List ya Celebrities waonamuunga mkono Kamala Vs Trump Uchaguzi wa Marekani

Sema siasa za marekani zina mahesabh makali saana jua linaweza kuzama ukiamini ni Trump kukicha unashangaa ni kamala
Kwamba na wewe unaamini USA inaweza kuongozwa na rais mwanamke? Hillary Clinton si alifanyiwa FITINA kabisa though alishinda? Kamara hata yeye anajua kama yupo kumsindikiza mwamba; America will never be ruled by a woman, never. Kuhusu jinsia, America hawana tofauti na Islamic countries
 
This is true ni mapema sana Marekani kuongozwa na Mwanamke.

Hillary Clinton alikuwa famous na powerful kuliko huyo Kamala ila
Electerol college ilimtosa.
 
Hakuna lolote, Kamala hawezi kumzidi Trump hata kidogo. Poleni ambao

mnataka kuzamia Marekani kinyemela naona mpo kwenye denial.
Kwa kutumia hao celebrities unadhani nani ana watu wengi?

Sema hao wa Trump siyo wa urban na suburban. Wengi ni wa small towns ambapo kwenye electoral college wana nguvu sawa na hao wengine wa urban na suburban ambao watatoa ushindi wa popular votes.

Mfano Taylor Swift na Beyonce wana nyomi za kufa mtu. Na wengi ni hao gen z.
 
Ni Ukweli usiofichika kwamba Donald Trump ana nafasi kubwa zaidi ya kushinda kiti cha Urais nchini Marekani, japokuwa Mimi binafsi ningependa zaidi Kamala Harris achukue ushihdi.
 
kama huyu tulie nae
 

Pdidy?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…