List ya Business Ideas kuhusu viwanda vidogo vidogo

Kwa wajasiriamali wanaanza au wale wadogo nawashauri msianzishe kiwanda/viwanda ambavyo itakulazimu kuagiza raw materials toka nje ya nchi.

Kwa mfano kiwanda cha kutengeneza pvc pipes ni rahisi na mtaji wake ni mdogo kwa maana initial investment capital lakini raw materials lazima uagize nje hapo ndipo utakumbana na changamoto ya TPA na TRA na agency nyingine za serikali. Kwa kuanza ni heri uanze na kitu ambacho raw material utaipata humu humu nchini. Ukishasimama ndipo utaweza ku diversify kwenye hivyo vingine
 
Halafu maji ya mvua ya ukweli kinoma
 
Biashara ya kuokota makopo kama cheka.
Naweza kuipata YouTube au unaweza kuweka info za kutosha?

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Wazo langu ni kuikuza biashara yang ya kuuza nyanya niweze kupack na kusambaza sehem mbali mbali.
Lakini sijui nianzie wapi.
 
Tatizo yeye alikuja na mkwara mzito hadi kuwatishia samaki wakubwa kwahiyo pin [emoji419] ikahusika hapa nathani jamaa anaongelea kiwanda cha kimta zaidi
 
FYI
 
.
 
Cornflakes making, very cheap ila wanaziuza ghali sana (Nimeshaifikiria Pia anayetaka tufanye aje na 10m yake ani PM)
Misumari making.
Plastic spoons
Disposable lunch boxes za alluminium.
..
 
FYI.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…