanzania wengine (wakristo au waislam) hadi ushangae.

...... sioni haja ya kuzungumzia hili suala la udini...... na pia jazba huko majuu kwa rais kikwete.

Usianze kulia kama mtoto sasa...... Just raise your white flag na urudi kufundisha chuo cha propaganda za CCM kule kivukoni maana huko ndiko kunakufaa sana.
 
Labda Mchambuzi ungesema, CCM watamsimamisha Lowassa au Mwandosya kushindana na wengine watakaojitokeza kutoka vyama vingine, lakini hili la lazima linatia wasi wasi kwamba kuna mpango kabambe unaandaliwa kuhakikisha kwamba Rais lazima atoke CCM. Na huu unaweza kuwa Umafia mwingine maana ni kama mtake msitake Rais lazima awe CCM. Je hii nayo sio Udaku ule ule uliosema mwanzo kwa akina Slaa? kwa hiyo CCM hushinda kwa Lazima hata kama watu hawakuichagua? naanza kupata wasiwasi na hizo 80% za JK kama zilikuwa za halali.

Na wala sio tu kwamba anasema LAZIMA ccm watashinda... ila pia anasema kuwa LAZIMA rais atakuwa mkristo...

Hizi lazima zinatisha na kuogopesha! huyu mchambuzi inabidi aogopwe kama ukoma na ukimwi....
 
Mchambuzi, I was liking your points........but that presidential issue for 2015, ni kama umetumwa mkuu. Basically you are saying the opposition and Tanzanians are still stupid enough not to be able to decide their destiny. I would like to believe, you will be proven wrong.
 
kwa kweli im waiting for upinzani to prove me wrong. nimeshazungumzia sana on why sina imani na upinzani, i hope ulisoma pia hoja zangu.
 
Back
Top Bottom