Mchambuzi
JF-Expert Member
- Aug 24, 2007
- 4,850
- 9,434
mimi nahitaji kuelimishwa kwanini kampeni kuumbua walarushwa ili-work for Lowassa na wanamtandao, but wont work for wapinzani.
kwa sababu ya sumu ya nyerere.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi nahitaji kuelimishwa kwanini kampeni kuumbua walarushwa ili-work for Lowassa na wanamtandao, but wont work for wapinzani.
. Sioni leaders wenye vision ya tanzania inayojitegemea zaidi kuliko kutegemea nje na hivyo kuwa kama kasha tu. Uwezo wa kuchange hiyo equation upo but no one cares much zaidi ya kula because hela za misaada ni rahisi sana kula kuliko hela za kutengeneza wenyewe ndani ya nchi.
kwa sababu ya sumu ya nyerere.
Mwanakijiji,
Hivi hujawahi kujiuliza ni kwa nini katika kila safari yake Marekani Mwungana lazima akutane na Sinclair? Na ni kwa nini kila mara Sinclair anapokwenda Tanzania lazima akutane na Mwungwana? Nasikia mkutano wa mwisho walikuwa watatu peke yao, pamoja na Joseph Kahama. Wanazungumzia nini?
. Ubaya ni kama mazungumzo hayo yatakuwa ya rushwa lakini kukutana na mtu yeyote behind closed doors ni right yake.
Waliyosema akina Kitine,Mengi,Warioba,etc hayawezi kuwa na faida kwa watu wenye imani haba kama wewe ambao pamoja na kunyonywa,kudhulumiwa,kuteswa na kunyanyaswa bado mnaamini kuwa kuna njia mbadala ya kuwaumbua wanaotuumiza badala ya kuwataja hadharani kama walivyofanya akina Slaa...
Na kwa wenye upeo dogo kama wewe sio rahisi kujua au kukubali kwamba kuna "nguvu za giza" (vyombo vya dola) vinavyohakikisha kuwa kila anayetamka kwamba kiongozi flani mwizi,au mbadhirifu,basi anadhibitwa haraka iwezekanavyo...
You are the one who critically needs to grow up,and see what's actually happening in the real world and not in your fantasies.Hakuna anayekuhadaa bali unajihadaa mwenyewe kwa kudhani kuwa wanachoongea wazalendo hawa ni hadaa ilhali u mmoja wa mamilioni ya walalachali wanaokandamizwa kila kukicha pasipo dalili ya wakandamizaji hao kupatwa na huruma.Sikulaumu sana kwani natambua kuwa katika jamii kuna wale ambao kwao pain is pleasure.
Mimi natoa hoja based on experience of what has transpired since mrema miaka ile, mtikila all the way to kitine, mengi, warioba. Sasa kama unaona kina slaa na zitto wanafanya kilicho sahihi wakati ukweli ni kwamba it has never worked huko nyuma, sawa, huo ni upeo wako mkubwa kuliko wangu.
Kwa upeo wangu mdogo, sioni kama hii ni njia sahihi kuiangusha ccm kwasababu hata ccm yenyewe itafikia pahali push comes to shovel watarekebisha haya. Na kurekebisha hayo haiitaji sera mpya. tayari wana sera na tayari wana TAKURU. All thats needed ni kutekeleza what those policies and institutions stand for. upinzani una sera zipi in the context of rushwa na overall context ya maendeleo ya mkulima na mfanyakazi? mbona hakuna mtu hata mmoja anayejibu hili? im talking of wale mashabiki wa upinzani? Hoja zao nyingi ni based on udaku, sio sera. na wapinzani wakishindwa kuchukua nchi kutokana na siasa zao za udaku, sisi ndio tunaonekana hatutakii mema tanzania na tunachukia upinzani, and at the end kuwa na upeo mdogo na kutokuwa na uchungu na nchi 'pain is pleasure'.
Kuhusu hoja yako kwamba kuna vyombo vya dola vinazuia watu, nili tabiri kwamba kuna watu watakuja na such lame arguments. Ndio hao hao wanakubali hoja za slaa eti 'nilizibwa mdomo', ndio unazibwa mdomo kama unapayuka but kama unakuja na mikakati kabambe na kuangalia mambo ya maana zaidi in the context of selling sera zako na kutaja mambo ya rushwa kama dondoo tu, watapiga hatua. Kwa mwendo huu ndio maana binafsi naona nibaki ccm mpaka kimeguke au aje mpinzani mwingine wa kweli. Ndio upeo wangu mdogo unanipeleka kufikia hatua hii na ndio upeo wa nyerere uliosema kwamba upinzani wa kweli utatokea ccm, sio nje ya hapo.
Kuhusu mimi kuhitajji to grow up na sio kina slaa na kabwe, nakubaliana na wewe as long as ni kina slaa na zitto ndio wamekufumbua macho kwamba kuna matatizo ya rushwa yanayoendelea nchini kwetu.
Mwisho, ni mifano hai kuhusu upinzani na mawazo yao finyu, ulafi na uhaba wa sera za maendeleo ya mtanzania. Mimi sio kwamba sipendi upinzani, naupenda sana lakini ni aibu hata kuambia wageni nchini kwetu kuna upinzani. Ndio maana naona nibaki na zimwi nilijualo - ccm. Upinzania unaendesha mambo yao kama biashara za kitanzania za kuigana ideas na kuvutana miguu ili usipande juu. Upinzani haupo innovative at all in Tanzania.
Kwanini nasema wapinzani wana mawazo finyu, walafi na wana uhaba wa mipango ya kweli kwa mtanzania? Ni kutokana na kusikitishwa kwangu niliposoma kwamba hawa wapinzani wanataka nchi tajiri zisimamishe misaada. Wanaiga yaliyotokea kenya. Kenya, donors wali respond after kuona upinzani umeamka, wakaona hata KANU ikianguka, basi waje kula na wengine ambao watakamata nchi. Wapinzani kenya wana mipango mingi sana. Tatizo la rushwa kenya halikuanza wakati ule ambao west walisimamisha misaada, tatizo lilianza siku nyingi. Na upinzania kenya haukwendwa kuomba misaada isimame because they know better. Ni ilikuwa anticipated move done by donors. We need to know how the donor community works to sustain umaskini africa.
Walichofanya upinzani kuomba misaada isimame ni aibu na kicheko sana in the eyes of the intl community na pia watanzania wenye upeo mdog kama wangu. Ni dalili tosha kabisa kwamba hawana nia nzuri na mtanzania. hivi hawana vichwa vya kukaa chini na kuja na mikakati ya maana kuiangusha ccm? nani ataumia misaada ikisimama, kabwe? slaa? atakayeumia ni maskini ambae ni mkulima na mfanyakazi, sio kina kabwe. sasa ndio mtu kama wewe MLALAHOI utasema una upeo mkubwa na kuona kukata misaada tanzania ndio optimum solution?
Watu wengi humu JF wa mfano wa MLALAHOI mtakuwa wa kwanza kuwarukia wapinzani watakapochukua nchi na kuharibu as soon as they get into power kwa weaknesss hizi hizi wakati dalili zao za uharibifu mlikuwa mnazifagilia. Safari bado tunayo ndugu zangu kina MLALAHOI.
Kwani wewe unayajua hayo yaliyoongelewa kama hayakuwa na rushwa?
Mchambuzi anataka kuturudisha nyuma kuamini kwamba bila Nyerere Tanzania hakuna. sasa amekuja na falsafa ya bila CCM Tanzania hakuna...
Who gives a hoot about sera za chama as long as nchi inatumia vema raslimali zake kwa ajili ya faida ya wote.
Ni kweli ubongo wangu mzito.
nina imani ccm ina baadhi ya viongozi ambao wakipewa nafasi wanaweza kupeleka nchi yetu mbele.
Imani yangu kwake itakuwa pale tu atakapowaondoa bila kuwaonea haya au kuwabadilishia kazi wale wote wanaokichafua chama, ikiwa ni pamoja na kukirudisha chama kwa wakulima na wafanyakazi si wafanya biashara.
Mchambuzi Yawezekana una imani kubwa sana na EL, but fanya home work kwa muda,tafuta habari zake, weka pembeni habari ya kufahamiana au mnatoka kumoja (mimi sijui) lakini fuatilia kwa karibu sana unaweza kupata ukweli.
Nijuavyo ni kwamba EL is a very smart guy, kwa hiyo ukitaka kuujua ukweli wake pia yakupasa nawe uwe smart. My comment inabaki kama mwanzo kwamba this is another JK
Mimi natoa hoja based on experience of what has transpired since mrema miaka ile, mtikila all the way to ..
upinzani una sera zipi in the context of rushwa na overall context ya maendeleo ya mkulima na mfanyakazi? mbona hakuna mtu hata mmoja anayejibu hili?
Kwa mwendo huu ndio maana binafsi naona nibaki ccm mpaka kimeguke au aje mpinzani mwingine wa kweli.
Watu wengi humu JF wa mfano wa MLALAHOI mtakuwa wa kwanza kuwarukia wapinzani watakapochukua nchi na kuharibu as soon as they get into power kwa weaknesss hizi hizi wakati dalili zao za uharibifu mlikuwa mnazifagilia. Safari bado tunayo ndugu zangu kina MLALAHOI.