Pendael laizer
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 958
- 102
Kesi gani sasa wakat maj judge hao wamepewa kazi na hao watuhumiwa?Labda tuwapeleke the heaque ndio kutakuwa na fairsasa simuende mkafungue kesi badala ya kuendekeza uzandiki .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesi gani sasa wakat maj judge hao wamepewa kazi na hao watuhumiwa?Labda tuwapeleke the heaque ndio kutakuwa na fairsasa simuende mkafungue kesi badala ya kuendekeza uzandiki .
Habari za kiuchunguzi na za Uhakika ambazo zimekua ni Gumzo hapa ktk Vijiwe mbalimbali na hata baadhi ya sehemu za Starehe Jijini Arusha ni kwamba CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO [CHADEMA] kimepanga kuhakikisha kwamba kinapata Ushindi ktk Kata zote nne zinazofanya Uchaguzi mdogo wa Madiwani.
Ikumbukwe kuwa Kata hizi zote nne za Kimandolu, Elerai, Kaloleni, na Themi zote zilikua chini ya Madiwani wa CDM kabla ya Madiwani hao kufukuzwa Uwanachama kwa kosa la Kumtambua Meya [MAARUFU kama MEYA WA KICHINA] anaelalamikiwa kuwa hakuchaguliwa na Madiwani bali alichaguliwa na MKURUGENZI CHANGA.
Hadi sasa Wabunge wanaotajwa kushiriki kampeni za Kata hizo ni!
Kata ya KIMANDOLU,atakuepo Dk Slaa, mh Sugu, mh Nassari,na Alfonce Mawazo.
Kata ya THEMI atakuwepo Mh Msigwa, mh Zitto, Mh Lucy Owenya,na mh Pareso.
Kata ya ELERAI atakuepo Mh Lema, mh J.Mnyika, mh Halima Mdee na Mh Rose Kamili.
Kata ya KALOLENI atakuepo mh Mbowe, mh Mabere Marando,mh Tundu Lissu na Mch Natse.
Hiki ndicho kikosi cha Maangamizi ya kuiangamiza Ccm ktk Siasa za Jijini Arusha.
Katika kata hizi nne tayari CDM wana uhakika wa 80% ya ushindi isipokua kata moja tu ya ELERAI ambayo inamgombea aliekua Diwani wa CDM kabla ya Kufukuzwa huyu ni JOHN BAYO ambae sasa anagombea kwa CUF.
Kata hii ukiacha zingine zote ndio ambayo CDM ina Kaupinzani kidogo.zingine zote wanasubiri tu kutangazwa.
Arusha ni Ngome Kuu ya CDM na ni Chachu ya Mabadiliko ya nchi hii au Unaweza Kuiita BENGAZI. Hii ndio sababu Cdm wapo tayari kuhakikisha kuwa Kata zote hizi nne haziendi Ccm.
Nawakilisha:

Mkuu abstract yako ni wishful thinking, na kama nilivosema awali, wakati wewe una concentrate na na kuzi blow up tiny negatives ambazo si general, unaacha kufikiri namna ya kuendeleza utawala bora wa ile alternative unayoifikiria, iliyojaa wazinzi, wezi na walevi wa madaraka hata kabla hawajaonja utamu wa dola!
It is radher naive on your part kufikiri CCM itaondolewa madarakani by an unknown outfit ambao wana run chama kama saccos binafsi, you are underrating Tanzanians!
- Nimeshitushwa sana na kauli za ajabu zenye dharau, matusi na kejeli kwa Marehemu Baba wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, I mean unaweza kumchukia Kiongozi na siasa zake lakini kufikia kumpachika matusi mazito kama haya kisa na mkasa kutaka kuvunja Muungano tu, kwa kweli Chadema mmefika mbali sana sasa. Mtalipasua hili Taifa na hii kiu yenu kubwa ya madaraka, kweli Kiongozi aliyelala macho kutafuta uhuru kutoka kwa wakoloni na kukuachia Taifa huru lenye amani mpaka leo wewe ni Mwanasheria, Mbunge unaishi kwa raha mstarehe wewe na familia yako tena kwenye Taifa ambao unaruhusiwa kuitumia Demokrasia as mucha s you want, leo unakuja kumtukana Muasisi wa Taifa hilo kama vile alikuwa mwenda wazimu, hivi jamani nchi za South of Africa wanaposikia maneno kama haya wanatuonaje?
- Jamani Katiba tu ndio imetufikisha hapa? Sio nyie Chadema ambao kila wakati mnaenda kwenye kaburi la Marehemu Baba wa Taifa Butiama, kwa hiyo mna maana huwa mnaenda kinafiki huku mkijua kabisa kwamba MArehemu mnayeenda kumlilia alikuwa na haya matusi mazito aliyorushiwa na Tundu Lissu jana na majuzi? I mean mimi binafsi hata kuyarudia nashindwa maana kwa Ki-Tanzania tulilelewa na kufundishwa maadili ya kuwasamehe na kutowashambulia marehemu, Chadema na Tundu Lissu waiombe radhi kwanza Familia ya Mwalimu, na Taifa zima kwa ujumla hayo matusi ya mbunge wao ambayo ni kwa niaba ya chama hicho yamefika mbali sana, tumpe heshima japo kidogo Baba wa Taifa hili.
Le Mutuz System

Acha propaganda za kizamani wewe, ukweli uliosemwa na Lissu ulibidi kwani nyinyi Ccm mmekuwa mkimtumia Nyerere kama kinga yenu hivyo hakuna lugha nyingine ambayo ingeeleweka zaidi ya hiyo. Sasa nani mbaya Lissu kwa maneno yake au nyinyi ccm mliovunja azimio la Arusha ili mjilimbikizie mali? Benki ya NMB imeuzwa akiwa hai huku akiwa hataki kabisa itakuja kuwa huu muungano ambao hauna hata hati halali? Na bado mmezoea kuishi kwa kusema uongo huku mkitaka Nyerere aonekane ndio mungu mtu wakati hata nyinyi ccm aliwahi kuwaambia CCM sio mama yake.- Nimeshitushwa sana na kauli za ajabu zenye dharau, matusi na kejeli kwa Marehemu Baba wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, I mean unaweza kumchukia Kiongozi na siasa zake lakini kufikia kumpachika matusi mazito kama haya kisa na mkasa kutaka kuvunja Muungano tu, kwa kweli Chadema mmefika mbali sana sasa. Mtalipasua hili Taifa na hii kiu yenu kubwa ya madaraka, kweli Kiongozi aliyelala macho kutafuta uhuru kutoka kwa wakoloni na kukuachia Taifa huru lenye amani mpaka leo wewe ni Mwanasheria, Mbunge unaishi kwa raha mstarehe wewe na familia yako tena kwenye Taifa ambao unaruhusiwa kuitumia Demokrasia as mucha s you want, leo unakuja kumtukana Muasisi wa Taifa hilo kama vile alikuwa mwenda wazimu, hivi jamani nchi za South of Africa wanaposikia maneno kama haya wanatuonaje?
- Jamani Katiba tu ndio imetufikisha hapa? Sio nyie Chadema ambao kila wakati mnaenda kwenye kaburi la Marehemu Baba wa Taifa Butiama, kwa hiyo mna maana huwa mnaenda kinafiki huku mkijua kabisa kwamba MArehemu mnayeenda kumlilia alikuwa na haya matusi mazito aliyorushiwa na Tundu Lissu jana na majuzi? I mean mimi binafsi hata kuyarudia nashindwa maana kwa Ki-Tanzania tulilelewa na kufundishwa maadili ya kuwasamehe na kutowashambulia marehemu, Chadema na Tundu Lissu waiombe radhi kwanza Familia ya Mwalimu, na Taifa zima kwa ujumla hayo matusi ya mbunge wao ambayo ni kwa niaba ya chama hicho yamefika mbali sana, tumpe heshima japo kidogo Baba wa Taifa hili.
Le Mutuz System
- Nimeshitushwa sana na kauli za ajabu zenye dharau, matusi na kejeli kwa Marehemu Baba wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, I mean unaweza kumchukia Kiongozi na siasa zake lakini kufikia kumpachika matusi mazito kama haya kisa na mkasa kutaka kuvunja Muungano tu, kwa kweli Chadema mmefika mbali sana sasa. Mtalipasua hili Taifa na hii kiu yenu kubwa ya madaraka, kweli Kiongozi aliyelala macho kutafuta uhuru kutoka kwa wakoloni na kukuachia Taifa huru lenye amani mpaka leo wewe ni Mwanasheria, Mbunge unaishi kwa raha mstarehe wewe na familia yako tena kwenye Taifa ambao unaruhusiwa kuitumia Demokrasia as mucha s you want, leo unakuja kumtukana Muasisi wa Taifa hilo kama vile alikuwa mwenda wazimu, hivi jamani nchi za South of Africa wanaposikia maneno kama haya wanatuonaje?
- Jamani Katiba tu ndio imetufikisha hapa? Sio nyie Chadema ambao kila wakati mnaenda kwenye kaburi la Marehemu Baba wa Taifa Butiama, kwa hiyo mna maana huwa mnaenda kinafiki huku mkijua kabisa kwamba MArehemu mnayeenda kumlilia alikuwa na haya matusi mazito aliyorushiwa na Tundu Lissu jana na majuzi? I mean mimi binafsi hata kuyarudia nashindwa maana kwa Ki-Tanzania tulilelewa na kufundishwa maadili ya kuwasamehe na kutowashambulia marehemu, Chadema na Tundu Lissu waiombe radhi kwanza Familia ya Mwalimu, na Taifa zima kwa ujumla hayo matusi ya mbunge wao ambayo ni kwa niaba ya chama hicho yamefika mbali sana, tumpe heshima japo kidogo Baba wa Taifa hili.
Le Mutuz System
- Nimeshitushwa sana na kauli za ajabu zenye dharau, matusi na kejeli kwa Marehemu Baba wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, I mean unaweza kumchukia Kiongozi na siasa zake lakini kufikia kumpachika matusi mazito kama haya kisa na mkasa kutaka kuvunja Muungano tu, kwa kweli Chadema mmefika mbali sana sasa. Mtalipasua hili Taifa na hii kiu yenu kubwa ya madaraka, kweli Kiongozi aliyelala macho kutafuta uhuru kutoka kwa wakoloni na kukuachia Taifa huru lenye amani mpaka leo wewe ni Mwanasheria, Mbunge unaishi kwa raha mstarehe wewe na familia yako tena kwenye Taifa ambao unaruhusiwa kuitumia Demokrasia as mucha s you want, leo unakuja kumtukana Muasisi wa Taifa hilo kama vile alikuwa mwenda wazimu, hivi jamani nchi za South of Africa wanaposikia maneno kama haya wanatuonaje?
- Jamani Katiba tu ndio imetufikisha hapa? Sio nyie Chadema ambao kila wakati mnaenda kwenye kaburi la Marehemu Baba wa Taifa Butiama, kwa hiyo mna maana huwa mnaenda kinafiki huku mkijua kabisa kwamba MArehemu mnayeenda kumlilia alikuwa na haya matusi mazito aliyorushiwa na Tundu Lissu jana na majuzi? I mean mimi binafsi hata kuyarudia nashindwa maana kwa Ki-Tanzania tulilelewa na kufundishwa maadili ya kuwasamehe na kutowashambulia marehemu, Chadema na Tundu Lissu waiombe radhi kwanza Familia ya Mwalimu, na Taifa zima kwa ujumla hayo matusi ya mbunge wao ambayo ni kwa niaba ya chama hicho yamefika mbali sana, tumpe heshima japo kidogo Baba wa Taifa hili.
Le Mutuz System
- Nimeshitushwa sana na kauli za ajabu zenye dharau, matusi na kejeli kwa Marehemu Baba wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, I mean unaweza kumchukia Kiongozi na siasa zake lakini kufikia kumpachika matusi mazito kama haya kisa na mkasa kutaka kuvunja Muungano tu, kwa kweli Chadema mmefika mbali sana sasa. Mtalipasua hili Taifa na hii kiu yenu kubwa ya madaraka, kweli Kiongozi aliyelala macho kutafuta uhuru kutoka kwa wakoloni na kukuachia Taifa huru lenye amani mpaka leo wewe ni Mwanasheria, Mbunge unaishi kwa raha mstarehe wewe na familia yako tena kwenye Taifa ambao unaruhusiwa kuitumia Demokrasia as mucha s you want, leo unakuja kumtukana Muasisi wa Taifa hilo kama vile alikuwa mwenda wazimu, hivi jamani nchi za South of Africa wanaposikia maneno kama haya wanatuonaje?
- Jamani Katiba tu ndio imetufikisha hapa? Sio nyie Chadema ambao kila wakati mnaenda kwenye kaburi la Marehemu Baba wa Taifa Butiama, kwa hiyo mna maana huwa mnaenda kinafiki huku mkijua kabisa kwamba MArehemu mnayeenda kumlilia alikuwa na haya matusi mazito aliyorushiwa na Tundu Lissu jana na majuzi? I mean mimi binafsi hata kuyarudia nashindwa maana kwa Ki-Tanzania tulilelewa na kufundishwa maadili ya kuwasamehe na kutowashambulia marehemu, Chadema na Tundu Lissu waiombe radhi kwanza Familia ya Mwalimu, na Taifa zima kwa ujumla hayo matusi ya mbunge wao ambayo ni kwa niaba ya chama hicho yamefika mbali sana, tumpe heshima japo kidogo Baba wa Taifa hili.
Le Mutuz System
Mheshimiwa Rais Kikwete,
Kwa heshima na taadhima na mapenzi ya hali ya juu niliyonayo katika uongozi wako, siyo siri, ni dhahiri shahiri na kila mwana JF anaweza kuwa shahidi yangu kwa hilo.
Kikwete, nnaamini wewe ni mchapa kazi, nnaamini wewe una muono mpana na mrefu, nnaamini wewe unatimiza wajibu wako kwa kadri ya uwezo wako aliokujaalia Mwenyeezi Mungu.
Nakuomba yasikilize maneno ya William Lukuvi kwa umakini na ujifikirie, huyu William Lukuvi anaitakia mema Tanzania hii?
William Lukuvi amma kwa ujinga wake amma kwa werevu wake, ameutia dosari kubwa utawala wako. Ameenda Kanisani kuwaeleza Wakristo wenzake, tena kwa kujigamba na kejeli na kuonesha kibri ya hali ya juu, kuwa hana imani na Waislaam. Kumbuka iwe Muislaam wa Zanzibar au wa Tanganyika au kokote duniani, Waislaam ni kama kiwiliwili kimoja, unapokiumiza kidole kimoja basi mwili wote unasikia uchungu na unapatwa na maumivu.
William Lukuvi, yuko kwenye Serikali ambayo haina dini! lakini yeye mwenyewe ana dini na alienda kuongea kwenye nyumba ya dini na huko ndipo alipowaudhi Waislaam.
Hiyo ni dosari kubwa sana katika utawala wako. Tunakuomba muachishe kazi haraka sana William Lukuvi kabla hajazua balaa lingine, maana hata alipowahi kwenda kujitetea bungeni alionesha kibri zaidi ya kile alichoonesha Kanisani na akatamba na kuwachiwa muda na Mwenyekiti (mkristo pia) zaidi ya mbunge mwingi yeyote aliyechangia mijadala kwenye bunge maalum, ili ajitetee. Nilifikiri kuwa William Lukuvi ataomba radhi lakini cha kustaajabisha hajaomba radhi na karudia tena na tena na tena kuwa ana hofu na alichokieleza kanisani ni hofu yake na hakuna anaeweza kuhoji hilo.
Sisi tumemuelewa na hatumuhoji yeye, tunakuhoji wewe Rais wetu, jee, kiongozi wako ametugawa au ametuunganisha Watanzania kwa kauli zake hizo?
Jibu lako, mimi silijuwi, lakini jibu letu, ni wazi kabisa kuwa William Lukuvi katugawa Watanzania badala ya kutuunganisha, na si kuwa katugawa Watanganyika na Wazanzibari, la hasha, katugawa Waislaam na Wakristo. Na hilo ni hatari kubwa sana kwa Taifa letu.
Tunakuomba chukuwa hatua za haraka sana, umstaafishe huyu Waziri wako kabla hii athari na mpasuko alotuwekea kuzidi zaidi ya hapa alipotufikisha.
Msikilize:
[video=youtube_share;5gvZyIJkTFY]http://youtu.be/5gvZyIJkTFY[/video]
Nnamalizia kwa kutoa shukrani zangu ikiwa utapata wasaa wa kuyaona haya niliyokueleza.
Tokea apelekwe English Course na Nape naona tokea jana anakuja na thread za kiingereza kuwatambishia wakina Lizaboni MSALANI na RitzUmezaliwa hapa hapa Mzenga tunakuona leo hii unajidai eti kiswahili hujui, watu wengine bana!! Haya tuyaanche hayo, vipi tugawane basi ulizodaka pale Lumumba!! Maana mie mshahara sijapata hadi leo sijui kuna nini pale hazina.