List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

Ni wivu tu na woga umewajaa. Hizo pesa na utajiri wote unaoibiwa na unaoendelea kuibiwa kila kukicha kule Tanzania SIYO MALI YENU NYIE WATU! Pesa mnazoweza kuziita zenu ni vile visenti mlivyonavyo benki na mifukoni mwa suruali zenu au pochini.

Watu acheni kujifanya eti "wazalendo" na mliojaa "uchungu na nchi".

Hakika mjichukulie kuwa "priviledged" kwa kupata wasaa wa kujadili na kukosoa "wheelings and dealings" za "political elites" Serikalini, CCM, na kwingineko, kwani hilo ndilo jambo la kwanza na la mwisho ambalo mnaweza kufanya.

Kama kweli mna usongo na nchi yenu basi wote msingebakia kupiga domo kutwa humu na mngechukua bunduki, mapanga, sime na mabomu na kuanza vita vya ukombozi kama walivyofanya Cono-Zaire na nchi kibao za Afrika ya magharibi.

Kalaga baho!

Unaishi kwa bahati mbaya!
 
Ndio wizi huu anaousema Dk. Slaa halafu watu wengine hapa wanaleta za kuleta. Endelea kucheza na masha yetu tutawatoboa macho yenu hayo na kuwakata mikono ya kulia. Msidhani tutaendelea kulala na kuwaachia mwendelee kuiba kama mlivyozoea. Someni hapa na mjue tunawajua na tunawapa onyo kali, ambalo mkulipuuza msilielie yakianza kuwapata. Hatuwezi kuendelea kutaniana wakati maisha ya binadamu wenzetu yanachezewa, halafu tunasema na 'kenge' wengine wanadai eti ni wivu.
 
Ni wivu tu na woga umewajaa. Hizo pesa na utajiri wote unaoibiwa na unaoendelea kuibiwa kila kukicha kule Tanzania SIYO MALI YENU NYIE WATU! Pesa mnazoweza kuziita zenu ni vile visenti mlivyonavyo benki na mifukoni mwa suruali zenu au pochini.

Watu acheni kujifanya eti "wazalendo" na mliojaa "uchungu na nchi".

Hakika mjichukulie kuwa "priviledged" kwa kupata wasaa wa kujadili na kukosoa "wheelings and dealings" za "political elites" Serikalini, CCM, na kwingineko, kwani hilo ndilo jambo la kwanza na la mwisho ambalo mnaweza kufanya.

Kama kweli mna usongo na nchi yenu basi wote msingebakia kupiga domo kutwa humu na mngechukua bunduki, mapanga, sime na mabomu na kuanza vita vya ukombozi kama walivyofanya Cono-Zaire na nchi kibao za Afrika ya magharibi.

Kalaga baho!

Kwa hiyo una advocate violent approach? Sidhani kama ni busara, nadhani kuna njia nyingine zinazoweza kuondoa hili tatizo na sio hiyo a chinjachinja kama wewe unavyosema. Lakini uje kuwa level ya awareness na elimu kwa wenzetu wa magharibi iko juu zaidi, sisi kwetu bado watu wanadanganywa na utulivu. Kuna siku watakuja kuchoka. Unaweza kuja kuwa living witness!
 
Bunge ni chombo cha kutunga sheria.

Bunge ndicho chombo pekee chenye uwezo wa kuihoji serikali na Rais wake wakati wowote bila kutafuta ushauri kutoka kwa mtu yeyote.
Kisheria na kiutaratibu Bunge ni moja ya nguzo za taifa zinazojitegemea juu na chini zimefungwa kwa sheria.
Bunge halifungamani na serikali hata siku moja.
Spika si msemaji wala si mwajiriwa wa serikali pia haitaji kujipitisha seriklaini ili kazi yake ifanyike.
Bunge Siku zote huwajibika kwa wananchi chini ya sheria.

Nguzo mojawapo nyingine ya taifa ni mhakama.

Vyombo vya usalama Polisi vinafanya nguzo ya Taifa.

Nguzo nyingine ni Baraza la mawaziri na Rais wake.

Hapa kuna tatizo kubwa kweli kweli.

Ni vipi Spika apeleke vielezo vilivyo wahi kuwa mali ya Bunge kwa Manasheria mkuu ambaye kisheria ni member tu wabunge?

Chombo chenye uwezo wa kutafsiri sheria za nchi siyo waziri mkuu au jopo la wanasheria wa serikali ni Mahakama.
Kwa vile hoja ya Dr Slaa inawataja watu binafsi sielewi kwa nini serikali inaona uchungu kiasi cha kuingilia kati.

Nijuavyo mimi serikali kamwe haiwezi kutuhumiwa kuiba wala hakuna mtu aibaye kwa niaba ya serikali kwa sababu haiwezekani.

tatizo la serikali kushikia bango mambo ya watu binafsi ndiyo yaliyofanya Mahakama kuu kutupilia mbali Kesi ya Mrema kwa vile serikali ilijibambikiza kesi ya watu binafsi.

Kwa vile Dr Slaa alisha ichomoa hoja yake Bungeni Bunge haliitambui hoja ya Dr slaa.
Kifupi ni kwamba Spika wa Bunge hajapeleka hoja kwa mwanasheria mkuu wa serikali kwa niaba ya Bunge amepeleka Hoja hiyo kama Mzee Sita na zaidi kama Mkereketwa wa SISIEMU.

Kelele zinazo pigwa na Vingunge wa CCM kwamba Tuhuma za UFISADI zina lengo la kuwachafulia majina viongozi wa CCM inawezekana ni za kweli.
Swali kwa nini SISIEMU na serikali yake kwa pamoja zinapiga kelele huku zimechanua makucha na meno na si waliochafuliwa majina??

Mtu mmoja mmoja aliyechafuliwa jina aende Mahakamani na kufungua kesi za kuchafuliwa majina
au hao wapiga mayowe wajiseme wazi wazi kwamba ni mawakala wa wachafuliwa majina.

Hawa waheshimiwa wanachekesha kweli kila mtu ana nyumbani kwake na ana siri zake. Ni vipi mzee wa mji mmoja kusimama kitede kutetea mambo ya ndani ya mji mwingine?

Siri ya mtungi aijuye kata. Nionavyo mimi wake zao ndio waliokuwa wakitakiwa kuita vyombo vya habari na kukanusha.
Sasa wazee wazima kusimama na kutetea wanaume wenzao inaleta hisia za usenge na ubasha.
Hakuna mtu aliyesema baada ya kula Mrungura walipeleka fedha ndani ya chama au mfuko wa pamoja wa Mafisadi wa SISIEMU.
Nyie akina Kingune Marmo Sita na Mwanri hao manaowatetea baada ya kukunja mlungura wao waliweka kibindoni ni wake zao na vimada tu ndiyo wajuao siri.

Wakati mwingine hii mizee inatetea ili ikatiwe Pochi au ulaji wa Kiajuza ajuza. Ukweli wanaujua fika ila tu ni Waumini wa Ufisadi.

Si mnajua maajuza kaa Kingunge hawana dini?
Sasa mmepata jibu Dini zao ni UFISADI na Mungu wao ni UFISADI.
 
Wewe Jokofu wala mimi Madela hakuna ajuae utamu wa Vita.

Sasa Mambo ya kuchukua Bunduki yanatoka wapi tena?

Bunduki Tunazo tunazimiliki na tunacheza nazo tukinda camping kila siku si unajua mwenye hapa UEISIEI?

Nadharia yako ya fedha ni finyu sana. Fedha kwako ni ile iliyo katika Form ya Noti na shillingi. Fedha ikiwa katika hali nyingine yeyote ni mashonde.

Inawezekana ulisoma PCB kama mimi kwa hiyo mambo ya fedha ni mkwe.
Jokofu una haiba ya kivuli, kuishi kwako hutegemea mwanga ambao si asili yako.
Wewe uko radhi kubadirishana ardhi yote ya nchi yako pamoja na ndugu zako wote wakiwemo ndani kwa pipi kijiti na change kidogo mfukoni.

Mali kwako ni ile uliyoishika iliyoko mita 300 chini ya ardhi ni ya mzungu.
Jokofu unasikitisha sana kwa kuwa na mawazo ya kukaa nyuma nyuma kila siku kaa mkia wa Kenge.
 
Ni wivu tu na woga umewajaa. Hizo pesa na utajiri wote unaoibiwa na unaoendelea kuibiwa kila kukicha kule Tanzania SIYO MALI YENU NYIE WATU! Pesa mnazoweza kuziita zenu ni vile visenti mlivyonavyo benki na mifukoni mwa suruali zenu au pochini.

Watu acheni kujifanya eti "wazalendo" na mliojaa "uchungu na nchi".

Hakika mjichukulie kuwa "priviledged" kwa kupata wasaa wa kujadili na kukosoa "wheelings and dealings" za "political elites" Serikalini, CCM, na kwingineko, kwani hilo ndilo jambo la kwanza na la mwisho ambalo mnaweza kufanya.

Kama kweli mna usongo na nchi yenu basi wote msingebakia kupiga domo kutwa humu na mngechukua bunduki, mapanga, sime na mabomu na kuanza vita vya ukombozi kama walivyofanya Cono-Zaire na nchi kibao za Afrika ya magharibi.

Kalaga baho!

Kweli kuna watu tofauti katika ulimwengu huu.

Hivi unafikiri watu wanaochukua bunduki panga na visu wanapigana kwa ajili gani kama sio kunufaisha wale wanaowaambia wapigane? wakati nchi iko kwenye mapigano wao wanachuma mali kilaini huku wakiwa na ulinzi wa majeshi yenye silaha kubwakubwa. Ufisadi ni wa aina nyingi. ukiaangalia kwa makini nchi zote zenye mapigano yasiyoisha kuna resources za ajabu watu wanatafuta kuaharibu amani ili wale wenye uwezo waendelee kuvuna huku wakuitunisha akaunti zao za abraod

And as far as am concerned the talk people make in here is not cheap as you may think, Long live Jambo Forums and all the pple trying so hard to change the minds of the people of this country.
 
Lowassa sio wa kudanganywa...angekuwa anautaka ukweli angeupata...nyumba/majengo ya shule sio kitu ambacho mtu anaweza kuficha, tena kwa idadi iliyotajwa..Kiongozi makini hawezi kwenda kwenye ziara mahali akaambiwa kuhusu miradi iliyoanzishwa na akaondoka bila hata kupata maelezo ya wapi miradi hiyo iko, haswa kipindi hiki ambapo Lowassa analijua vema sakata la Barrick na wawekezaji wengine...Ukiacha uongozi wa mgodi, kuna viongozi wa maeneo hayo, hao nao hawakujua kuwa taarifa hizo sio sahihi?
they should credit us with more sense than that...kutu-undermine kwao kunawatokea puani, watakumbana na kuzomewa na mabango hadi wakome
 
sidhani kama Lowasa kadanganywa, maana shule 13 sio mradi mdogo jamani na nahakika kukiwa na mradi kama huu Lowasa angeweka jiwe la msingi, tunajua wangetafutia sifa hapo.

Shule sio kitu kisichoonekana kiasi kwamba hakionekani. Kama madarasa au nyumba za walimu zimejengwa si zingeonekana? Inamaana shule zilijengwa, diwani, mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa zasizione?
 
Bunduki Tunazo tunazimiliki na tunacheza nazo tukinda camping kila siku si unajua mwenye hapa UEISIEI?

You must be referring to fall season bird hunting with your b.itch gun aka air gun I presume? (Bwahahaaa!)

Watu wenye "ushungu" na nchi yao hutumia vitendo kama Jomo Gbomo na kundi lake la MEND kule Nigeria ya Mashariki, Guillame Soro na group lake la waasi wa Ivory Coast na hata Floribert Njabu Ngabu wa Kongo na Joseph Konyi.

Hamtafika popote with your worthless daily ramblings on the internet against the powers-that-be in Tanzania (delivered as usual from the arm chair in places like USA, Canada, UK etc where most of you live in self-imposed economic exile.)

If your claims to being true sons-of-soils is to be taken any seriously then there's no real option other than wage Armed Guerilla Warfare against CCM ili kukomboa rasilimali za nchi kama migodi ya dhahabu kule Buhemba, Buzwagi etc and restore dignity of your fellow country folk.
 
Hivi wewe Nyerere alitumia bunduki gani katika kuirudisha nchi kutoka kwa wakoloni? Gandhi kule India alitumia bunduki gani katika kuirudisha nchi yao kutoka kwa wakoloni? acha kuongea upuuzi wako mzee! kama mjumbe mmoja humu anvyosemaga Heshima mbele mzee, tafadhali lakini huo upuuzi wako unaoongea nyuma. Tafadhaali bwana.
 
Kiwete u can choose that option, kwa sababu pia wewe ni Mtanzania na si kudirect wengine watumie mtutu. members wengine wanaona njia sahihi ni hii ya kuelimisha wananchi kufanya mabadiliko kwa kutumia demokrasia. Hata hivyo fikra zako zinawakilisha Serikali na CCM kwamba hata mkisema vipi, hatung'oki labda kwa mtutu wa bunduki. madhala yake sote tunayajua, waumiao ni wanawake na watoto wasio na hatia. Lakini pia kama unataka just uonekane umetuma maoni JF, hiyo ni habari ingine, vinginevyo ungetulia kimya usubiri thread ambazo una utaalamu nazo.

FIKIRI KABLA YA KUCHANGIA
 
You must be referring to fall season bird hunting with your b.itch gun aka air gun I presume? (Bwahahaaa!)

Watu wenye "ushungu" na nchi yao hutumia vitendo kama Jomo Gbomo na kundi lake la MEND kule Nigeria ya Mashariki, Guillame Soro na group lake la waasi wa Ivory Coast na hata Floribert Njabu Ngabu wa Kongo na Joseph Konyi.

Hamtafika popote with your worthless daily ramblings on the internet against the powers-that-be in Tanzania (delivered as usual from the arm chair in places like USA, Canada, UK etc where most of you live in self-imposed economic exile.)

If your claims to being true sons-of-soils is to be taken any seriously then there's no real option other than wage Armed Guerilla Warfare against CCM ili kukomboa rasilimali za nchi kama migodi ya dhahabu kule Buhemba, Buzwagi etc and restore dignity of your fellow country folk.
Kila mtu anao uhuru wa kutoa mawazo yake.Lakini hata mwehu naye ni mtu hivyo anaweza kuchangia, lakini maoni yake wenye akili wana ..............
 
kama unakumbuka vizuri mwaka wa 2005 wakati wa kampeini za uchanguzi,mheshimiwa FREEMAN MBOWE,aliweza kueleza kuhusu haya yote lakini watu hata hawakutaka kumsikikiliza. laiti wangemsikiliza na kutoa maamuzi yao kwa busara sasa hivi mambo hayangekuwa hivi.
KUFANYA KOSA SIO KOSA KURUDIA KOSA NDIO KOSA.Awamu ijayo MBOWE ndani.

Kijeketile chrlo.
 
huwezi kushinda mapambano ya silaha bila kushinda mapambano ya kifikra. Mambo ya kutumia silaha kutafuta political solutions mara nyingi huishia kujenga utawala wa kiimla au kubakia katika matumizi ya silaha muda wote.

Mtu yeyote anayepigia debe matumizi ya silaha huyo amepitwa na wakati, CCM wataangushwa kwa sheria hizi hizi na kwa masanduku ya kura ambayo wao watakuwa wameyaagiza. Ushindi wetu unaanzia kwenye mioyo na fikra za watu!! Huko msituni we tangulia tu alimradi usiniharibie mashamba yangu, na "popo" wakija nitawaelekeza uliko.
 
Hakuna haja ya kwenda personal. Mgonjwa wa Ukimwi anafikiri amejenga hoja, na hajaona kuwa amejibiwa kwa hoja yenye nguvu.

Nakuhakikishia hadi sasa sijaona hoja yenye nguvu, bali nimeona hoja za kuzungushana zungushana tu.

Mgonjwa wa Ukimwi, kama msimamo wako unatokana na ushawishi ulionao kuwa mambo yanayosemwa kuhusu serikali hayana ukweli na ya kuwa hoja za wapinzani hazina ukweli hata chembe, ni wajibu wako kutetea hadi dakika ya mwisho.

Sijasema hoja za upizani hazina chembe ya ukweli. Nilichosema ni kwamba shutuma alizotoa Dr Slaa zina ushahidi hafifu. Put it differently, ushahidi alionao Dr Slaa ni dhaifu kwa shutuma alizotoa. Na nitaendelea kusema hivi hadi nitakapoona ushahidi mwingine.

Hata ni matumaini yangu kuwa uko open minded kuweza kushawishika kwa hoja zenye nguvu zaidi au kuwapa kina Dr. Slaa benefit of the doubt huku ukihamisha burded

Kabisa, shaidi zenye guvu zaidi zikitolewa wala sita sita kuamini au kushawishika. Lakini sitashawishika na shaidi za kuokotezea kwenye internet, na generalization statements ati "alinyamazia na/au alishiriki na/au aliishauri vibaya serikali."
 
Lowassa sio wa kudanganywa...angekuwa anautaka ukweli angeupata...nyumba/majengo ya shule sio kitu ambacho mtu anaweza kuficha, tena kwa idadi iliyotajwa..Kiongozi makini hawezi kwenda kwenye ziara mahali akaambiwa kuhusu miradi iliyoanzishwa na akaondoka bila hata kupata maelezo ya wapi miradi hiyo iko, haswa kipindi hiki ambapo Lowassa analijua vema sakata la Barrick na wawekezaji wengine...Ukiacha uongozi wa mgodi, kuna viongozi wa maeneo hayo, hao nao hawakujua kuwa taarifa hizo sio sahihi?
they should credit us with more sense than that...kutu-undermine kwao kunawatokea puani, watakumbana na kuzomewa na mabango hadi wakome

jamani Lowassa nadhani alisha changanyikiwa baada ya kukumbana na mabango na miitikio ya hoiiii badala ya haiii, na chafuuuu badala ya safiiii,

Si ajabu hata hizo hotuba zilipo kuwa zinasomwa hakuwa anaelewa chochote, alikuwa anatamani ndege yake impaishe aondoke kule!

Kumbuka pia tulielezwa, kwingine hakufika kabisa alipiga chenga, mambo magumu jama! Mtu aliye zoea kupigiwa makofi nderemo sasa anapokewa kwa miluzi/mabango/miguno/hoja za wazi?

'VITI VYA MOTO'
 
Keep it up my fellow Tanzanians since a spade is a spade and not a big spoon
 
Field Marshall ES,
Nashukuru kwamba bado tunaendelea kukata ishu huku tukielimishana/kueleweshana na kuipa jamii ya JF mitazamo mbali mbali ya jambo husika.

That said, hoja yako ya msingi kwamba mimi na wewe ni watazamaji tu na kwamba hatuwezi kutoa tathmini zetu isipokuwa mahakama ni hoja hafifu mno. Kama unavyosema ndivyo basi nakushauri uondoe neno DEBATE kwenye kamusi.

Kumladhi mzee mwenzangu, nashindwa kuamini kwamba ungeweza hata kutoa hoja kama hii...wakati kama sikosei wewe ni mwanzilishi wa neno KUKATA ISHU. Mimi nimekata ishu, nimechambua ushahidi alioutoa Dr Slaa nika conclude kwamba ushahidi wake ni hafifu, ni juu yako wewe kutoa uchambuzi wako (kama ukichagua kufanya hivyo) na kuja na conclusion yako kwamba ushahidi wa Dr Slaa ni mzito. Bado hujafanya hivyo na badala yake unashauri niwe mtazamaji na kusubiri mahakama. Hivi ulipobandika list ya Dr Slaa ulitegemea kwamba wasomaji wasome tu kama bibilia bila kutoa uchambuzi wao?

Hoja hujibiwa kwa hoja, kama MMKJJ anavyosema....ila naona mzee mwenzangu concept hii ndo kwanza unai-abuse. Badala ya kujibu hoja zangu kwa kueleza strength za ushahidi wa Dr Slaa, naona unarukia character assassination kwa kudai kwamba nimetoa uchambuzi kwa lengo la kuonyesha education credential zangu....I think Field Marshall ES you have more to offer to JF than this. You have my trust in your wisdom when it comes to JF but sometimes your lowest points reduce your JF wisdom to nothing.

Then katika posting yako unamwingiza Mugongo-Mugongo katika kujaribu kunifanya niamini kwamba Mugongo-Mugongo akikubali jambo basi na mimi nikubali. Naamini kwamba una utashi wa kujuwa kwamba Mugongo-mugongo ni mtu mwenye mawazo na msimamo wake unaojitegemea, kadhalika na mimi. JF hatushawishi watu kwa kutoa reference ya watu tuliofanikiwa kuwashawishi katika jambo fulani. Kesho naweza kukubaliana na wewe, keshokutwa nikapingana na wewe na kukubaliana na MMKJJ, wala sitasema kwamba kwakuwa MMKJJ alikubaliana nami basi ni budi wewe nawe pia ukubaliane nami.

All in all mzee mwenzangu, sikubaliani nawe kwamba niwe mtazamaji bila kutoa uchambuzi wa ushahidi wa Dr Slaa. Kama unapingana na uchambuzi wangu, it is very simple; leta wakwako. Na hilo tu ndilo litanishawishi vinginevyo. Kweli uchambuzi wangu ni wamitaani, kama ulivyodai, ila ni bora ukasema hivyo baada ya kutoa uchambuzi wa ofisini....nisaidie kwa kunipa uchambuzi unaouna ni wamaana. Sio kunitaka nizibe kinywa na nisubiri mahakama. Mahakama itatoa uamuzi wa mwisho, na it is possible ikaamua kwamba Dr Slaa ana ushahidi mzito, bado nitakuwa na uchambuzi wangu, na conclusion yangu, na wala haitakuwa mwisho wa debate.
 
Ndo Uzuri Wa Jf.hata Wendawazimu Inawaruhusu Kutoa Maoni Yao,lakini Kutokana Na Uwendawazimu Wao Hawawezi Elewa Hoja Za Wengine.
 
Ndo Uzuri Wa Jf.hata Wendawazimu Inawaruhusu Kutoa Maoni Yao,lakini Kutokana Na Uwendawazimu Wao Hawawezi Elewa Hoja Za Wengine.

Hehehehehe, duh! Sasa Nyangumi wewe ukiwa moja wa member wa JF, unapotoa hoja, na member mwingine akashindwa kuielewa...tukuweke kwenye kundi gani? heheheheh, hii imenichekesha mbona...ni sawa na kipofu anapodai anaona katika nchi ya vipofu heheheheh.
 
Back
Top Bottom