Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 1,535
- 2,565
Kwamba na wewe unaamini USA inaweza kuongozwa na rais mwanamke? Hillary Clinton si alifanyiwa FITINA kabisa though alishinda? Kamara hata yeye anajua kama yupo kumsindikiza mwamba; America will never be ruled by a woman, never. Kuhusu jinsia, America hawana tofauti na Islamic countriesSema siasa za marekani zina mahesabh makali saana jua linaweza kuzama ukiamini ni Trump kukicha unashangaa ni kamala