Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Hapo Mchambuzi umenisaidia sana, pointi yangu ni kwamba kule Gari linakoelekea sasa ambako JK anatupeleka. na Lowassa atafanya hivyo hivyo, Ndiyo maana nikasema, itakuwa kama kuhamisha pesa mfuko wa kulia kwenda wa kushoto. Sikubaliani na hoja yako ya kumpigia debe EL. Tafuta mwingine na awe Msafi hata kama ni ndani ya CCM