Mkuu mashine za kukobolea mahindi zinapatikanaje? packaging na kuweka nembo vile vile?
Hii biashara nimeelezwa kuwa ina faida sana..
Mkuu mashine za kukobolea mahindi zinapatikanaje? packaging na kuweka nembo vile vile?
Hii biashara nimeelezwa kuwa ina faida sana..
Mashine moja complete motor HP 25 inacheza kwenye 1.5M. Kama upo Dar nenda Auto Sokoni Nkrumah Street phone 0754 520 786. Biashara unaweza kupata kitu hapa Siri Ya Mafanikio: Biashara ya kununua mahindi, kukoboa, kusaga na kuuza unga wa sembe kwa wateja. Hii ni Biashara nzuri kama utakuwa makini kwenye utekelazaji wake...
Mkuu asante sana kwa maelezo ya busara.Mashine moja complete motor HP 25 inacheza kwenye 1.5M. Kama upo Dar nenda Auto Sokoni Nkrumah Street phone 0754 520 786. Biashara unaweza kupata kitu hapa Siri Ya Mafanikio: Biashara ya kununua mahindi, kukoboa, kusaga na kuuza unga wa sembe kwa wateja. Hii ni Biashara nzuri kama utakuwa makini kwenye utekelazaji wake...
anayatengeneza vipi mkuu?
Hebu tupe ufafanuzi zaidi..
nimekuelewa mkuu inaonekana jamaa anaweka na order maalum za kutengenezewa chupa kwa ajili ya kujazia hayo maji, kutengenezewa nembo vile vile. ni wazo zuri sana la biashara.Sikuchimba sana kiundani ila katika dodosa zangu ni kwamba jamaa anamatanki anavuna maji ya mvua kisha anafanyia treatment then anayapaki kwenye chupa za kawaida kama hizi za maji ya kawaida eg uhai sayona alafu anasambaza kwenye maduka kwa kutumia pick up zake. Hajasambaaa sana ila anauza kinomanoma.
nimekuelewa mkuu inaonekana jamaa anaweka na order maalum za kutengenezewa chupa kwa ajili ya kujazia hayo maji, kutengenezewa nembo vile vile. ni wazo zuri sana la biashara.
Tatizo linakuja kwenye msingi wa kupata matenki hayo kama kuanzia lita 10,000 na zaidi!
ama mkuu inawezekana kuchimba kisima chenye uwezo wa kujaza maji zaidi ya lita laki 1 kisha kuyafanyia treatment?
Mashine moja complete motor HP 25 inacheza kwenye 1.5M. Kama upo Dar nenda Auto Sokoni Nkrumah Street phone 0754 520 786. Biashara unaweza kupata kitu hapa Siri Ya Mafanikio: Biashara ya kununua mahindi, kukoboa, kusaga na kuuza unga wa sembe kwa wateja. Hii ni Biashara nzuri kama utakuwa makini kwenye utekelazaji wake...
mimi jamani mwenye uwezo wa kutengeneza viberiti naamini nitapiga sana bao mwenye ufahamu wa mashine na jinsi ya utengenezaji
nimewai kujaribu kufatilia nikagundua vifungashio ndio ghali kwenye biashara hii maana me mbaya sana nimegundua njia rahisi ya kuzalisha njiti na baruti pasipo kuwa na masine kama viwandani.
kumbe unataka ushauriTushirikiane tuweke orodha ndefu ya aina za viwanda vidogo ambavyo mtu anaweza kuanzisha katika jamii yake, mkoa wake au nchini kwa ujumla. Tuwe serious;
1. Toothpick industry
2. Take away plates industry
3. ...........
4. ...........
ONGEZEA MAWAZO YAKO, KILA MTU ATACHAGUA ANALOLIPENDA NA AKALITUMIE KATIKA JAMII YAKE
Posted by: SUPU YA MAWE
1. mobile toilets business
2. house flipping business
3. Renovate, Operate, Transfer..kuna watu uswazi wana nyumba zimechakaa, wanakusanya kodi kidogo mno, unaingia nao mkataba, una convert nyumba kulingana na soko, au unaipendezesha, unaifanya ya status flani, unakodisha kwa gharama kubwa kidogo, baada ya kupata Return on Investment na kupata faida, au baada muda mliokubaliana, unamrudishia nyumba yake.. Unaenda sehemu nyingine and you do the same,.
Kiwanda cha kutengeneza chakula cha samaki. Wafugaji twapata shida kweli[/QUOT E]
upo wap boss