List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

Habari za kiuchunguzi na za Uhakika ambazo zimekua ni Gumzo hapa ktk Vijiwe mbalimbali na hata baadhi ya sehemu za Starehe Jijini Arusha ni kwamba CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO [CHADEMA] kimepanga kuhakikisha kwamba kinapata Ushindi ktk Kata zote nne zinazofanya Uchaguzi mdogo wa Madiwani.

Ikumbukwe kuwa Kata hizi zote nne za Kimandolu, Elerai, Kaloleni, na Themi zote zilikua chini ya Madiwani wa CDM kabla ya Madiwani hao kufukuzwa Uwanachama kwa kosa la Kumtambua Meya [MAARUFU kama MEYA WA KICHINA] anaelalamikiwa kuwa hakuchaguliwa na Madiwani bali alichaguliwa na MKURUGENZI CHANGA.

Hadi sasa Wabunge wanaotajwa kushiriki kampeni za Kata hizo ni!

Kata ya KIMANDOLU,atakuepo Dk Slaa, mh Sugu, mh Nassari,na Alfonce Mawazo.

Kata ya THEMI atakuwepo Mh Msigwa, mh Zitto, Mh Lucy Owenya,na mh Pareso.

Kata ya ELERAI atakuepo Mh Lema, mh J.Mnyika, mh Halima Mdee na Mh Rose Kamili.

Kata ya KALOLENI atakuepo mh Mbowe, mh Mabere Marando,mh Tundu Lissu na Mch Natse.

Hiki ndicho kikosi cha Maangamizi ya kuiangamiza Ccm ktk Siasa za Jijini Arusha.
Katika kata hizi nne tayari CDM wana uhakika wa 80% ya ushindi isipokua kata moja tu ya ELERAI ambayo inamgombea aliekua Diwani wa CDM kabla ya Kufukuzwa huyu ni JOHN BAYO ambae sasa anagombea kwa CUF.

Kata hii ukiacha zingine zote ndio ambayo CDM ina Kaupinzani kidogo.zingine zote wanasubiri tu kutangazwa.

Arusha ni Ngome Kuu ya CDM na ni Chachu ya Mabadiliko ya nchi hii au Unaweza Kuiita BENGAZI. Hii ndio sababu Cdm wapo tayari kuhakikisha kuwa Kata zote hizi nne haziendi Ccm.

Nawakilisha:

Hizo ni ndoto za mchana kama si za mwenda wazimu kwa Bayo kushinda udiwani kata ya Elerai. Nilimpenda sana huyu Bayo na alikuwa rafiki yangu wa karibu sana ila kutokana na unafiki wake na tamaa ya kupenda pesa kutoka kwa Magamba, ambapo alisahau kuwa alikuwa vitani na siasa za nchi yenye ukiritimba na umangimeza kama Tanzania kuwa mwana siasa inatakiwa kujitolea mhanga na kupitia majaribu mengi. Baada ya kupata udiwani alijisahau na ------ yalilia mbwata, na akasahau kuwa kwake yeye kuwa diwani haikutokana na umaarufu wa binafsi bali chama cha Chadema ambacho wananchi wana imani nacho kuwa ndicho kitakachowatoa ktk minyororo ya chama dhalimu cha CCM.
Kutokana na upuuzi wake Bayo, ambayo kwa kweli ulitokana na upofu wake wa kutosoma alama za nyakati, nimemdharau sana, pamoja na madiwani wengine walioshirikiana na CCM kuidhoofisha Chadema.
Sasa nasikia Bayo amekimbilia CUF hizo ni dalili za mfwa maji haishi kutapa tapa, na jinsi ninavyomuona mdomo umeanza kwenda upande nadhani kiharusi kilimpitia sidhani kama ataweza kufua dafu dhidi ya kimbunga cha Chadema.
Kwa wale wanaotamani kuwa wana siasa ambao ni pamoja na mpuuzi na mnafiki Bayo wasome alama za nyakati, kuwa ktk nchi hii kwa sasa watu wanaangalia chama si mtu kama mtu. Hata akiwa mtu mwenye uwezo au mvuto wa namna gani na unagombea kwa chama fofauti na Chadema, wananchi watakwambia, sawa tunakupenda sana lakini huko uliko siko au chama unachobeba bendera yake si sahihi.
Bayo na wengine fanyeni utafiti wa haya mawazo yangu, ubaini ukweli wa political trend ktk nchi hii.
 
Mkuu abstract yako ni wishful thinking, na kama nilivosema awali, wakati wewe una concentrate na na kuzi blow up tiny negatives ambazo si general, unaacha kufikiri namna ya kuendeleza utawala bora wa ile alternative unayoifikiria, iliyojaa wazinzi, wezi na walevi wa madaraka hata kabla hawajaonja utamu wa dola!

It is radher naive on your part kufikiri CCM itaondolewa madarakani by an unknown outfit ambao wana run chama kama saccos binafsi, you are underrating Tanzanians!

Umemjibu vyema mkuu, naona huyu jamaa ana wa under rate Watanzania anadhani wote wanashabikia siasa kwa mihemko na hisia bila kutafakari hoja na kuchuja pumba na mchele. Kwa khali ilivyo CDM kwa sasa unatakiwa uwe na akili kama ya mwenda wazimu kuendelea kuwaamini. kama wameshindwa kushughurikia mgogoro mdogo tu wa chama wataweza kushughurikia migogoro ya nchi kama wa ziwa nyasa? Kwa sababu solution ya mgogoro wanayoijuia wao ni kufukuza labda wangependekeza Raisi Banda wa Malawi afukuzwe uanachama wa chama chake ili akose uraisi.

Uwaamini hasa kwa lipi? kama ni uadilifu wamethibitisha kuwa si waadilifu kwa mwenyekiti kusema alichukua hela kwa Mkono lakini kwa matumizi mazuri. Ukiangalia wanao piga sana kelele kuhusu Zitto wana masilahi binafsi ndani ya chama, ndugu zao na wake zao ndio wabunge wa viti maalum, Tindu Lissu dada yake mbunge wa viti maalum, Dr. Slaa mtakala wake mke mbunge wa viti maalum, Mbowe mzazi mwenzake mbunge wa viti maalum. Kwenye matumizi mabaya ya fedha ndio kabisa husiguse, ukiwauliza unaitwa msaliti. Je, ni kweli kuwa kuanzia marehemu Chacha Wangwe, Kafulila, akina Chonza, Mwigamba etc wote hawa hawakuwa na hoja yoyote ya msingi ni wasaliti tu? Kama walikuwa na hoja mbona hazijawahi kutolewa ufafanuzi?

Mwigamba alipigwa na kunyanganywa laptop yake mbele ya mwenyekiti wa chama. Kama waliweza kufanya hivyo mchana watashindwaje kufanye usiku? Kwa nini kila tukio la kupigwa mtu wasingiziwe wao tu?

KUENDELEA KUWAAMINI CDM UNATAKIWA UWE NA AKILI KAMA YA MWENDAWAZIMU
 
- Nimeshitushwa sana na kauli za ajabu zenye dharau, matusi na kejeli kwa Marehemu Baba wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, I mean unaweza kumchukia Kiongozi na siasa zake lakini kufikia kumpachika matusi mazito kama haya kisa na mkasa kutaka kuvunja Muungano tu, kwa kweli Chadema mmefika mbali sana sasa. Mtalipasua hili Taifa na hii kiu yenu kubwa ya madaraka, kweli Kiongozi aliyelala macho kutafuta uhuru kutoka kwa wakoloni na kukuachia Taifa huru lenye amani mpaka leo wewe ni Mwanasheria, Mbunge unaishi kwa raha mstarehe wewe na familia yako tena kwenye Taifa ambao unaruhusiwa kuitumia Demokrasia as mucha s you want, leo unakuja kumtukana Muasisi wa Taifa hilo kama vile alikuwa mwenda wazimu, hivi jamani nchi za South of Africa wanaposikia maneno kama haya wanatuonaje?

- Jamani Katiba tu ndio imetufikisha hapa? Sio nyie Chadema ambao kila wakati mnaenda kwenye kaburi la Marehemu Baba wa Taifa Butiama, kwa hiyo mna maana huwa mnaenda kinafiki huku mkijua kabisa kwamba MArehemu mnayeenda kumlilia alikuwa na haya matusi mazito aliyorushiwa na Tundu Lissu jana na majuzi? I mean mimi binafsi hata kuyarudia nashindwa maana kwa Ki-Tanzania tulilelewa na kufundishwa maadili ya kuwasamehe na kutowashambulia marehemu, Chadema na Tundu Lissu waiombe radhi kwanza Familia ya Mwalimu, na Taifa zima kwa ujumla hayo matusi ya mbunge wao ambayo ni kwa niaba ya chama hicho yamefika mbali sana, tumpe heshima japo kidogo Baba wa Taifa hili.

Le Mutuz System

Wewe Miss "BANTU" si tumekuzoea na ukubwa wako wa mwili lakini kichwani hamna kitu!
Bora ugezaliwa "Nguruwe"",baba yako hata angekua na faida ya kukuuza apate pesa kuliko ulivyozaliwa binadmu.

Nyerere kwani alikua "Malaika"au ni binadamu tu km wengine?
Kukosolewa ni sahihi km ambavyo aliwahi kusema mwenyewe kwamba.....Enzi ya serikali yangu kuna mengi mazuri na mabaya tulifanya kwa kua hatukua Malaika,,yaliyo mazuri chukueni yaliyo mabaya myaache!

Wewe ni nani hata utake kuaminisha watu kwamba Nyerere alikua Mungu hivyo hastahili kukosolewa?

Leo mnajitahidi kutetea aliyoyaasisi Nyerere katika Muungano,lakini hamgusii "Rushwa" iliyokithiri miongoni mwa viongozi na Azimio la Arusha mliouwa.

Nenda kajipange upya ndipo utujie na huu ujinga wako tena,,Mpuuzi kabisa wewe!
 
- Nimeshitushwa sana na kauli za ajabu zenye dharau, matusi na kejeli kwa Marehemu Baba wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, I mean unaweza kumchukia Kiongozi na siasa zake lakini kufikia kumpachika matusi mazito kama haya kisa na mkasa kutaka kuvunja Muungano tu, kwa kweli Chadema mmefika mbali sana sasa. Mtalipasua hili Taifa na hii kiu yenu kubwa ya madaraka, kweli Kiongozi aliyelala macho kutafuta uhuru kutoka kwa wakoloni na kukuachia Taifa huru lenye amani mpaka leo wewe ni Mwanasheria, Mbunge unaishi kwa raha mstarehe wewe na familia yako tena kwenye Taifa ambao unaruhusiwa kuitumia Demokrasia as mucha s you want, leo unakuja kumtukana Muasisi wa Taifa hilo kama vile alikuwa mwenda wazimu, hivi jamani nchi za South of Africa wanaposikia maneno kama haya wanatuonaje?

- Jamani Katiba tu ndio imetufikisha hapa? Sio nyie Chadema ambao kila wakati mnaenda kwenye kaburi la Marehemu Baba wa Taifa Butiama, kwa hiyo mna maana huwa mnaenda kinafiki huku mkijua kabisa kwamba MArehemu mnayeenda kumlilia alikuwa na haya matusi mazito aliyorushiwa na Tundu Lissu jana na majuzi? I mean mimi binafsi hata kuyarudia nashindwa maana kwa Ki-Tanzania tulilelewa na kufundishwa maadili ya kuwasamehe na kutowashambulia marehemu, Chadema na Tundu Lissu waiombe radhi kwanza Familia ya Mwalimu, na Taifa zima kwa ujumla hayo matusi ya mbunge wao ambayo ni kwa niaba ya chama hicho yamefika mbali sana, tumpe heshima japo kidogo Baba wa Taifa hili.

Le Mutuz System

Mkuu,

Hivi mtu ambaye kwa amri yake amefuta utaifa wa nchi yake bila ridhaa ya wananchi anaowaongoza,unataka apewe heshima ipi?

Tunaomba ujibu hoja hizi za Tundu Lissu halafu ndo ulete propaganda zako dhidi ya Chadema kana kwamba chadema tu ndio walipendekeza serikali tatu kwenye rasimu ya katiba!

d) Katika kitabu chake kiitwacho 50 Years of Independence: A ConcisePolitical History of Tanzania, kilichochapishwa Januari ya mwaka huu 2014, MzeePius Msekwa, Makamu Mwenyekiti mstaafu wa CCM na Katibu Mtendaji wake wa kwanzaamesema yafuatayo kuhusu mambo yaliyofanyika baada ya Makubaliano ya Muunganokusainiwa:
(i) Tarehe 26 Aprili, 1964, yaani Siku ya Muungano, Rais Nyerere alitungaPresidential Decree (Amri ya Rais) iliyoitwa The Transitional ProvisionsDecree, 1964, yaani, Amri ya Masharti ya Mpito ya mwaka 1964, iliyochapishwakatika Gazeti la Serikali la siku hiyo. “Amri hiyo iliwabadilisha watuwaliokuwa watumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Tanganyika na kuwafanya watumishiwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano. Mahakama Kuu ya Tanganyika iligeuzwa kuwaMahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano; na nembo ya taifa ya Jamhuri ya Tanganyikailigeuzwa kuwa nembo ya taifa ya Jamhuri ya Muungano.”
(ii) Tarehe hiyo hiyo, Rais Nyerere alitunga Amri nyingine ya Rais iliyoitwaThe Interim Constitution Decree, 1964, yaani, Amri ya Katiba ya Muda ya mwaka1964. “Amri hii iliitangaza Katiba ya Tanganyika kuwa ndiyo Katiba ya Muda yaJamhuri ya Muungano. Kifungu cha 4 cha Amri hii ndicho kilichoipatia Serikaliya Muungano majukumu kuhusu mambo yote ya Muungano katika Jamhuri ya Muunganoyote na vile vile kwa mambo yasiyokuwa ya Muungano kwa upande wa Tanganyika.”
(iii) Tarehe 15 Juni 1964 Mwalimu Nyerere alitunga Amri nyingine tena iliyoitwaThe Transitional Provisions (No. 2) Decree, 1964, yaani, Amri ya Masharti yaMpito (Na. 2) ya mwaka 1964. Amri hii ilielekeza kwamba mahali popote ambaposheria zilizopo zimetaja jina la ‘Tanganyika’ basi jina hilo lifutwe na badalayake jina la ‘Jamhuri ya Muungano’ liwekwe. Vile vile, Amri hiyo ilielekeza,mahali popote ambapo ‘Serikali ya Tanganyika’ imetajwa, au kwenye jambo au kituchochote ambacho kwa namna yoyote kinamilikiwa au kinahusishwa na Serikalihiyo, basi itachukuliwa kuwa ni Serikali ya Jamhuri ya Muungano ndiyoiliyotajwa.
(iv) Kwa maneno ya Mzee Msekwa mwenyewe: “Tanganyika was thus decreed out ofexistence. The cumulative effect of these legislative measures was that thepolitical entity which was Tanganyika, was decreed totally out of existence.That is the reason why even the name of the geographical unit formerly known asTanganyika, had to be changed to Tanzania Mainland.” Tafsiri ya maneno haya nikwamba “uhai wa Tanganyika ulitolewa kwa njia hiyo ya amri. Athari za jumla zaAmri hizi ni kwamba eneo la kisiasa ambalo ndio ilikuwa Tanganyika lilitolewauhai wake moja kwa moja kwa amri. Hii ndiyo sababu hata jina la eneo lakijiografia lililojulikana zamani kama Tanganyika ilibidi libadilishwe na kuwaTanzania Bara.”
2. Vitendo vya kuivika Jamhuri ya Tanganyika joho la Muungano na kuigeuza kuwandio Jamhuri ya Muungano hakikuwa na uhalali wowote kwa mujibu wa Makubalianoya Muungano:
(a) Aya ya (v) ya Hati ya Makubaliano ya Muungano ilitamka wazi kwamba “sheriazilizopo za Tanganyika na za Zanzibar zitaendelea kutiliwa nguvu katika maeneoyao....” Kwa maana hiyo:
(i) Rais Nyerere hakuwa na mamlaka yoyote kwa mujibu wa Makubaliano ya Muunganowala chini ya Katiba na Sheria za Tanganyika ya kugeuza sheria zote za Jamhuriya Tanganyika kuwa sheria za Jamhuri ya Muungano hata kwa mambo yasiyokuwa yaMuungano;
(ii) Rais Nyerere hakuwa na mamlaka yoyote kwa mujibu wa Makubaliano yaMuungano wala kwa mujibu wa Katiba na Sheria za Tanganyika ya kuwageuzawatumishi wote wa Jamhuri ya Tanganyika kuwa watumishi wa Jamhuri ya Muunganohata kwa mambo yasiyokuwa ya Muungano;
(iii) Rais Nyerere hakuwa na mamlaka yoyote kwa mujibu wa Makubaliano yaMuungano au kwa mujibu wa Katiba na Sheria za Tanganyika ya kugeuza MahakamaKuu ya Tanganyika kuwa Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano;
(iv) Rais Nyerere hakuwa na mamlaka yoyote kwa mujibu wa Makubaliano yaMuungano au kwa mujibu wa Katiba na Sheria za Tanganyika ya kugeuza Nembo yaTaifa ya Jamhuri ya Tanganyika kuwa Nembo ya Taifa ya Jamhuri ya Muungano.Nembo za Taifa, yaani ‘Bibi na Bwana’ inayotumika hadi leo hii ni Nembo yaTaifa ya Jamhuri ya Tanganyika!
(v) Rais Nyerere hakuwa na mamlaka yoyote kwa mujibu wa Makubaliano ya Muunganoau kwa mujibu wa Katiba na Sheria za Tanganyika ya kufuta matumizi ya jina laTanganyika katika sheria zote za Jamhuri ya Tanganyika au katika mambo au vituvyote vilivyokuwa vinamilikiwa ama kuhusishwa na Jamhuri ya Tanganyika hata kwamambo yasiyokuwa ya Muungano ya Tanganyika;
(vi) Rais Nyerere hakuwa na mamlaka yoyote kwa mujibu wa Makubaliano yaMuungano au kwa mujibu wa Katiba na Sheria za Tanganyika ya ‘kutoa uhai wa nchiya Tanganyika kwa njia ya Amri ya Rais’ au kwa njia nyingine yoyote ya kisheriana kuigeuza kuwa Jamhuri ya Muungano.
 
- Nimeshitushwa sana na kauli za ajabu zenye dharau, matusi na kejeli kwa Marehemu Baba wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, I mean unaweza kumchukia Kiongozi na siasa zake lakini kufikia kumpachika matusi mazito kama haya kisa na mkasa kutaka kuvunja Muungano tu, kwa kweli Chadema mmefika mbali sana sasa. Mtalipasua hili Taifa na hii kiu yenu kubwa ya madaraka, kweli Kiongozi aliyelala macho kutafuta uhuru kutoka kwa wakoloni na kukuachia Taifa huru lenye amani mpaka leo wewe ni Mwanasheria, Mbunge unaishi kwa raha mstarehe wewe na familia yako tena kwenye Taifa ambao unaruhusiwa kuitumia Demokrasia as mucha s you want, leo unakuja kumtukana Muasisi wa Taifa hilo kama vile alikuwa mwenda wazimu, hivi jamani nchi za South of Africa wanaposikia maneno kama haya wanatuonaje?

- Jamani Katiba tu ndio imetufikisha hapa? Sio nyie Chadema ambao kila wakati mnaenda kwenye kaburi la Marehemu Baba wa Taifa Butiama, kwa hiyo mna maana huwa mnaenda kinafiki huku mkijua kabisa kwamba MArehemu mnayeenda kumlilia alikuwa na haya matusi mazito aliyorushiwa na Tundu Lissu jana na majuzi? I mean mimi binafsi hata kuyarudia nashindwa maana kwa Ki-Tanzania tulilelewa na kufundishwa maadili ya kuwasamehe na kutowashambulia marehemu, Chadema na Tundu Lissu waiombe radhi kwanza Familia ya Mwalimu, na Taifa zima kwa ujumla hayo matusi ya mbunge wao ambayo ni kwa niaba ya chama hicho yamefika mbali sana, tumpe heshima japo kidogo Baba wa Taifa hili.

Le Mutuz System
Acha propaganda za kizamani wewe, ukweli uliosemwa na Lissu ulibidi kwani nyinyi Ccm mmekuwa mkimtumia Nyerere kama kinga yenu hivyo hakuna lugha nyingine ambayo ingeeleweka zaidi ya hiyo. Sasa nani mbaya Lissu kwa maneno yake au nyinyi ccm mliovunja azimio la Arusha ili mjilimbikizie mali? Benki ya NMB imeuzwa akiwa hai huku akiwa hataki kabisa itakuja kuwa huu muungano ambao hauna hata hati halali? Na bado mmezoea kuishi kwa kusema uongo huku mkitaka Nyerere aonekane ndio mungu mtu wakati hata nyinyi ccm aliwahi kuwaambia CCM sio mama yake.
Na bado huo ni mwanzo tu mtaonyesha mpaka mikataba yote ya siri ambayo mmeliingiza taifa hili katika hasara kubwa na hapo ndio tutaona kama mnamuezi baba wa taifa kama mnavyosema au ni kiini macho. Huyo baba wa taifa aliwakataa viongozi wangapi akiwepo baba yako lakini leo ndio viongozi wetu wakuu na wengine bado wanataka madaraka makuu?
 
- Nimeshitushwa sana na kauli za ajabu zenye dharau, matusi na kejeli kwa Marehemu Baba wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, I mean unaweza kumchukia Kiongozi na siasa zake lakini kufikia kumpachika matusi mazito kama haya kisa na mkasa kutaka kuvunja Muungano tu, kwa kweli Chadema mmefika mbali sana sasa. Mtalipasua hili Taifa na hii kiu yenu kubwa ya madaraka, kweli Kiongozi aliyelala macho kutafuta uhuru kutoka kwa wakoloni na kukuachia Taifa huru lenye amani mpaka leo wewe ni Mwanasheria, Mbunge unaishi kwa raha mstarehe wewe na familia yako tena kwenye Taifa ambao unaruhusiwa kuitumia Demokrasia as mucha s you want, leo unakuja kumtukana Muasisi wa Taifa hilo kama vile alikuwa mwenda wazimu, hivi jamani nchi za South of Africa wanaposikia maneno kama haya wanatuonaje?

- Jamani Katiba tu ndio imetufikisha hapa? Sio nyie Chadema ambao kila wakati mnaenda kwenye kaburi la Marehemu Baba wa Taifa Butiama, kwa hiyo mna maana huwa mnaenda kinafiki huku mkijua kabisa kwamba MArehemu mnayeenda kumlilia alikuwa na haya matusi mazito aliyorushiwa na Tundu Lissu jana na majuzi? I mean mimi binafsi hata kuyarudia nashindwa maana kwa Ki-Tanzania tulilelewa na kufundishwa maadili ya kuwasamehe na kutowashambulia marehemu, Chadema na Tundu Lissu waiombe radhi kwanza Familia ya Mwalimu, na Taifa zima kwa ujumla hayo matusi ya mbunge wao ambayo ni kwa niaba ya chama hicho yamefika mbali sana, tumpe heshima japo kidogo Baba wa Taifa hili.

Le Mutuz System

Lissu alisema Jamhuri ya Muungano ilizaliwa bila uhalali wa kisheria kwa kuwa hayakuwapo makubaliano ya kila upande wa Muungano.

Alisema Aprili 26, 1964 (Siku ya Muungano), Mwalimu Nyerere alitoa amri ya masharti ya mpito ya mwaka 1964 ambayo pamoja na mambo mengine iliifuta Tanganyika. Akichambua kitabu cha ‘50 Years of Independence: A Concise Political History of Tanzania' (Miaka 50 ya Uhuru: Historia fupi ya Tanzania), kilichoandikwa na Msekwa na kuchapishwa Januari mwaka huu, Lissu alisema:

"Msekwa anasema katika kitabu hicho kuwa amri hiyo ilichapishwa katika Gazeti la Serikali la siku hiyo. Kwanza, iliwabadilisha waliokuwa watumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Tanganyika kuwa watumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano."

Alisema hata Mahakama Kuu ya Tanganyika iligeuzwa kuwa Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano na nembo ya Taifa ya Jamhuri ya Tanganyika iligeuzwa kuwa nembo ya Taifa ya Jamhuri ya Muungano.

Alisema tarehe hiyohiyo, Mwalimu Nyerere alitoa amri ya Katiba ya muda ya mwaka 1964 na ilitangaza kuwa Katiba ya Tanganyika ndiyo iwe Katiba ya muda ya Jamhuri ya Muungano.

"Kifungu cha nne cha amri hii ndicho kilichoipatia Serikali ya Muungano majukumu kuhusu mambo yote ya Muungano katika Jamhuri ya Muungano yote na vilevile kwa mambo yasiyokuwa ya Muungano kwa upande wa Tanganyika," alisema Lissu huku akishangiliwa na baadhi ya wajumbe wa Bunge hilo.

Alisema Juni 15, 1964, Mwalimu Nyerere alitoa amri nyingine iliyoitwa ‘Amri ya Masharti ya Mpito' ambayo ilieleza kwamba mahali popote ambako sheria zilizokuwapo zimetaja jina la ‘Tanganyika' basi jina hilo lifutwe na badala yake jina la ‘Jamhuri ya Muungano' liwekwe.

Huku akimnukuu Msekwa, Lissu alisema kigogo huyo wa CCM katika kitabu chake amesema, "Uhai wa Tanganyika ulitolewa kwa njia hiyo ya amri. Athari za jumla za amri hizi ni kwamba eneo la kisiasa ambalo ndiyo ilikuwa Tanganyika lilitolewa uhai wake moja kwa moja kwa amri. Hii ndiyo sababu hata jina la eneo la kijiografia lililojulikana zamani kama Tanganyika ilibidi libadilishwe na kuwa Tanzania Bara."

======================================================================================================

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
- Nimeshitushwa sana na kauli za ajabu zenye dharau, matusi na kejeli kwa Marehemu Baba wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, I mean unaweza kumchukia Kiongozi na siasa zake lakini kufikia kumpachika matusi mazito kama haya kisa na mkasa kutaka kuvunja Muungano tu, kwa kweli Chadema mmefika mbali sana sasa. Mtalipasua hili Taifa na hii kiu yenu kubwa ya madaraka, kweli Kiongozi aliyelala macho kutafuta uhuru kutoka kwa wakoloni na kukuachia Taifa huru lenye amani mpaka leo wewe ni Mwanasheria, Mbunge unaishi kwa raha mstarehe wewe na familia yako tena kwenye Taifa ambao unaruhusiwa kuitumia Demokrasia as mucha s you want, leo unakuja kumtukana Muasisi wa Taifa hilo kama vile alikuwa mwenda wazimu, hivi jamani nchi za South of Africa wanaposikia maneno kama haya wanatuonaje?

- Jamani Katiba tu ndio imetufikisha hapa? Sio nyie Chadema ambao kila wakati mnaenda kwenye kaburi la Marehemu Baba wa Taifa Butiama, kwa hiyo mna maana huwa mnaenda kinafiki huku mkijua kabisa kwamba MArehemu mnayeenda kumlilia alikuwa na haya matusi mazito aliyorushiwa na Tundu Lissu jana na majuzi? I mean mimi binafsi hata kuyarudia nashindwa maana kwa Ki-Tanzania tulilelewa na kufundishwa maadili ya kuwasamehe na kutowashambulia marehemu, Chadema na Tundu Lissu waiombe radhi kwanza Familia ya Mwalimu, na Taifa zima kwa ujumla hayo matusi ya mbunge wao ambayo ni kwa niaba ya chama hicho yamefika mbali sana, tumpe heshima japo kidogo Baba wa Taifa hili.

Le Mutuz System

Mutu Mukubwa Willy

Kama sikosei tuhuma zako zinatokana na Jinsi Tundu Lissu alivyowakilisha hoja za wachache kwenye bunge la katiba.
Bila kuwa wanafiki waoga na kuendeleza uongo ambao Lissu anasema ukiozoea huwezi kuishi kweli.

Kuna maneno nafikiri ni ya kwako au ya kile kiwanda cha JK. Lissu alitoa data na matukio alimnukuu Nyerere maneno yake na matendo yake, sasa kama Nyerere alishindwa kuishi anayohubiri asifiwe? Ndio maana Nchi hii haiendi mbele kwani tunataka kuabudu watu. Ukikosea leo kizazi kitahitaji kujua.

Mfano Maraisi wote walioishi na wauza unga au viongozi wote waliofuga wauza sembe, kuwalinda na kuwaenzi lazima historia itawananga hata kama wamekuwa na nguvu kuliko wale wanyama wa Kinana.

Tusiogope kusema ukweli, haina maana Nyerere hakuwa na mazuri la hasha ila haina maana Nyerere hakutenda makosa ya bahati mbaya na makusudi yote aliyatenda. Kumbuka Nyerere alikuwa mwanasiasa tena kipindi chake North Korea wako huru, najua huwezi kujua kwani ulikula matunda ya Nyerere, Ila unakumbuka Nyerere alivyomfukuza kwa kumfokea Jumanne John Samweli unajua alimwambia nini? Kwanini alimkatalia Jumanne asigombee urais? Kwani ikulu ilikuwa mali ya mtu je uhuru wa kujiamulia kwa mujibu wa katiba ulikuwa wapi, sababu kubwa ya Jumanne kushindwa kuwa raisi ni Nyerere kisa walipishana mitizamo tu! Je ikisemwa hiyo ambayo ni kweli ni tusi?

Nani hajui Abdu Jumbe alitolewa Uraisi wa Zanzabar kwa kuhoji muungano? Nani hajui S Sharif Hamadi aliwekwa kizuizini kwasababu tu ya kuhoji muungano? Uanataka kumdanganya nani? Hayamkini Kama Maprofesa wa CCM wanakana vitabu vyao, maandishi yao na kazi zao kwanini msione kweli ni tusi?

Hakuna anayetukunwa ila kwa CCM kupinga muungano ni tusi.

Nyerere alikosea kuacha muungano wenye manung'uniko kwa miaka zaidi ya 24 ya Uraisi wake, alikuwa hataki kumaliza kero za alizoazisha, Leo tofauti ya mkoloni aliyesadikika kukalia nchi za wenzake kwa nguvu na huu muungano wenye makelele ni nini? Uhuru ni chimboko la haki.

Willy najua una watoto usitegemee watoto wako waliozaliwa leo watakuacha ukiharibu wasikwambie watasema tu, kizazi chetu ni kizazi cha waoga na wanafiki, wengi wanaogopa kusikia kweli kuhoji haki, na kutenda sahihi. Kusema Nyerere alikuwa anawasulubu wote waliokuwa kinyume chake hilo liko bayana, Enzi za mwl kuliko hakuna uvumilivu wa kisiasa tena ndani ya chama kimoja, sijui hali ingekuwaje kama ingekuwa leo.

Uhuru wa vyombo vya habari uliminywa, ulikuwa ukisikiwa ukimsema mwl vibaya asubu umepotea au upo maweni. Leo lazima tuhoji hatima ya Tanganyika, uchumi wetu, weledi wa viongozi wetu, kodi zetu, nk bila kuogopa ukubwa wa umbo, cheo, utukufu, mali au wizi wa mtu tutahoji tena tena. Bravo Tundu A Lissu.
 
- Nimeshitushwa sana na kauli za ajabu zenye dharau, matusi na kejeli kwa Marehemu Baba wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, I mean unaweza kumchukia Kiongozi na siasa zake lakini kufikia kumpachika matusi mazito kama haya kisa na mkasa kutaka kuvunja Muungano tu, kwa kweli Chadema mmefika mbali sana sasa. Mtalipasua hili Taifa na hii kiu yenu kubwa ya madaraka, kweli Kiongozi aliyelala macho kutafuta uhuru kutoka kwa wakoloni na kukuachia Taifa huru lenye amani mpaka leo wewe ni Mwanasheria, Mbunge unaishi kwa raha mstarehe wewe na familia yako tena kwenye Taifa ambao unaruhusiwa kuitumia Demokrasia as mucha s you want, leo unakuja kumtukana Muasisi wa Taifa hilo kama vile alikuwa mwenda wazimu, hivi jamani nchi za South of Africa wanaposikia maneno kama haya wanatuonaje?

- Jamani Katiba tu ndio imetufikisha hapa? Sio nyie Chadema ambao kila wakati mnaenda kwenye kaburi la Marehemu Baba wa Taifa Butiama, kwa hiyo mna maana huwa mnaenda kinafiki huku mkijua kabisa kwamba MArehemu mnayeenda kumlilia alikuwa na haya matusi mazito aliyorushiwa na Tundu Lissu jana na majuzi? I mean mimi binafsi hata kuyarudia nashindwa maana kwa Ki-Tanzania tulilelewa na kufundishwa maadili ya kuwasamehe na kutowashambulia marehemu, Chadema na Tundu Lissu waiombe radhi kwanza Familia ya Mwalimu, na Taifa zima kwa ujumla hayo matusi ya mbunge wao ambayo ni kwa niaba ya chama hicho yamefika mbali sana, tumpe heshima japo kidogo Baba wa Taifa hili.

Le Mutuz System

Ni Kweli Mwalimu alifanya kazi ya msingi, Ni kweli pia kuwa alifanya na mengine ya ovyo! Sioni dhambi ni ipi hapo. kuwaambia watu ukweli kuwa Mzee wetu alikuwa Muhuni na kigeugeu au kusema kuwa ndivyo wote mliolelewa ndani ya chama hichi mlivyo?

Kwa nini kiongozi wa hadhi yake awe na kauli kinzani? Kwa nini leo useme "wakiamua hawautaki basi waachwe" halafu wanapoamua unatumia udikteta kwa kuwanyang'anya kadi na uanchama, unawaweka kizuizini bila hata kufuata haki zao za kisheria. Halafu unataka udai hii ni nchi ya kidemokrasia! Na siyo Jumbe tu, wako wengi. Ni kitu hatuwasemi. Wako na kina Tuntemeke Sanga, achilia mbali wengine waliopotelea kusikojulikana! We unaonaje? hizo ni sifa njema kwa mtu wa hadhi yake?

Kwa hiyo unatakaje? Kwamba pale mtu anapofanya upuuzi tumpake mafuta na kumpamba eti kwa sababu tunamheshimu? I don't think so. Nafikiri binafsi nina hamu ya kuishi katika nchi ambapo haki za wote zinazingatiwa. Hata kama ni wahalifu au maskini. Natamani kuishi kwenye jamii inayoamini ukweli hata kama unauma. Tumechoka na uhuni na janjajanja ya miaka nenda rudi kwani ndiyo iliyotufikisha hapa.

Nafikiri tunahitaji kufanya maombi rasmi ili Mungu awalete kina Tundu Lissu wengi kwani tunahitaji kupona! Na najua kwa mliozoea uhuni wa aina hiyo kwenu itakuwa kazi sana kukubali hali halisi. Lakini hali halisi ni kuwa zama zinabadilika. Na watu wanabadilika. Ni ajabu tu kuwa kuna ambao sijajua ni kuwa hamuoni hilo au ni upofu wa makusudi au labda tu ni sikio la kufa!
 
Mheshimiwa Rais Kikwete,

Kwa heshima na taadhima na mapenzi ya hali ya juu niliyonayo katika uongozi wako, siyo siri, ni dhahiri shahiri na kila mwana JF anaweza kuwa shahidi yangu kwa hilo.

Kikwete, nnaamini wewe ni mchapa kazi, nnaamini wewe una muono mpana na mrefu, nnaamini wewe unatimiza wajibu wako kwa kadri ya uwezo wako aliokujaalia Mwenyeezi Mungu.

Nakuomba yasikilize maneno ya William Lukuvi kwa umakini na ujifikirie, huyu William Lukuvi anaitakia mema Tanzania hii?

William Lukuvi amma kwa ujinga wake amma kwa werevu wake, ameutia dosari kubwa utawala wako. Ameenda Kanisani kuwaeleza Wakristo wenzake, tena kwa kujigamba na kejeli na kuonesha kibri ya hali ya juu, kuwa hana imani na Waislaam. Kumbuka iwe Muislaam wa Zanzibar au wa Tanganyika au kokote duniani, Waislaam ni kama kiwiliwili kimoja, unapokiumiza kidole kimoja basi mwili wote unasikia uchungu na unapatwa na maumivu.

William Lukuvi, yuko kwenye Serikali ambayo haina dini! lakini yeye mwenyewe ana dini na alienda kuongea kwenye nyumba ya dini na huko ndipo alipowaudhi Waislaam.

Hiyo ni dosari kubwa sana katika utawala wako. Tunakuomba muachishe kazi haraka sana William Lukuvi kabla hajazua balaa lingine, maana hata alipowahi kwenda kujitetea bungeni alionesha kibri zaidi ya kile alichoonesha Kanisani na akatamba na kuwachiwa muda na Mwenyekiti (mkristo pia) zaidi ya mbunge mwingi yeyote aliyechangia mijadala kwenye bunge maalum, ili ajitetee. Nilifikiri kuwa William Lukuvi ataomba radhi lakini cha kustaajabisha hajaomba radhi na karudia tena na tena na tena kuwa ana hofu na alichokieleza kanisani ni hofu yake na hakuna anaeweza kuhoji hilo.

Sisi tumemuelewa na hatumuhoji yeye, tunakuhoji wewe Rais wetu, jee, kiongozi wako ametugawa au ametuunganisha Watanzania kwa kauli zake hizo?

Jibu lako, mimi silijuwi, lakini jibu letu, ni wazi kabisa kuwa William Lukuvi katugawa Watanzania badala ya kutuunganisha, na si kuwa katugawa Watanganyika na Wazanzibari, la hasha, katugawa Waislaam na Wakristo. Na hilo ni hatari kubwa sana kwa Taifa letu.

Tunakuomba chukuwa hatua za haraka sana, umstaafishe huyu Waziri wako kabla hii athari na mpasuko alotuwekea kuzidi zaidi ya hapa alipotufikisha.

Msikilize:

[video=youtube_share;5gvZyIJkTFY]http://youtu.be/5gvZyIJkTFY[/video]

Nnamalizia kwa kutoa shukrani zangu ikiwa utapata wasaa wa kuyaona haya niliyokueleza.

Nimeangalia CD nzima ya huyu bwana labda kuna kitu kimoja Faiza hukielewi, Huyu bwana ndio Master mind wa serikali, alicho kisema kanisani alikisema kwa kibri na majivuno akijua kuwa anamuwakilisha waziri mkuu na kwa maana hiyo akiiwakilisha serikali, na kibri na majivuno hayohayo akayepeleka mpaka bungeni, akajibu kwa arrogance ile ile kama jinsi alivyokuwa anaongea kanisani kana kwamba alicho kifanya kilikuwa sawa sawia. na hakuna aliye mkemea mpaka sasa!

Nilitegemea baada ya JK kuingia kwenye propaganda ya kumsululbu Tundu Lissu angetumia nguvu kubwa kukemea alichofanya Lukuvi kanisani, alichokifanya Lukuvi kwa namna yoyote ile hakikubaliki kwenye utawala bora na hakikubaliki hata kwa mwenda wazimu kwenye nchi yetu hasa ukichukulia tumekuwa kwenye msuguano wa malumbano ya kidini kwa muda mrefu achilia mbali kauli ya kusema kuwa serikali haina dini.

Pamoja na kwamba tumekuwa tunatofautina kimtazamo kwenye mambo mengi kwenye uchangiaji wa hoja hapa jukwaani, kwa hili umeweka sawasawa kisu kwenye mfupa.

Hongera kwa bandiko lako
 
I'm confident of every one knowledge on Dr. Slaa's Mwembeyanga list of shame. As we have been moving on, the list is found expiring calling a need for its rectification. Yes, it needs rectification as some other names from both govt officials and political parties officials have been found legible to be included in the list.

With good instance from CHADEMA, we have the recently still prevailing scandal of party finance extravagances and maladministration by Freeman Mbowe and Dr. Slaa, leaving behind anonymous lamentations of dissatisfactions among members of the party countrywide.

That kind of situation in chadema has reflected the typical example of hypocrit politicians whose words always do not match their actions. With these grounds therefore, i call upon Dr. Slaa to revise his list of shame which was publicly announced at Mwembeyanga grounds. This time, we want the list to include him and his chairman to make it fair.

I hope Dr. Slaa works on my proposal for the sake of good destination of our people and the nation as a whole.
 
Umezaliwa hapa hapa Mzenga tunakuona leo hii unajidai eti kiswahili hujui, watu wengine bana!! Haya tuyaanche hayo, vipi tugawane basi ulizodaka pale Lumumba!! Maana mie mshahara sijapata hadi leo sijui kuna nini pale hazina.
 
Tokea apelekwe English Course na Nape naona tokea jana anakuja na thread za kiingereza kuwatambishia wakina Lizaboni MSALANI na Ritz
 
Last edited by a moderator:
NI KIDOGO CHEKUNDU,Ndipo Gwiji La Siasa Dr W. P. Slaa Alipotaja Orodha Ya Majina Ya Mafisadi Kumi!! Kati Ya Hao Kumi Ni Mmoja Tu Aliyedai Yeye Hatokwenda Mahakamani Kwa Kuwa Hata Akienda Mahakamani Kudai Fidia Dr Slaa Hangekuwa Na Hizo Pesa!

Huyu Si Mwingine Alikuwa Ni Bw. Nimrod Mkono.Waliobaki Wote Tisa Kwa Nyakati Tofauti Waliahidi Kumfungulia Kesi Ya Madai Dhidi Ya Dr Slaa Kwa Kuwadharirisha, SASA,NI MIAKA MINGI IMEPITA,NAULIZA MOSI, JE KESI HIZO NI KWELI ZILIFUNGULIWA?PILI, KAMA ZILIFUNGULIWA JE ZILIISHAJE?

TATU,TUNAOMBA WAANDISHI WA HABARI WAWATAFUTE WAHUSIKA WAWAHOJI KWANINI HADI LEO HAWAKWENDA MAHAKAMANI KAMA WALIVYODAI MWANZO?
 
Thubutuu hawawezi kwenda mahakamani wakati ni mafisadi kweli mamba ujanja wake majini tu
 
Back
Top Bottom