List ya Expensive Perfumes na clones zake kwa wenye vipato vya chini

Waambie wakupe batch ya 2020. au kama mfuko unaruhusu chukua club de Nuit intense man limited edition parfum. Zote harufu sawa ila limited edition itakaa kwenye nguo mpaka mwakani 😁
Same dna lakin harufu zina utofauti kidogo, sahihi armaf upate batch ya 2020 or 2021, batch za miaka ya mbele wamefail longitivity, malalamiko ni mengi
 
Asee kuna kipindi niliwahi chukua pafyum Kkoo 5000 tu .oy mzigo ulikuwa unanukia raha ile mbaya . Watu wakawa wananiuliza na kuniomba niwaoneshe nilipochukulia. Wengine wakawa wanafananishia na kutaja gharama zake mara 50000 wengine 75000 kumbe mzee mzima nimechukua 5000 tu. Huku mkoani wakitafuta hamna kitu. Chupa ilikua na picha kama za ghorofa iliyopigwa picha usiku na ina maandishi ya kifaransa.
I miss the days.
 
Kuna perfume naona zishakua common..kama
1.Rave intense Now
2.Barcode
Hizi zote ni below 50k...
 
Issey miyak ni nzuri na naipenda harufu yake, akiwa amepuliizia mwingine. Lol
 
Tenda wema uende zako..... Mungu atakulipia. Naomba location ya hili chimbo lako tafadhali Kasie kama hutajali, ili nami nikajaribu bahati yangu. Hizo perfumes za malaki kwa sasa hiyo nguvu haipo.
 
Tenda wema uende zako..... Mungu atakulipia. Naomba location ya hili chimbo lako tafadhali Kasie kama hutajali, ili nami nikajaribu bahati yangu. Hizo perfumes za malaki kwa sasa hiyo nguvu haipo.


Duka lilishafungwa hiyo ilikuwa kitamboo.
 
Kama pia mnahitaj oil based perfumes jaribun zile za jamaa wanajiita syrian perfumes, naona wako makin na bidhaa zao ziko poa.
Hawa jamaa nilienda kununua kwenye Banda lao kwenye maonesho ya Sabasaba Mwaka Jana Mbagala

Nahisi walikuwa wamechakachua mzigo, perfumes zao zilikuwa hazikawii kupoteza harufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…