List ya Business Ideas kuhusu viwanda vidogo vidogo

Hii sio biashara ya pesa ndogo na ni risk sana
 
Mtaji wake shlng ngap vile mkuu?
 
Naomba msaada wenu njia ya kienyeji kuchenjua copper ore ili nipate SHABA au njia rahisi ya kuchenjua copper ore ili nipate SHABA Natanguliza shukran zangu
 
Kukoboa na kusaga nafaka na kufanya packaging.
Mashine ya kukamua mafuta ya alizeti.
Mashine kutengeneza sausage.
Kufanya usafi kwa wanachuo.
Kuosha magari.
Kufanya usafi kwa Wanachuo, sidhani km italipa kwasababu wengi huwa wanakuwa na hali ngumu kiuchumi.
 
Habari Kiongozi pole na majukumu naomba msaada wenu Kama kuna anaefahamu kuchenjua copper ore kwa njia ya kienyeji ili nipate SHABA au njia rahisi ya kuchenjua copper ore ili nipate SHABA Natanguliza shukran zangu ubarikiwe Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…